Tanzania: Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi afungwa jela kwa kumtusi Magufuli Tanzania

Tanzania: Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi afungwa jela kwa kumtusi Magufuli Tanzania

Pm yangu haifunguki afadhali hata sasa kidogo napata kujua mtu akiquote kiujumla App haiko sawa niliupgrade
Habari ya uzima ndugu Mla panya.

Niliota ndoto mimi , Dada yangu na mume wake ambaye aliambatana na wadogo zake wawili wa kiume Tupi kwenye boti baharini au ziwani sikujua tunaelekea wapi.

Ila kuna muda Dada yangu akawa uchi kabisa bila nguo yoyote anatembea ndani ya boti.

Na kuna muda niliona kama Dada na mume wake wanafanya mapenzi,

Na baada ya muda ilikuwa Tupo ufukweni na Dada yangu anaogelea uchi kabisa

Tena muda mwingine alikuwa kavaa nguo halafu anaogelea.

Ghafla Nilijikuta nipo nyumbani kwa mzazi wangu, ilikuwa usiku nimeshika kioo na sijavaa shati, najiangalia naona kidevuni, singoni na mwanzo wa kifua kuna mabaka ya duara yaan mapunje nikawa nasema kinyozi aliyeninyoa ndevu mashine yake ni chafu imenipa magonjwa ya ngozi.

Ghafla nikajiona nipo nnje maeneo ya nyumbani Karibu na nyumba ya jirani yetu., nikaona anatoka na amebeba amebeba kuku kama watatu hivi, alivyoniona akanambia ninunue kuku wale, mi nikaenda waangalia nikawa nimempenda kuku tetea mweupe na nikamuuliza Mdogo wangu kuwa yule kuku ana umbo kubwa kuliko waliopo nyumbani tumchukue ili tuweze pata mbegu ya kuku mwenye umbo kubwa.( kiuhalisia nyumbani kwa mzazi wangu kuna ufugaji wa kuku).

Mwingine kati ya wale kuku alikuwa
Mdogo na wa Rangi nyeusi hakuwa na manyoya mengi Bali alikuwa na mwonekano wa ngozi yenye manyoya kama ya mbwa. Hivyo nikawa namshangaa.

Tulikuwa tumesimama pembeni ya maji yaliyotwama na yule Jamaa anayeuza kuku akawa anatumia mkono kubonyeza ardhi yenye maji kwa kutumia mkono na vidole vilikuwa vinazama ardhini , akasema kumbe hapa kuna chemchem ya maji na sio maji yametwama tu. Na mimi nikawa nafanya kama kama yeye kuchomeka vidole ile sehemu ili kujua kama vitadumbukia ardhini nikawa hivyo.

Ndoto iliishia hivyo na hayo ndo matukio muhimu ninayo yakumbuka.

Naomba tafsiri tafadhari mkuu
 
Naomba tuzungumzie huyu mwanafunzi wa Meru University aliyepigwa risasi leo na polisi, au maisha ya wakenya sio muhimu?, mbona hamuliongelei kabisa?, aisee mimi ninawashangaa sana wakenya, wiki mbili zilizopita Tanzania shughuli zilisimama baada ya yule mwanafunzi kupigwa risasi kwa bahati mbaya, BBC walitangaza karibu wiki nzima, huyu ameuliwa kwa makusudi na hakuna hata mkenya mmoja anayelizungumzia, hapo lazima mjue tofauti ya Kenya na Tanzania.
Fungua uzi kuhusu mada yako, kama ilivo kawaida yako, tutakuja kutoa rambirambi. Hapa tunaongea kuhusu Sugu na Yohana, focus please!
 
_100181247_57d022d6-ffe9-4a8c-8124-228437798deb.jpg

Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chadema Joseph Mbilinyi kwa jina maarufu Sugu na mwenzake Katibu wa Chadema Kanda ya nyanda za juu kusini, Emmanuel Masonga wamehukumiwa kufungwa jela miezi mitano.

Wawili hao walikuwa wameshtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Rais John Magufuli.

Wanadaiwa kutenda kosa hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mwezi Desemba mwaka mwaka jana jijini Mbeya.

Hukumu dhidi yao imetolewa na Mahakama ya hakimu mkazi jijini Mbeya.

Hati ya mashtaka imesema maneno waliyoyatamka yalienda kinyume na Sehemu 89(1) a ya Sheria za Jinai ambayo inaharamisha kutumiwa kwa lugha ya matusi.

Maneno hayo, hati za mashtaka zinasema, yangeweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Mbunge afungwa jela miezi mitano kwa kumtusi Magufuli Tanzania

Tanzania opposition MP jailed for five months for insulting president
DAR ES SALAAM (Reuters) - A court in Tanzania sentenced two opposition leaders to five months in prison on Monday for insulting President John Magufuli, a decision likely to fuel criticism that authorities are undermining democracy and stifling free speech.

The court in the southern highlands convicted Joseph Mbilinyi, a lawmaker from the main opposition CHADEMA party, and local leader for the party Emmanuel Masonga for using abusive language against the president at a public rally in December. Court documents seen by Reuters show that Mbilinyi was accused of associating Magufuli with an alleged assassination attempt on vocal opposition MP Tundu Lissu last year. Lissu, a fierce critic of Magufuli’s government, was shot several times by unknown gunmen in the administrative capital Dodoma in September. He sought treatment abroad and has yet to return. Magufuli condemned the attack on the opposition lawmaker and called for a swift investigation. “Mbilinyi ... used insulting language against President John Magufuli ... likely to cause breach of peace,” said part of the charge sheet. According to Tanzania’s penal code, “any person who uses obscene, abusive or insulting language to any other person in such a manner as is likely to cause a breach of the peace” faces a maximum sentence of six months in jail. CHADEMA’s deputy secretary general John Mnyika told reporters on Monday that the opposition party would appeal against both the convictions and sentences.

The United States, European Union and several Western embassies in Tanzania last week voiced concern over politically-related violence and allegations of human rights abuses. “We note with concern recent developments which threaten democratic values and the rights of Tanzanians in a country which is widely respected in the world for its stability, peacefulness and freedoms,” the European Delegation to Tanzania said in a statement on Friday.

But the criticism is unlikely to hurt the government politically, since it remains in an electorally strong position. Three people, including a university student, were killed over the past few weeks in various parts of Tanzania in politically-related incidents, according to opposition leaders. An opposition figure and a journalist have also disappeared. More than 10 people, including university students and a lecturer, have been charged in court over the past two years with insulting the president via social networking platform like WhatsApp.

Insulting the president on social media was made a criminal offence under a cyber crimes law passed in 2015 before Magufuli came into office.
Mtoto akililia wembe acha umkate ili anyoke
 
Kwahiyo kifo cha huyu mkenya mwenzenu sio muhimu kabisa ukilinganisha na hukumu ya Sugu?
Labda kama alimtusi rais. Si Leo tu ndo mmemzika diwani, au nimekosea? Au huyo pia hajafa ni maigizo tu ya Bongo movie? Wewe jamaa nahisi machoni utakuwa una matongo kama ya mbwa koko, huoni kabisa mnakoelekea. Nimekuacha basi.
 
Labda kama alimtusi rais. Si Leo tu ndo mmemzika diwani, au nimekosea? Au huyo pia hajafa ni maigizo tu ya Bongo movie? Wewe jamaa una matongo kama ya mbwa koko, huoni kabisa mnakoelekea. Nimekuacha basi.
Mimi ninazungumzia kuhusu polisi kumuua mkenya, mbona hata hamtaki kulizungumzia, au maisha ya mkenya hayana thamani ukilinganisha na watanzania?, huyo tangu ameuliwa leo ni wiki sasa, mengi yamesemwa, vipi kuhusu huyu wa leo, mbona hamzungumzi lolote, japo kulaani police brutality kama tulivyolaani baada ya yule mwanafunzi wa Tanzania kuuliwa?
 
Ungekuwa unajua maana ya siri usingeeleza upupu wako huu. Inakuwaje siri wakati wote wanajua. Msaini mikataba kijinga then muivunje kipumbavu mushitakiwe kesi iwashinde ndo mje hapa kudai siri sijui nn. Kwanza tupe mrejesho wa bombadia ya kanada
I have never seen a group of people with poor planning compared to these of ccm including their pilato.
Haha, so unafikiri mimi ninaongele mambo ya mikataba, OK lala salama.
 
Labda kama alimtusi rais. Si Leo tu ndo mmemzika diwani, au nimekosea? Au huyo pia hajafa ni maigizo tu ya Bongo movie? Wewe jamaa nahisi machoni utakuwa una matongo kama ya mbwa koko, huoni kabisa mnakoelekea. Nimekuacha basi.
Upo wapo?, njoo tulaani Kenya police brutality, au unataka tuamini kwamba maisha ya mkenya thamani yake ipo chini kuliko watanzania?
 
Labda kama alimtusi rais. Si Leo tu ndo mmemzika diwani, au nimekosea? Au huyo pia hajafa ni maigizo tu ya Bongo movie? Wewe jamaa nahisi machoni utakuwa una matongo kama ya mbwa koko, huoni kabisa mnakoelekea. Nimekuacha basi.
 
For real? No respite, no appeal? You are joking!

A classic Kenyan Way of thinking, haha!
Hands up to you guys, love it Seriously! 😀

May be we need 'extra educational support' from Kenyans when it comes to this. Cos y'all don't play.

Word in the street is there's supposedly appealing arrangements in the making but shush!, it's just a dream...lol
 
Hahaha 😀😀 hope is the key word. The critical question everybody should be asking. Is the shush option, 😀 a light at the end of the tunnel? Or is it just an elusive mirage? If it would have been Kenya there would still be a last option, or a first to some of our countrymen, one that we all hate and love in equal measure, mass action!
 
Hahaha 😀 hope is the key word. The critical question everybody should be asking. Is the shush option 😀 a light at the end of the tunnel for him, or is it that unreachable mirage? If it would have been Kenya there would still be the last but strongest option, one that we all hate, mass action.

Vipi kuhusu kifo cha huyu mwanafunzi wa Kenya kilichotekelezwa na the most ruthless police force in Africa, mbona hutaki kukizungumzia, au tuamini maisha ya wakenya ni value less kwasababu ni failed state?
 
Hahaha 😀😀 hope is the key word. The critical question everybody should be asking. Is the shush option, 😀 a light at the end of the tunnel? Or is it just an elusive mirage? If it would have been Kenya there would still be a last option, or a first to some of our countrymen, one that we all hate and love in equal measure, mass action!

Cc. TANZANIANS! 😀

Yes jirani, we should be clinging resolutely to Hope right now, and hoping for the 'Dream' to come true in a peaceful manner as our first step, since we haven't really gone through what you guys went through before.
None of us entertain this thought and we shouldn't, but at this point we don't have better options other than 'Actio de masse'

It's unbelievable that I can't write down what am really thinking. I can't believe we have to beg for some sort of freedom in our own country, while someone fears they might end up behind bars.
I can't believe we're back to square one, trying to democratize our country.

Sh!t is real we're doomed!
 
Habari ya uzima ndugu Mla panya.

Niliota ndoto mimi , Dada yangu na mume wake ambaye aliambatana na wadogo zake wawili wa kiume Tupi kwenye boti baharini au ziwani sikujua tunaelekea wapi.

Ila kuna muda Dada yangu akawa uchi kabisa bila nguo yoyote anatembea ndani ya boti.

Na kuna muda niliona kama Dada na mume wake wanafanya mapenzi,

Na baada ya muda ilikuwa Tupo ufukweni na Dada yangu anaogelea uchi kabisa

Tena muda mwingine alikuwa kavaa nguo halafu anaogelea.

Ghafla Nilijikuta nipo nyumbani kwa mzazi wangu, ilikuwa usiku nimeshika kioo na sijavaa shati, najiangalia naona kidevuni, singoni na mwanzo wa kifua kuna mabaka ya duara yaan mapunje nikawa nasema kinyozi aliyeninyoa ndevu mashine yake ni chafu imenipa magonjwa ya ngozi.

Ghafla nikajiona nipo nnje maeneo ya nyumbani Karibu na nyumba ya jirani yetu., nikaona anatoka na amebeba amebeba kuku kama watatu hivi, alivyoniona akanambia ninunue kuku wale, mi nikaenda waangalia nikawa nimempenda kuku tetea mweupe na nikamuuliza Mdogo wangu kuwa yule kuku ana umbo kubwa kuliko waliopo nyumbani tumchukue ili tuweze pata mbegu ya kuku mwenye umbo kubwa.( kiuhalisia nyumbani kwa mzazi wangu kuna ufugaji wa kuku).

Mwingine kati ya wale kuku alikuwa
Mdogo na wa Rangi nyeusi hakuwa na manyoya mengi Bali alikuwa na mwonekano wa ngozi yenye manyoya kama ya mbwa. Hivyo nikawa namshangaa.

Tulikuwa tumesimama pembeni ya maji yaliyotwama na yule Jamaa anayeuza kuku akawa anatumia mkono kubonyeza ardhi yenye maji kwa kutumia mkono na vidole vilikuwa vinazama ardhini , akasema kumbe hapa kuna chemchem ya maji na sio maji yametwama tu. Na mimi nikawa nafanya kama kama yeye kuchomeka vidole ile sehemu ili kujua kama vitadumbukia ardhini nikawa hivyo.

Ndoto iliishia hivyo na hayo ndo matukio muhimu ninayo yakumbuka.

Naomba tafsiri tafadhari mkuu
Kwanza niombe samahani kwa wahusika kwani hili si jukwaa husika bwana worms.
Hii ni ndoto yenye ujumbe huu.
Wewe na familia yako wote mliokuwa mmepanda kwenye boti mmezungukwa na uovu, ushirikina mbaya wenye hila chafu (kujiona mko baharini mnasafiri).
Msingi wa maisha ya dada yako umeharibiwa na maisha yote kwa ujumla(kumuona dada yako akiwa uchi ufukweni).
Wewe una msingi mzuri(kujiona umevaa suruali bila shati) ila si mtu wa kukamilisha mambo ama mipango upangayo na hilo limekuletea hila kwa watu wengine (hayo mashilingi uliyoyaona mwilini juu ni hila mbaya ulizovishwa).
Hali ya dada yako italeta ugumu ktk uzazi wake maishani mwake kwa kuwa hatua ya majaribu hayo imekomaa juu yake (kuwaona wafanya mapenzi ufukweni yule hakuwa shemejiyo but other power).
Yawezekana nimeacha baadhi ya key events sijazifafanua sawa lakini ujumbe mkuu ni huo.
Mungu ni mweza kaeni pamoja mtambue hali hiyo ilivyo na kutafuta solutions.
 
Haha, so unafikiri mimi ninaongele mambo ya mikataba, OK lala salama.
The outcomes of poor contract has led a country into frustration that cause lissu assassination attempt, killing of opposition leaders, loose of parliamentary members to ccm site that cause them poor election to recover their problems.
Poor management of ccm leaders is the source of all stupid calamities arising now.
Wapi tungesikia kupotea kwa watu, kufungwa kwa wapinzani, risasi, kuuawa kwa watu, maandamano kama ingetokea ccm mnafuata haki na wajibu hata kwa katiba hii hii mbovu.
Tusubiri kila mtu kujibu kwa nafasi yake kwa Mungu.Wanaolia sasa kesho watacheka na wachekao leo kesho watalia hiyo ni principle ya Mungu.
 
Hahaha 😀😀 hope is the key word. The critical question everybody should be asking. Is the shush option, 😀 a light at the end of the tunnel? Or is it just an elusive mirage? If it would have been Kenya there would still be a last option, or a first to some of our countrymen, one that we all hate and love in equal measure, mass action!
Police shoot, kill Meru University student leader as protests turn ugly
Please Kenyans, we are waiting to see mass action from you if really you value lives of your own, or you only value political interests of your elite politicians only?.
 
Cc. TANZANIANS! 😀

Yes jirani, we should be clinging resolutely to Hope right now, and hoping for the 'Dream' to come true in a peaceful manner as our first step, since we haven't really gone through what you guys went through before.
None of us entertain this thought and we shouldn't, but at this point we don't have better options other than 'Actio de masse'

It's unbelievable that I can't write down what am really thinking. I can't be
Your government should count itself lucky, in regards to response by the masses. In Kenya, a road that has been neglected by the relevant authority is enough kinder for fire in the form of protest. Enough for people to confront the police and a few people losing their lives including the security agents themselves. Its a plus for Tz though, maintaining the peace being an important ingredient for public discourse in form of dialogue. But is the political will present for such a big step at the moment? Or has it been postponed for later, when everything has gone south, to give space for chest beating?
 
Kwahiyo Magufuli ndio alikuwa judge akatoa hiyo hukumu?
Mahakama na polisi vyote vinapokea order kutoka kwa Magufuli kuna mkuu mmoja wa mkoa ameomba msamaha kwa Magufuli kwa kimbo lake diwani wa CCM kushindwa. ITV imeomba msamaha kuonyesha live wazi wa kura wewe huo ni tu?
 
Pesa iliahidiwa kusaidia uendeshaji shughuli za kimahakama sio kwenda mifukoni mwa majaji. Hakuna sehemu Magufuli amewataka majaji waende kinyume na taaluma yao. Hukumu zina tolewa kutokana na vitabu vya sheria sio kwa matakwa ya mtu fulani. Kama unaona hujatendewa haki unakara rufaa.
Na amesema mawakili wanao watetea wakosaji nao wafungwe
 
Back
Top Bottom