Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtazamo wako mama yetu .. na tunapaswa kuhuheshimu ingawa maamuzi ya mwisho yatakuwa ya bunge la katiba na rais mwenyewe..Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Ni upumbavu wa Hali ya juu.Hapo Iran hao wanwake wenye akili wamegoma kufunika kichwa tu sasa wananyongwa fikilia kumuuwa mtu kisa hataki kufunika kichwa
USSR
Kwanini hukushauri kwanza ccm ianze kutumia hizo Sharia ?Najuwa unashangaa lakini moyoni unasema kweli huu ndiyo mwarubaini wetu.
Na wasio waislamu hiyo katiba itawahusu ?Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
lakini ni vyema kujifunza kwa kuangalia waliofanikiwaSitaki hapa kuongelea au kujifananisha na nchi fulani, tutazame matatizo yetu tuliyonayo na tuone sharia itasaidia au haisaidii.
Kama vile huko Ulaya waislamu wana uhuru wa kuabuduZ
Zina Wakristo ila wanateseka, hakuna uhuru wa kuabudu.
Pili hupaswi mlazimisha mwanadamu amuabudu nani, hata mababu zetu wa Kiafrika hawakumjua Allah(S.W.T) Wala Mtume wake.
Tatizo hilo nalo pia lina ufumbuzi wake katika sharia. Wote wawili, mfiraji na mfirwaji wanahukumiwa pamoja.Sharia ya kufirana siyo.
Hiyo ni ya makanisa yanayoruhusu Huo mchezoSharia ya kufirana siyo.
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Hizo ni propaganda Za west na vyombo vyao vya habari. Hivi sasa wanataka kuifungia TikTok habari zao zisitokeHapo Iran hao wanwake wenye akili wamegoma kufunika kichwa tu sasa wananyongwa fikilia kumuuwa mtu kisa hataki kufunika kichwa
USSR
Uliisoma wapi wewe sheria ya Kiislamu?Unazijua nchi zinazofuata Sheria za kiislamu,wewe mwenyewe utakatazwa kupost Uzi humu,usipovaa juba utapigwa mawe,achana na Sheria hizo.
Nyerere ndiye mdini mkubwa Laanatullahi yuleWewe Bibi acha kuturudisha miaka elfu 2 iliyopita ,mambo ya sharia unataka watu wachinjane? Siku hizi kuna haki za binadamu ,tuweke sheria ambazo zitawafanya watu wasizitende ,vifungo,faini,kufilisiwa incase of ufisadi/wizi.
"Nchi yetu haina dini" - Nyerere 1995 Kilimanjaro Hotel Press.
Kujifunza ni kutazama sheria fulani ambayo kwetu haitatuwi tatizo, sharia inatatuwa vipi?lakini ni vyema kujifunza kwa kuangalia waliofanikiwa
Sharia haukutoka Kwa Mungu bali kwa allah wa waarabuWengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Hapana si kweli, kila nchi ina sheria zake za mitandao na nini unaweza kutuma na nini huwezi kutuma.Unazijua nchi zinazofuata Sheria za kiislamu,wewe mwenyewe utakatazwa kupost Uzi humu,usipovaa juba utapigwa mawe,achana na Sheria hizo.
Basi Mungu wa wa waarabu ni tofauti na wa kwetu, allah ni katili sana ila Mungu wetu ni mwenye huruma sanaUkiisoma Biblia ya Kiarabu kila lilipo neno Mungu humo utakuta Allah.