Sawa Mkuu nimekupataWengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia...
Ujinga mtupu, Kenya wamefika wapi na hiyo katiba mpya zaidi ya makelele tuWengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia...
Ni kweli ni Katiba Mpya kuhusu Uislam sina hakika maana Somalia, Senegal na Sudani wanazoWengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Hapana, siyo kweli, hakuna hilo kwenye "sharia law". Hizo ni sheria za kukataza kuabudu ni za kibinaadam, zinakiuka sharia. Sharia nasema hakuna kukirihishana katika dini.Aisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.