Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Dunia inatakiwa itoke katika uhayani kwa kuondoa sheria za kishezishenzi halafu kichaa wewe unazipigia promo chizi sana ina maana tanzania ni Islamic republic?
 
Ambao hatutoboi ni kina nani.Hebu angalia kanda ya kaskazini,kanda ya ziwa kanda ya nyanda za juu kusini uone kama mnafikia hata asilimia kumi na huko ndiko kuna majority wakristu .
 
HIvyo vyote ni vitabu vilivyoandikwa na wanadamu kama mimi na wewe zamani sana. Mimi kama mimi nasema Mungu sio mmoja bali ni Mungu tu, period. Ukitumia neno mmoja maana yake uneweza kumuona, kutemganisha na viumbe wengine na kumuhesabu. Usiwe mfungwa na mtumwa wa maandishi ya waandishi wa kale
 
Ambao hatutoboi ni kina nani.Hebu angalia kanda ya kaskazini,kanda ya ziwa kanda ya nyanda za juu kusini uone kama mnafikia hata asilimia kumi na huko ndiko kuna majority wakristu .

Ambao hatutoboi ni kina nani.Hebu angalia kanda ya kaskazini,kanda ya ziwa kanda ya nyanda za juu kusini uone kama mnafikia hata asilimia kumi na huko ndiko kuna majority wakristu .

Pwani yote angalia idadi ya waislamu, kanda ya kaskazini 👉TANGA ambayo ni jiji ina idadi kubwa ya waislamu kuliko ninyi wapagani, ukija morogoro, dodoma waislamu wapo, njoo singida sasa waislamu walivyo wengi, nenda kigoma, mafia, kilwa n.k, njoo tabora uone, shinyanga na mwanza to bukoba. Utake usitake idadi ya waislamu ni kubwa kuliko wapagani.

Wakihesabu bila udanganyifu utaona kama sio 70% basi ni 80% ni waislamu
 
Robo tatu ya watu duniani hawataki sheria za qur,an sababu wengi wao ni watenda makosa wanadhani hita wabana
Quran inayoasisi Biashara ya utumwa,utekaji,utesaji,ugaidi na kujilipua mhanga je ndiyo utakatifu?
 
Jinsi hii Mungu Aliupenda ulimwengu,hata akamtuma Mwanae wa pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.(Yohane3:16-18)
 
Wewe umekunywa viloba duniani nchi inayo tumia sheria za kiisilamu ni 1 nayo wakirito hawalali na wayahudi wanajipanga kuiangusha
Sudan Waislam 100% vita haviishi,Syria Waislam 100% vita haviishi je hiyo ndiyo pepo mnayoihitaji?
 
Sharia kwa watanzania mbona wengi watauwawa. Sharia ni katiba ya mwendawazimu. Mungu anafanya kazi ndani ya moyo wa mtu si nje. Dhambi haikai kwenye ngozi. Yaani umesomea ujinga.
 
Mbona haijasuluhisha huko libya somali na nchi zote zinazomuamini mnyaaazi. Jifikirie. Kwenye swala la yesu Mungu ndio alikua kazini na akaruhusu yesu ateswe ili tupone dhambi zetu. Hayo mambo ya sheria za kijinga hizo bakwata wanaibiana na sheria zipo alafu unataka zitumike kwa nchi nzima labda nchi ya wapumbavu kama ww ndio mnaweza weka sheria za kingese kama hizo zenu
 
Mbona haijasuluhisha huko libya somali na nchi zote zinazomuamini mnyaaazi. Jifikirie. Kwenye swala la yesu Mungu ndio alikua kazini na akaruhusu yesu ateswe ili tupone dhambi zetu. Hayo mambo ya sheria za kijinga hizo bakwata wanaibiana na sheria zipo alafu unataka zitumike kwa nchi nzima labda nchi ya wapumbavu kama ww ndio mnaweza weka sheria za kingese kama hizo ze
 
Narudi kwa approach nyingine.

Ili taifa liitwe linafata sheria za kiislam linatakiwa kufanya mabadiliko gani ndani ya katiba.

Na labda niamgazie kiuchumi kwa maana nini falsafa ya uchumi wa kiislam.?!?!

Watu wengi hawana majibu ya suali hili. Na kama tungefahamu basi kungekimbilia kufata falsafa hiyo.

Uchumi wa kiislam umesimama ktk mambo makubwa 3.
Tafaful (insuramce, health and social security fund)
Awqaf (mogadge)
Islamic bank (Interest Free)

Vipi mtz uhadiwe nyumba ya bure badala ya kodi zenu kuwekeza ktk miradi ya pombe, nyumba za bure badala ya ilivyosasa pesa zinapelekwa ktk ujenzi wa nyumba kwa ajili ya watumishi wa umma pekee. Na matokeo yake nyumba zinakosa wapangaji kwa kuwa watumishi wanaishi ktk nyumba walizojenga wenyewe.

Upate tiba bure tofauti na sasa hata chakula mgonjwa inabidi ajihudumie.

Huu ndio uchumi wa kiislam pindi wenye uelewa akiamua kuusimamisha kwa njia za kikatiba.

Tofauti na propaganda za kimagharib kuwa nchi ya kiislam ni ile ambapo mwizi atapatwa mkono, mzinzi ndani ya ndoa atapigwa mawe hadi afe. Sheria hizi sio msingi (primary principal) ya sheria za kiislam bali zipo ktk hatua ya pili (advance). Kwa maana iwapo mambo mengine ya msingi yatawekwa sawa, ndipo sheria hizi zitatukika.

Kwa mfano iwapo kila mwenye nguvu na ujuzi basi aarijire au apate mtaji wa kujiajiri, hapa ikitokea mwizi atahukumiwa, iwapo serikali itawaizesha wenye kuhitaji kuoa/kuolewa, kwa kuwapa social service zitakazowezesha kujitegemea. Mfano; ktk mfumo wa kiislam ujenzi wa nyumba ni wajibu wa serikali.

NB. Hata hivyo Taifa la kiislam halipo na haliwekani. Kinachowezeka na ni baadhi tu ya huduma kwa wananchi kufata value za kiislam. Kama ilivyo sasa ktk Islamic bank na huduma za wakala
 
Wewe unaleta fitna sasa. Unajua nchi hii si ya waislaam peke yao halafu unataka kutuletea ujahidina tukatane miguu na mikono. Wengi kwanza hatuna haja na katiba mpya. Hatuoni tatizo na katiba. Tatizo liko kwenye watu/viongozi. Hawana uadilifu. Ufisadi ndio umetawala mioyo ya watu na viongozi wao.
Nchi ikibahatika kupata kiongozi bora haki na maendeleo vinapatikana.
 
basi sawa. lakini hujatuonesha kwa mifano nchi zinazofungamana na imani ya kidini zilivyofanikiwa kuliko zisizo fungamana
Afghanistan😂🤣😂 na iran kule wanauana kuhusu kuvaa vilemba wanawake😎🙄🤣😃
 
sasa Watanzania wa manzese si watatupiga mawe wote kwa sheria ya uasherati zikiingizwa kwenye katiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…