Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Nenda kaishi huko wakuzalisha wafiaji na wapiganiaji dini kama ISL illivyowafanyia wanawake wengi wapumbavu walioishia kubakwa, kuzalishwa na kutelekezwa.
 
Haya hayafanyiki kwenye majimbo yanayo observe sharia Nigeria.Na infact ndo majimbo yenye watu maskini zaidi Nigeria
Hakuna dini inayoeneza umaskini na yenye ubaguzi kama uislam. Inaongoza kwa kuwatia watu ujinga, kufuga videvu na kuvaa vipedo huku wakizaa hovyo hovyo na kuongeza idadi ya magaidi na wajinga
 
Yesu ni njia ya kweli na uzima mje mbatizwe kwa upanga
 
Tunataka kuondokana na mfumo wa kikoloni wa kimagharib na kujipiga kifua kuwa mfumo wa Mashariki ya kati utatufaa.

Hakika ni jambo la kutia huzuni kuwa tunabadilisha kutoka mkoloni mmmoja kwenda kwa mkoloni mwingine.

Lini bara la Afrika na hususan Tanzania tutaanza kujifikiria kwa kutumia falsafa mpya tuliyoivumbua na kuiunda ili tuweze kuondokana na hizi changamoto badala ya kukimbilia kwa mjomba wa imani na tamaduni nyingine?

Hii haina tofauti na vijana wa mjini Bamako Mali Afrika ya magharibi walipoingia mtaani kushangilia majeshi ya Ufaransa kuondoka na serikali ya Mali kuwakodi askari mamluki wa Wagner Group wa Russia waje kuwalinda?

Hakika ni jambo la kushangaza sana yaani nchi na serikali ya kiAfrika imeshindwa kupiga hatua kushika hatamu za kujitatulia changamoto zake na kualika wageni na mifumo ya kigeni kujilinda ili kuleta maendeleo na nidhamu ya kuacha wizi wa mali ya umma na ufisadi hadi wategemee wajomba wa kigeni waje kuwakomboa kifikra na kimatendo .

Je Afrika na Tanzania tumevurugwa kiakili na hivyo kisiasa, kitamaduni na kijamii tumepotezwa kabisa na sasa kulilia wajomba wapya wageni baada ya kujikomboa kutoka ukoloni mkongwe miaka 61 iliyopita ! ?

 
Utopolo mtupu
 
Najuwa unashangaa lakini moyoni unasema kweli huu ndiyo mwarubaini wetu.
Hamia kaishi na Talebans, halafu cha ajabu watu kama nyie mkipewa chaguo la kwenda kuishi au kusoma kati ya US na Somalia wanaofuata sharia 100% mtachagua US, mna ndoto za ovyo mnataka kuvuruga nchi tuu, nchi nyingi za kiislam zilizotulia na maendeleo wengi ni mafuta tuu na cha ajabu wanalindwa na US
 
Tataizo lako huelewi kuwa hata neno sharia ndiyo hiyo sharia kwa Kiarabu.

Wazungu walipokuja kuuwa babu zako vita ya majimaji na kina Mkwawa, wsliwakuta wanatumia sharia. Wakaiondoanilinwakutawale na kukufanya mtumwa wao wa milele.

Mkonbozi wetu kwa majanga tuliyonayo ni sharia pekee.

Tena ungekuwa muelewa japo kiduchu ulipaswa Taleban uwataje kwa heshima.

Kama ulikuwa huelewi, hawajawahi kutawaliwa kama wewe hao. Mataifa yote makubwa yamejaribu yameshindwa kwa aibu. Alianza Mwingereza akalambishwa shubiri, akaja Mrusi akalambishwa mbigili, kaja Mmarekani na washirika wake wa Nato nzima wakalambishwa uharo wao.



Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Wewe achana na mtindio wake wa ubongo, jibu hoja zake, kama hujazielewa muulize akufafanulie.
Tatizo ni kwamba Huyu Kibibi hana hoja. Ameulizwa huko juu ataje nchi moja inayofuata sharia ambayo ina maendeleo ya kufaa kuigwa... Amekataa kabisa kutaja hiyo nchi.

Na sababu ni kwa sababu yeye mwenyewe haamini kwenye hoja anayoitetea
 
Tatizo ni kwamba Huyu Kibibi hana hoja. Ameulizwa huko juu ataje nchi moja inayofuata sharia ambayo ina maendeleo ya kufaa kuigwa... Amekataa kabisa kutaja hiyo nchi.

Na sababu ni kwa sababu yeye mwenyewe haamini kwenye hoja anayoitetea
Kakuona juha tu, dunia siku hizi kiganjani.
 
Kakuona juha tu, dunia siku hizi kiganjani.
Sasa baada ya kuniona juha, rudi kwenye mada.

Unaonaje ukaweka hapa mfano wa nchi zinayofuata Sharia ambazo zina maendeleo ambayo unataka sisi Tz tuwaige tuwe kama wao.
 
Sasa baada ya kuniona juha, rudi kwenye mada.

Unaonaje ukaweka hapa mfano wa nchi zinayofuata Sharia ambazo zina maendeleo ambayo unataka sisi Tz tuwaige tuwe kama wao.
Tanzania hatutakiwi kuiga nchi yoyote. Itapendeza tufate sharia kwenye matatizo yetu, au huyajuwi matatizo yanayoikabili Tanzania?
 
Uliposifia Taleban nikaacha kusoma, udini utakumaliza
 
Uliposifia Taleban nikaacha kusoma, udini utakumaliza
Nimesifia au ndiyo ukweli? Chuki zako kwa Uislam zisikutie upofo wa kuwacha kuuona ukweli na uziwi wa kuwacha kuusikiliza ukweli.

Kipi nilichojibu kuhusu Taleban ambacho siyo ukweli?

Tunafawahamu, aliyezowea vya kunyonga vya juchinja haviwezi. Mmeshazowea kudanganywa mtauweza wapi ukweli?
 
Tanzania hatutakiwi kuiga nchi yoyote. Itapendeza tufate sharia kwenye matatizo yetu, au huyajuwi matatizo yanayoikabili Tanzania?
Hujajibu swali. Sijakwambia tuige nchi yoyote .

Nimekuambia NITAJIE Nchi yoyote inayofuata sharia ambayo ina hayo maendeleo unayoyasema hapa na ni mfano wa kuigwa duniani.
 
Ni kawaida binadamu kuipinga haki itokayo kwa MUNGU. Nguvu ya shetani iko kazini.
Hivi kulikuwa na sababu gani yesu kukataliwa na kutaka kuuliwa?
Hakuwa Muovu wala hakutaka kuondoa utawala wa wakuu wa nchi,
Bali Shetani alikuwa kazini.
Hii ndiyo kawaida ya HAKI huwa Haipendwi na wengi, ba Batili ndiyo hupendwa na Wafuasi wa SHETANI akina WEWE na Wamagharibi.
SHARIA NDIO HASWA SULUHISHO LA TANZANIA,
 
Saudi Arabia na nchi kadhaa za kiarabu wameshaachana na sheria za quran maana ni ukatili na unyanyasaji.
Upinga qur,an huwezi baki salama hata siku 1 tegemea kuwa shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…