Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Naam, usishangae, hakuna kitakachotuokoa zaidi ya sharia. Kila mmoja atapata haki yake bila manung'uniko.
Kwanini wanawake wa Afghanistan wana manung'uniko?

Unataka kusema duniani islamic states ndio zinaongoza kwa ubora?

Naomba mifano hai.
 
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN NA KUKAA UCHI MBELE YA MASWAWABU WAKE.

Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.

Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
 
USHOGA umetawala sana uswahilini kwa WASWAHILI.(WAISLAMU)

MAENEO YENYE WAISLAMU WENGI
Pemba, LAMU, zanzibar, Mombasa huku ni Ushoga kwenda mbele.

KUMBE MOHAMED ALIKUWA ANANYONYA ULIMI WA AL HASSAN HUKU AKIWA UCHI.
 
L

Licha kuiuchukia Uislamu lakini una Chuki na Mtume wetu Muhammad Salla llahu alayhi wasalam .Na mimi nitakuwa shahidi siku ya kiyama kwa uzushi wako.Wewe si kwanza kwa uzushi wako na hutakuwa wa mwisho.

Mohamed alioa MTOTO wa miaka sita.
Kwa KIFUPI alibaka.

Sahih Muslim 1422 b

'Aisha (Mwenyezi Mungu amrehem) aliripoti:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) alinioa
nikiwa na umri wa miaka sita, na nilipelekwa
nyumbani kwake nilipokuwa na umri wa miaka
tisa.

HUU NI USHENZI MKUBWA.
 
USHOGA umetawala sana uswahilini kwa WASWAHILI.(WAISLAMU)

MAENEO YENYE WAISLAMU WENGI
Pemba, LAMU, zanzibar, Mombasa huku ni Ushoga kwenda mbele.

KUMBE MOHAMED ALIKUWA ANANYONYA ULIMI WA AL HASSAN HUKU AKIWA UCHI.
Kama utafiti wako ndiyo umeonesha hivyo basi sharia ndiyo suluhisho. Sharia inawahukumu wote wawili, anaefanya na anaefanywa.

Juzi juzi tumeona kwenye vyombo habari shoga kahukumiwa miaka 30, basha/mabasha yupo/wapo mitaani wanaendelea kuharibu wengine.

Ufumbuzi wa hayo ni sharia tu.
 
L

Licha kuiuchukia Uislamu lakini una Chuki na Mtume wetu Muhammad Salla llahu alayhi wasalam .Na mimi nitakuwa shahidi siku ya kiyama kwa uzushi wako.Wewe si kwanza kwa uzushi wako na hutakuwa wa mwisho.

JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.

HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????

Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
 
Kwanini wanawake wa Afghanistan wana manung'uniko?

Unataka kusema duniani islamic states ndio zinaongoza kwa ubora?

Naomba mifano hai.
Sijayaona malalamiko yao bali naona vyombo vya habsrii vya kishetani vikijaza watu ujinga (brainnwashing).

Pia usisahau sio sharia tu inayotumika Afghanistan, ni pamoja na sheria za kimila na desturi zao. Kama Tanzania, tuna common lawa na sheria za kimila na kitamaduni zinatumika.
 
JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.

HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????

Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
Hizo ni pirojo na maandiko ys kutungs ns kubadilishwa badilishwa unayoyatowa kwenye mitandao iliyokujaza ujinga.

Haina maana yoyote ni Islamophobes tu.

Hapa tunaongelea sharia, nini unakijuwa kuhusu sharia?
 
L

Licha kuiuchukia Uislamu lakini una Chuki na Mtume wetu Muhammad Salla llahu alayhi wasalam .Na mimi nitakuwa shahidi siku ya kiyama kwa uzushi wako.Wewe si kwanza kwa uzushi wako na hutakuwa wa mwisho.
Hao wabauogopa Uislam (Islamophobes) tunawajuwa. Kazi yao kubwa ninuiga kwa sababu ni washirikina, wezi na wanasambaza ushoga duniani. Wanajuwa hakuna cha kuwazuia isipokuwa Uislam tu.

Utawaona wanajaza mabandiko ya uongo humu watakaowadanganya ni wajinga na washirikina wenzao tu.
 
Hizo ni pirojo na maandiko ys kutungs ns kubadilishwa badilishwa unayoyatowa kwenye mitandao iliyokujaza ujinga.

Haina maana yoyote ni Islamophobes tu.

Hapa tunaongelea sharia, nini unakijuwa kuhusu sharia?

Lete huo WA ukweli usio wa kutungwa.

Kwanini ukosoe bila hoja Wala USHAHIDI.

Sijui unajijua kama wewe ni mtu wa ajabu sana hapa??????.
 
Lete huo WA ukweli usio wa kutungwa.
Sharia inasema. Mwizi akatwe mkono na fisadi auliwe. Shoga na basha wote adhabu yao moja wakati huohuo. Mshirikina hasamehewi. Anaeuwa na yeye auliwe.
 
Hizo ni pirojo na maandiko ys kutungs ns kubadilishwa badilishwa unayoyatowa kwenye mitandao iliyokujaza ujinga.

Haina maana yoyote ni Islamophobes tu.

Hapa tunaongelea sharia, nini unakijuwa kuhusu sharia?

2) Quran Baba kutembea na mtoto uliyezaa na mchepuko wako.

Tafris Al Qurtubi "You can have sex with the daughter and the mother at the same time if she is the daughter from adultery, this is the most agreed opinion of all the Muslim Scholars in the world of Sunni.
 
SISI WAKRISTO tunahimizwa upendo.

HUWEZI kujihesabia Haki kwa MATENDO ya sheria.

Asiye na dhambi na awe WA kwanza kumpiga mawe.

Samehe Saba mara SABINI.

Kisasi ni juu ya Mungu Mwenyewe.

JIFUNZENI KUWA NA UPENDO.
 
Unataka tuishi kama taliban?
Tunataka mwizi aache wizi, tunataka fisadi aache ufisadi, kama hajaacha auwawe, tunataka ushoga ukome kuenezwa, tunataka muuwaji auwawe. Tunataka biashara ziwe siyo za kuoneana, fursa kwa wote.

Sharia zinagusa kila kitu cha maisha ya binaadam ya kila siku.
 
Hivyo vyote ulivyotaja ni kweli tunavihitaji,vipi kuhusu vile vingine ambavyo ni kandamizi?
 
Back
Top Bottom