Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Mnaotaka sharia nendeni afghanstan mkaishi uko kwa aman na upendo wa allah
 
Faizafoxy nakushaur nenda kaishi ni zile mandevu za afghanstan kwa mwaka mmoka tu ili upate exposure ya kitu unacholilia cjui sharia we nenda na familia yako yote na ndugu zako kwa zile mandevu za afghanstan then ukirud tuone kama bado utataka sharia
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Sharia ndo ile mambo ya kukatana mikono?
 
Mana wew hujakaa vizuri na ozo njemba afghanstan ivo credibility ya performance ya sharia huna inabid ukakae afghanstan mwaka mmoja na zile mandevu then ndo uje na mrejesho wa performance ipoje ya sharia kutatua matatizo
 
Nyie watu waovu mno. Hamna wakati serikali ya JMT imekuwa na itikadi ya kutoamini uwepo wa Mungu. Marais wetu wote hawakuficha imani zao na walikuwa waendaji wazuri wa makanisani na misikitini. Siku zote katika JMT itikadi yetu imekuwa serikali haina dini lakini raia na wakaazi wote wa nchi hii wana dini yao. Kwa sababu hiyo, hamna raia wala mkazi atayehukumiwa au kupewa haki kwa msingi wa dini yake nje ya sheria zilizotungwa na Bunge lenye waumini wa karibu dini zote zilizopo. Ndio maana mtu atakayefumaniwa hatapigwa mawe mpaka afe bali anaweza kupelekwa katika vyombo vya sheria ambako kama atapatikana na hatia ya kuvuna sheria iliyopo atahukumiwa inavyopaswa.
Hicho mnacholamikia kuwa mnadhibitiwa ni kuhakikisha kuwa mnawatendea haki waumini na wasio waumini wa dini zenu kwa kusingizia kuwa imani zenu zimeruhusu. Ndio maana katika nchi yetu mkimuua mtu aliyehama dini yenu kuingia nyingine ( apostacy au riddah) kama inavyotakiwa katika imani yenu, sisi tutakukamata na ukipatikana na hatia utanyongwa.
Aidha, ukimuua binti yako au mwanamke yeyote kwa sababu unaamini ni muasherati, ukipatikana na hatia utanyongwa.
Uovu wenu unajionyesha katika namna mnavyolipa uzito suala la uasherati kuliko suala lingine lolote.
Kwa kifupi nchi hii sio yenu peke yenu. Hatutaki Sharia na hamna siku Sharia itachukua nafasi ya nchi yetu. Ukiona hauwezi kuishi katika nchi inayokukataza kumuua binti yako aliyepata uja uzito nje ya ndoa hamia nchi nyingi tu ambazo zinafuata Sharia. Huko utaishi kwa amani na utafaidi maendeleo makubwa waliyo nayo.

Amandla...
Simple.

Sio kuuwa bali kuoa na kuolewa.
Tumekuwa na kampeni inayohalalisha binti asiolewe. Sisi tunahitaji aolewe na aendelee na masomo.

Lkn pia kuna kampeni ya kuwashawishi vijana wa kiume waolewe. Kampeni hizi zinapigiwa debe na viongozi wa imani yenu.

Nirudi kwenye mada.

Ktk somo la falsafa linasema ubora wa serikali yyt inategemea falsafa ya serikali husika, lkn pia hutegemea falsafa na itikadi iliyo ndani ya mioyo ya watendaji wa serikali.

Ndio. Mtendaji hutafsiri jambo kwa vile anavyoliewa yeye. Na uelewa wake unategemea itikadi aliyonayo.

Ndio maana sheria ya wanafunzi wa kiislam kuvaa hijab ilikuwa mbinde, ndio maana sheria ya ugaidi wanaokamatwa na kufungwa vifumgo bila ya ushahidi wala hukumu ni waislam pekee.

Falsafa ya serikali ni Ujamaa. Ujamaa unatokana na uMarx. uMarx inatokana na Atheism (upagani). Wapagani wa watu wenye uhakika kuwa Mungu hayupo.

Hivyo Sirikali za kijamaa kwa msingi huo haiamini uwepo wa Mungu. Na kwa kuwa dini zinamafungamano na mumgu kwa imani hiyo hayupo, na kwa kuwa serikali haina Mungu hivyo haina dini pia. Wakiamini dini ni uraibu, na kwa mujibu wa wajamaa Mungu hajaumba watu bali watu ndio wametumia mungu.

Wajamaa wakiendelea kuthibitisha kuwa Mungu aliuwawa na dola ya warumi na hakufufuka.

Ndio maana tz haina dini haiamini uwepo wa dini wala uwepo wa Mungu. Jambo hili linafichwa lkn ukweli kukuacha mtu huru.

Ndio maana ndani ya katiba hajatajwa Mungu hata sehemu 1.
Hata hivyo kanuni hii imeumdwa kudhitibi baadhi ya dini.

Lkn ni kweli Serikali haina dini?
Dini ni nini?

Dini ni imani, dini yako ni imani yako, dini ni utamaduni, hivyo dini yako ni utamaduni wako.

Kwa muhtadha huo Atheism (Ujamaa)nayo ni imani au dini. Ndio maana Nyerere aliwahi kusema Ujamaa ni imani, kwa maana Ujamaa ni dini.

Kwani dini ni imani na imani ni dini.

Tunataka serikali ya dini zote ili tujifungue kutoka ktk mnyororo na jinamizi hili la kusema serikali haina dini. Ni uongo uliotengenezwa ukarudi rudiwa kutamkwa. Ndio maana haya weye ndugu yangu uongo huu unauamini. Ni kawaida jambo lolote likirudiwa kutamkwa kutamkwa hata kama ni uongo huwa kweli.

Kuna Ubaya gani serikali iwe ya dini zote


Hii nchi ni ya wote. Hivyo dini zote zinapaswa kulindwa.
 
Sharia ndo ile mambo ya kukatana mikono?
Kwa wezi ndio, lakini kabla ya kumkata mkono inatakiws mjiridhishe kuwa alipatiwa fursa ya kujichumia kipato chake kihalali. Mfano, anafanya kazi serikalini, anapokea mshahara halafu hapo hapo anaiba, huyo ni wa kukatwa mkono tu, au unaonaje?
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Faiza acha udini!
 
Mana wew hujakaa vizuri na ozo njemba afghanstan ivo credibility ya performance ya sharia huna inabid ukakae afghanstan mwaka mmoja na zile mandevu then ndo uje na mrejesho wa performance ipoje ya sharia kutatua matatizo
Mbona kuna wengi wanafuga ndevu Tanzania?
 
Ndo iyo iyo sasa faiza hana exposure ila anataka iwepo uku ye aende tu afghanstan one year kwa wale mandevu afu alete mrejesho co kujificha mexico ya k koo
Tanzania naona wezi wakichomwa moto, ndiyo sheria bora hiyo?
 
Nini ufumbuzi wako kuhusu matatizo ya ufisadi Tanzania?
Sheria izi izi tu ni kupata viongozi wa kuzisimamia vizur mfano fisadi akamatwe afungwe na mali zake kutaifishwa pia mahakama iwe na nguvu ya kushitak viongozi
 
Kwanza ndio maana allah anajua kiarabu tu na siku ya qiyamah atakuwa anaongea kiarabu tu.


Unaonaje baada ya hilo tuweke kiarabu kuwa lugha ya taifa?

Hahahahah!
 
Tatizo wew umejikita zaid kwenye udini wakati tuna watu wa imani tofauti, wew unavoamini allah ni muumba wa mbingu na vyote kuna watu hawaamin allah wala muhamadi sasa tusifike kulazimishiana mambo ya dini moja.
 
Sheria izi izi tu ni kupata viongozi wa kuzisimamia vizur mfano fisadi akamatwe afungwe na mali zake kutaifishwa pia mahakama iwe na nguvu ya kushitak viongozi
Report za CAG kila mwaka zinatoka, kiongozi gani amechukuwa hatua?
 
Back
Top Bottom