FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #41
Hapana si kweli, hakuna ukatili wala kunyanyasana katika sharia.Saudi Arabia na nchi kadhaa za kiarabu wameshaachana na sheria za quran maana ni ukatili na unyanyasaji.
Nitajie sharia moja ya ukatili na moja ya kunyanyasana kama u mkweli.
Naongelea sharia siongelei nchi fulani.