Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila huyu alshabab mnafiki, nchini kwake Zanzibar hajataka katiba ya sharia, Sasa anataka watanganyika watumie sharia!Vipi Zanzibar hawafati?
Nenda kaishi huko wakuzalisha wafiaji na wapiganiaji dini kama ISL illivyowafanyia wanawake wengi wapumbavu walioishia kubakwa, kuzalishwa na kutelekezwa.Utakuwa umelala ysingizi mzito sana ikiwa Hujuwi walichokipitia Taleban kwa miaka 20 ya kupigana na NATO? Mpaka wakawatowa mbio.
Na kabla ya hapo wamewatowa mbio Warusi baada ya miaka zaidi ya 10 ya kupigana nao.
Tena huko wala usiongee kabisa, marijali wale
Hakuna dini inayoeneza umaskini na yenye ubaguzi kama uislam. Inaongoza kwa kuwatia watu ujinga, kufuga videvu na kuvaa vipedo huku wakizaa hovyo hovyo na kuongeza idadi ya magaidi na wajingaHaya hayafanyiki kwenye majimbo yanayo observe sharia Nigeria.Na infact ndo majimbo yenye watu maskini zaidi Nigeria
Yesu ni njia ya kweli na uzima mje mbatizwe kwa upangaWengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Le Monde
www.lemonde.fr
US says Russia's Wagner tried to use Mali to arm itself in Ukraine
![]()
2 days ago — An intelligence document reveals that Yevgeny Prigozhin's mercenary group tried to buy arms from Turkey through Bamako. By Morgane Le Cam... Sergei Lavrov, Russia's foreign minister (left) meets his Malian counterpart Abdoulaye Diop in Bamako, Mali, on February 7, 2023. AFP
Utopolo mtupuWengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Hamia kaishi na Talebans, halafu cha ajabu watu kama nyie mkipewa chaguo la kwenda kuishi au kusoma kati ya US na Somalia wanaofuata sharia 100% mtachagua US, mna ndoto za ovyo mnataka kuvuruga nchi tuu, nchi nyingi za kiislam zilizotulia na maendeleo wengi ni mafuta tuu na cha ajabu wanalindwa na USNajuwa unashangaa lakini moyoni unasema kweli huu ndiyo mwarubaini wetu.
Tataizo lako huelewi kuwa hata neno sharia ndiyo hiyo sharia kwa Kiarabu.Hamia kaishi na Talebans, halafu cha ajabu watu kama nyie mkipewa chaguo la kwenda kuishi au kusoma kati ya US na Somalia wanaofuata sharia 100% mtachagua US, mna ndoto za ovyo mnataka kuvuruga nchi tuu, nchi nyingi za kiislam zilizotulia na maendeleo wengi ni mafuta tuu na cha ajabu wanalindwa na US
Tatizo ni kwamba Huyu Kibibi hana hoja. Ameulizwa huko juu ataje nchi moja inayofuata sharia ambayo ina maendeleo ya kufaa kuigwa... Amekataa kabisa kutaja hiyo nchi.Wewe achana na mtindio wake wa ubongo, jibu hoja zake, kama hujazielewa muulize akufafanulie.
Kakuona juha tu, dunia siku hizi kiganjani.Tatizo ni kwamba Huyu Kibibi hana hoja. Ameulizwa huko juu ataje nchi moja inayofuata sharia ambayo ina maendeleo ya kufaa kuigwa... Amekataa kabisa kutaja hiyo nchi.
Na sababu ni kwa sababu yeye mwenyewe haamini kwenye hoja anayoitetea
Sasa baada ya kuniona juha, rudi kwenye mada.Kakuona juha tu, dunia siku hizi kiganjani.
Tanzania hatutakiwi kuiga nchi yoyote. Itapendeza tufate sharia kwenye matatizo yetu, au huyajuwi matatizo yanayoikabili Tanzania?Sasa baada ya kuniona juha, rudi kwenye mada.
Unaonaje ukaweka hapa mfano wa nchi zinayofuata Sharia ambazo zina maendeleo ambayo unataka sisi Tz tuwaige tuwe kama wao.
Uliposifia Taleban nikaacha kusoma, udini utakumalizaTataizo lako huelewi kuwa hata neno sharia ndiyo hiyo sharia kwa Kiarabu.
Wazungu walipokuja kuuwa babu zako vita ya majimaji na kina Mkwawa, wsliwakuta wanatumia sharia. Wakaiondoanilinwakutawale na kukufanya mtumwa wao wa milele.
Mkonbozi wetu kwa majanga tuliyonayo ni sharia pekee.
Tena ungekuwa muelewa japo kiduchu ulipaswa Taleban uwataje kwa heshima.
Kama ulikuwa huelewi, hawajawahi kutawaliwa kama wewe hao. Mataifa yote makubwa yamejaribu yameshindwa kwa aibu. Alianza Mwingereza akalambishwa shubiri, akaja Mrusi akalambishwa mbigili, kaja Mmarekani na washirika wake wa Nato nzima wakalambishwa uharo wao.
View attachment 2639926
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Nimesifia au ndiyo ukweli? Chuki zako kwa Uislam zisikutie upofo wa kuwacha kuuona ukweli na uziwi wa kuwacha kuusikiliza ukweli.Uliposifia Taleban nikaacha kusoma, udini utakumaliza
Hujajibu swali. Sijakwambia tuige nchi yoyote .Tanzania hatutakiwi kuiga nchi yoyote. Itapendeza tufate sharia kwenye matatizo yetu, au huyajuwi matatizo yanayoikabili Tanzania?
Ni kawaida binadamu kuipinga haki itokayo kwa MUNGU. Nguvu ya shetani iko kazini.Huku kuinama inama mkiwa mnaswali kuna waletea mtindio wa ubongo. Nchi ngapi zenye ushawishi wa waislamu na hazina mafanikio wanapigana kila siku huko kwa mnyaazi kwenyewe ndipo wanazikataa sheria za kipumbavu wao wenyewe ndio walianzisha ila now wanazikataa ww ulieletewa na majahazi naona unataka hadi kupaza sauti na makalio😂😂😂😂😂
Upinga qur,an huwezi baki salama hata siku 1 tegemea kuwa shogaSaudi Arabia na nchi kadhaa za kiarabu wameshaachana na sheria za quran maana ni ukatili na unyanyasaji.