Tanzania: Mihimili mitatu ya Dola na mwingiliano unaokanganya

Kama ni hivyo basi jeshi nalo liko juu ya serikali maana laweza kumuondoa raisi na hata kumkata masikio kama walivyo fanya kwa Samwel Doe.
Mihimili ni mitatu na kila mmoja una nguvu yake kulingana na katiba na sheria, ndio maana Bunge laweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na kumuondoa Rais madarakani na hayo yamefanyika sana kwenye nchi zilizo starabika.
Mahakama nayo mbona ina nguvu za kuzuia utekelezaji wa maamuzi ya serikali.
 
Katika hali ya nchi kutawalika sheria ziliwekwa hivyo kwa makusudi kabisa.
 

Sema raisi na sio serekali, maana hata Raisi inaonekana yupo juu ya serekali.
 

Mkuu tunazungumzia katiba ujue,, au hilo la jshi lipo kwneye katiba ipi?
 
Mkuu tunazungumzia katiba ujue,, au hilo la jshi lipo kwneye katiba ipi?
Nimetoa mfano huo kwa sababu jamaa kachukulia maamuzi ya kibabe ya serikali kama ndio sheria yenyewe.
Mihimili hiyo kila mmoja una nafasi yake juu ya mwingine
 
alichoandika ni upuuzi km ni nguvu jeshi ndyo wenye nguvu ndyo wenye uwezo wakukalia mabavu madaraka zote japokuwa na nguvu zao bado wanahitaji bunge na mahakama c hvyo tu bado ni waoga kwa wananch wao ndyo mana wanawatia hofu na wananch wanaweza wakazoea hofu mwishowe ikawa km libya egypt na tunisia
 
Kwahiyo unapenda serikali ya bunduki sio ya kura?
 
Soma katiba ya nchi vizuri ili uelewe,,mamlaka ya bunge kwa rais na mamlaka ya rais kwa bunge,, rais hawezi kuvunja bunge alafu akaendelea kuwa rais wa nchi.
 
Mkuu umeeleza vizuri sana. Lakini mleta uzi yeye ameangalia hali iliyoko sasa, jinsi Jiwe anavyoingilia mihimili mingine kama apendavyo. Hajui kwamba kinachoendelea sasa ni udikteta uchwara ambao usipodhibitiwa utakuwa kamili soon.
 
Sijui ibara gani lkn ndivyo Katiba inavyosema, nchi haiwezi kukaa bila ya Raisi na uraisi unakoma pale Raisi mpya anapoapishwa.
Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania linayomamlaka ya kumuondoa rais madarakani na uchaguzi mwingine ukaitishwa.
 
Bunge linaweza kumtoa Rais madarakani kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae.
 
Kwani raisi anapata wapi mawaziri?
Aliyekuita semi-illiterate hajakosea!


!
!
Matusi Au Kejeli Hazitusaidii Sana Mkuu. Nchi Inaweza Kwenda Bila Bunge Wala Mawaziri. Bunge Au Baraza La Mawaziri Linapovunjwa Selikali Huendelea Na Shughuli Zake Kama Kawaida, Huku Ikiandaa Na Kutkeleza Utaratibu Wa Kupata Bunge Lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…