Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Saudi Arabia na nchi kadhaa za kiarabu wameshaachana na sheria za quran maana ni ukatili na unyanyasaji.
Hapana si kweli, hakuna ukatili wala kunyanyasana katika sharia.

Nitajie sharia moja ya ukatili na moja ya kunyanyasana kama u mkweli.

Naongelea sharia siongelei nchi fulani.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Kwa aina hiyo ya Katiba inayofuata Sharia, maana yake na nchi yetu nayo itatambulika kama ni ya Kiislam bila shaka!!

Mbona nchi za Ulaya na Marekani zina Katiba nzuri tu, na hazitumii sharia? Wewe kubali tu mchawi wetu sisi ni ccm! Huyu ndiye mharibifu wa kila kitu.
 
Hapana siyo kweli, hakuna hilo kwenye sharia law. Hizo ni sheria zankukataza kuabudu ni za kibinaadam, zinakiuka sharia. Sharia nasema hakuna kukirihishana katika dini.
Mbona Saudi Arabia na Iran zinawatesa Wakristo na huwa tunatoaga support za pesa tuwassuport Wakristo wenzetu.
Taarifa ninazo, hawaruhusiwi kuabudu openly pale Saudia na wanaishi kama vile sio Wasaudia.
Napinga Sharia law maana inaminya uhuru wa kidini na tunapataga taarifa sana kutoka kwa Wakristo wenzetu wa Kiarabu.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Exactly
 
basi sawa. lakini hujatuonesha kwa mifano nchi zinazofungamana na imani ya kidini zilivyofanikiwa kuliko zisizo fungamana

Sitaki hapa kuongelea au kujifananisha na nchi fulani, tutazame matatizo yetu tuliyonayo na tuone sharia itasaidia au haisaidii.
 
Aisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.

Ulitaka kumuabudu mtu aliyetahiriwa na mtu Kama yeye akaichezea ile chu yake?
Hizo nchi kwani nani alikuambia zinafuata sheria Za kiislamu na hazina wakristo?
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Kweli kabisa
 
Mbona Afghanstani wanakwama na Katiba yao toka kwa mola?

Hapa siongelei nchi fulani inafanya nini, kila nchi ina matatizo yake na ina raha zake. Huu uzi siyo wa kujadili nchi fulani.

Tujadili hapa tatizo letu hili, chagua lolote lile, tuone litaondolewaje na sharia.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Huu uzi ngoja nikauwekee lamination kbsa
 
Uzuri wakatoliki tulishaiweka nchi chini ya uangalizi wa mama bikira Maria hamna jambo gumu tutapitia tushindwe
 
Z
Ulitaka kumuabudu mtu aliyetahiriwa na mtu Kama yeye akaichezea ile chu yake?
Hizo nchi kwani nani alikuambia zinafuata sheria Za kiislamu na hazina wakristo?
Zina Wakristo ila wanateseka, hakuna uhuru wa kuabudu.
Pili hupaswi mlazimisha mwanadamu amuabudu nani, hata mababu zetu wa Kiafrika hawakumjua Allah(S.W.T) Wala Mtume wake.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Tengenezeni Taifa lenu huko huko
 
Back
Top Bottom