Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Mashoga hujificha kwenye kichaka cha dini. Chunguza utaona.Shoga yoyote lazima apinge sheria za dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashoga hujificha kwenye kichaka cha dini. Chunguza utaona.Shoga yoyote lazima apinge sheria za dini
Kwanini umenitukana?Kama kweli wewe mkiristo mchambia mkaratasi umekopi nn kwa wakirito wenzio wa ulaya?
Ambao hatutoboi ni kina nani.Hebu angalia kanda ya kaskazini,kanda ya ziwa kanda ya nyanda za juu kusini uone kama mnafikia hata asilimia kumi na huko ndiko kuna majority wakristu .Kwahiyo fayza ni mzanzibari? So, waislamu wote kwao ni zanzibar? Hivi tukihesabiwa hapa kwetu bara unadhani mtafika hata milioni 20 ninyi!!! Na ndio maana inapigwa vita sensa ya dini, mnajua fiika hamtoboi
Dada yetu katoa wazo zuri sana, muungeni mkono, mtayaona matunda
Uisilamu haulazimishi katika dini,
Uisilamu unapiga vita dhulma, ushoga, unyanyasaji, uonevu, wizi, ufisadi, kuuwa watu wasio na hatia, n.k HAKI NI HAKI TU
Allah atakuongoza mkuu kadhi mkuu, Waabheja sana nkoi
HIvyo vyote ni vitabu vilivyoandikwa na wanadamu kama mimi na wewe zamani sana. Mimi kama mimi nasema Mungu sio mmoja bali ni Mungu tu, period. Ukitumia neno mmoja maana yake uneweza kumuona, kutemganisha na viumbe wengine na kumuhesabu. Usiwe mfungwa na mtumwa wa maandishi ya waandishi wa kale''BWANA MUNGU WETU NI MUNGU MMOJA, SIKIA EWE ISRAELI''
kumbukumbu ya Taurati 6:4-9
Sikiza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja. 5Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote. 6Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; 7nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo. 8Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.
Marko 12:29
Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli ''Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja''
QAur-an
112:1-5
1.sema Huyo Mungu ni mmoja tu, 2.Huyo Mungu Ndiye anayetegemewa na walimwengu, 3. Hakuzaa, 4.wala hakuzaliwa, 5.Na wala hakuna mfanano wake na yeyote katika viumbe wake.''
Ambao hatutoboi ni kina nani.Hebu angalia kanda ya kaskazini,kanda ya ziwa kanda ya nyanda za juu kusini uone kama mnafikia hata asilimia kumi na huko ndiko kuna majority wakristu .
Ambao hatutoboi ni kina nani.Hebu angalia kanda ya kaskazini,kanda ya ziwa kanda ya nyanda za juu kusini uone kama mnafikia hata asilimia kumi na huko ndiko kuna majority wakristu .
Quran inayoasisi Biashara ya utumwa,utekaji,utesaji,ugaidi na kujilipua mhanga je ndiyo utakatifu?Robo tatu ya watu duniani hawataki sheria za qur,an sababu wengi wao ni watenda makosa wanadhani hita wabana
Jinsi hii Mungu Aliupenda ulimwengu,hata akamtuma Mwanae wa pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.(Yohane3:16-18)HIvyo vyote ni vitabu vilivyoandikwa na wanadamu kama mimi na wewe zamani sana. Mimi kama mimi nasema Mungu sio mmoja bali ni Mungu tu, period. Ukitumia neno mmoja maana yake uneweza kumuona, kutemganisha na viumbe wengine na kumuhesabu. Usiwe mfungwa na mtumwa wa maandishi ya waandishi wa kale
Sudan Waislam 100% vita haviishi,Syria Waislam 100% vita haviishi je hiyo ndiyo pepo mnayoihitaji?Wewe umekunywa viloba duniani nchi inayo tumia sheria za kiisilamu ni 1 nayo wakirito hawalali na wayahudi wanajipanga kuiangusha
Mbona haijasuluhisha huko libya somali na nchi zote zinazomuamini mnyaaazi. Jifikirie. Kwenye swala la yesu Mungu ndio alikua kazini na akaruhusu yesu ateswe ili tupone dhambi zetu. Hayo mambo ya sheria za kijinga hizo bakwata wanaibiana na sheria zipo alafu unataka zitumike kwa nchi nzima labda nchi ya wapumbavu kama ww ndio mnaweza weka sheria za kingese kama hizo zenuNi kawaida binadamu kuipinga haki itokayo kwa MUNGU. Nguvu ya shetani iko kazini.
Hivi kulikuwa na sababu gani yesu kukataliwa na kutaka kuuliwa?
Hakuwa Muovu wala hakutaka kuondoa utawala wa wakuu wa nchi,
Bali Shetani alikuwa kazini.
Hii ndiyo kawaida ya HAKI huwa Haipendwi na wengi, ba Batili ndiyo hupendwa na Wafuasi wa SHETANI akina WEWE na Wamagharibi.
SHARIA NDIO HASWA SULUHISHO LA TANZANIA,
Mbona haijasuluhisha huko libya somali na nchi zote zinazomuamini mnyaaazi. Jifikirie. Kwenye swala la yesu Mungu ndio alikua kazini na akaruhusu yesu ateswe ili tupone dhambi zetu. Hayo mambo ya sheria za kijinga hizo bakwata wanaibiana na sheria zipo alafu unataka zitumike kwa nchi nzima labda nchi ya wapumbavu kama ww ndio mnaweza weka sheria za kingese kama hizo zeNi kawaida binadamu kuipinga haki itokayo kwa MUNGU. Nguvu ya shetani iko kazini.
Hivi kulikuwa na sababu gani yesu kukataliwa na kutaka kuuliwa?
Hakuwa Muovu wala hakutaka kuondoa utawala wa wakuu wa nchi,
Bali Shetani alikuwa kazini.
Hii ndiyo kawaida ya HAKI huwa Haipendwi na wengi, ba Batili ndiyo hupendwa na Wafuasi wa SHETANI akina WEWE na Wamagharibi.
SHARIA NDIO HASWA SULUHISHO LA TANZANIA,
Narudi kwa approach nyingine.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Wewe unaleta fitna sasa. Unajua nchi hii si ya waislaam peke yao halafu unataka kutuletea ujahidina tukatane miguu na mikono. Wengi kwanza hatuna haja na katiba mpya. Hatuoni tatizo na katiba. Tatizo liko kwenye watu/viongozi. Hawana uadilifu. Ufisadi ndio umetawala mioyo ya watu na viongozi wao.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Afghanistan😂🤣😂 na iran kule wanauana kuhusu kuvaa vilemba wanawake😎🙄🤣😃basi sawa. lakini hujatuonesha kwa mifano nchi zinazofungamana na imani ya kidini zilivyofanikiwa kuliko zisizo fungamana