Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

Mkuu ni KUNUNUA au KUUZA??
 
He
Eeh mambo yamegeuka fasta?si walisema sisi tutawauzia umeme nje?
 
Hamtaki Tena Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere!!! Ambao ni sawa na ule unaozalishwa Ethiopia?
====
Kuna wakati neno, 'mijeredi' lilikuwa Maarufu.
 
Hakuna adui tulienae mkubwa ndani ya nchi hii zaidi ya CCM. Bora tungemuacha mzungu aendelee kutawala kuliko hawa panya road.
Me naona tatizo sio CCM, tatizo ni malezi tuliyo pitia utotoni.
Hapo hata akiingia nani kutawala, kama ni mtanzania basi tegemea mambo kutobadilika.

Kuna kipindi hisia zinaniambia wenda huu uhuru wakwenye makaratasi ndio chanzo cha haya yote.
 
Ngoja Kwanza,,Nile stiki mbili drai za jani Korofi then nisindikizie na pilau maini nafikiri ndio nitarudi tena kusoma hii,,,Daaah Tunasikitisha!!
Kunywa hata chimpumu, ila ndio ishatoka hiyo.
 
Hao CCM munawaonea tu.
Naomba siku moja CCM atoke madarakani, ili kauli yangu idhihiri.

Uhuru wa kwenye makaratasi ndio tatizo, laiti tungechukua uhuru kwanjia ya mtutu haya yote yasingekuwepo.
 
kilakitu wabongo mnataka mvimbe wakati hamuwezi.achieni wanaoweza wawafanyie mazuri.

mbona kwenye mpira mnashangilia wachezaji na makocha wakigeni kuliko wazawa na kweli mpira umekuwa kiasichake kisa hawa wageni

wabongo akili mtapata lini?

mkinunua umeme mnapata muda wakuboresha wakwenu nakujifunza wenzenu mbinu wanazo tumia hadi wakawauzia.

mataahira nyie.
 
Hata hivyo Kuna kitu inaitwa East Africa electricity pool kwamba Nchi zote zinaunganisha grid zao Ili mwenye upungufu apate Kwa mwenye ziada
Acha kutuchanganya wewe. Wachangiaji wanahoji kwann tununue umeme Ethiopia wakati serikali imekuwa ikijigamba kwamba itauza umeme nchi za nje?

Bwawa la Nyerere lilipoanza kujenga tambo zilikuwa kama zote. Imekuwaje sasa?
 
Acha kutuchanganya wewe. Wachangiaji wanahoji kwann tununue umeme Ethiopia wakati serikali imekuwa ikijigamba kwamba itauza umeme nchi za nje?

Bwawa la Nyerere lilipoanza kujenga tambo zilikuwa kama zote. Imekuwaje sasa?
Wa kuuza haupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…