Road Traffic Signal
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 621
- 1,958
Haya ni matatizo ya kuzeeka ukiwa huna akili.Najuwa unashangaa lakini moyoni unasema kweli huu ndiyo mwarubaini wetu.
Magaidi wakubwa ninyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni matatizo ya kuzeeka ukiwa huna akili.Najuwa unashangaa lakini moyoni unasema kweli huu ndiyo mwarubaini wetu.
Ma shaa AllahHaya ni matatizo ya kuzeeka ukiwa huna akili.
Magaidi wakubwa ninyi
Aisee huyu mwamba angekuwepo kipindi Cha pedophile Muhammad, ingeishia kazi mapemaMuseveni jana kasema, ataeharibu watoto wadogo, ni kifo tu.
NaKatiba nzuri ndo ile inayokataa dhambi na dhuluma
Mengine ni ubadhilifu tu
SasaKwa aina hiyo ya Katiba inayofuata Sharia, maana yake na nchi yetu nayo itatambulika kama ni ya Kiislam bila shaka!!
Mbona nchi za Ulaya na Marekani zina Katiba nzuri tu, na hazitumii sharia? Wewe kubali tu mchawi wetu sisi ni ccm! Huyu ndiye mharibifu wa kila kitu.
Hata ukifuata wewe tu inatosha. Tuache sisi wengine tuendelee kupiga kelele.Sasa
Kama Marekani.na
Ulaya
Wana
Katiba
Nzuri
Na
Hawafuati
Sheria
Mbona
Wakiwaambia
Mfuate
Hommosexuality
Na
LGBT
Mnapiga
Kelele
Hapana, ni kama ilivyo sasa, tuna common laws ambazo kwa kiasi kikubwa zina cannon law.Na
Hiyo
Haipatikani
Nje
Ya
Utawala
Wa
Shari'a
Hapana, hayo ni mawazo yako tu. Soma post ya juu hapo.Kwa aina hiyo ya Katiba inayofuata Sharia, maana yake na nchi yetu nayo itatambulika kama ni ya Kiislam bila shaka!!
Mbona nchi za Ulaya na Marekani zina Katiba nzuri tu, na hazitumii sharia? Wewe kubali tu mchawi wetu sisi ni ccm! Huyu ndiye mharibifu wa kila kitu.
Shari'a itauondoaTatizo la nchi yetu ni umaskini na uongozi mbovu, sharia itaondoaje umaskini zaidi ya kuuzidisha? Una mawazo mgando
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Tatizo watu wanaliogopa neno "sharia", mbona Kiswahili fasaha sheria ni sharia. Wasikilize Wazanzibari wakiongea, wanasema sharia.Labda kama si tanzania hii
Tatizo watu wanaliogopa neno "sharia", mbona Kiswahili fasaha sheria ni sharia. Wasikilize Wazanzibari wakiongea, wanasema sharia.
Kinachotakiwa ni kutazama wapi common law imetufelisha tupabadilii hapo, mdogo mdogo.
Tuanze na ufisadi wa aina zote. Common law imetuangusha sana hapo.
Hadithi za kale, primitive, zisizo na ushahidiShari'a itauondoa
Umaskini
Kupitia
Mfumo
Wa zakat
Na
Kupinga
Ufisadi
Ndio ukaona
Kipindi Cha utawala wa khalifa Abubakar sidiq alipita
Nyumba ya raia wake mmoja mama wa kinaaswara usiku na kusikitishwa na
Hali yake ya kukosa chakula na watoto wake na kitu ambacho
Huwezi
Kukipata
Kwa
Watawala
Wasio wa
Kiislam
Tutazame nchi kama Malaysia ambayo ilikuwa nasikini kama sisi, kakini walipoamuwa common law itumike sambaba na Sharia law, mambo yakabadilika. sasa hivi ni katika nchi zilizoendelea na hawana maliasili za kutufikia.Kwanz atatizo si uwega wa neno sharia, tubadili maali ambapo common law imetuangusha yes ni kuifanyia marekebisho. But marekebisho hayo haimaanishi sharia iwe included.
Tatizo wananchi ni wale wale, na viongozi ni wale wale? Do you think viongozi hawa watakubali hilo?
Tutazame nchi kama Malaysia ambayo ilikuwa nasikini kama sisi, kakini walipoamuwa common law itumike sambaba na Sharia law, mambo yakabadilika. sasa hivi ni katika nchi zilizoendelea na hawana maliasili za kutufikia.
Mseveni ni Mwislam?Na
yenyewe ipo na tumeshaijibu humu, pitia uzi usikurupuke.
Kwenye hilo juzi, jirani yetu, Museveni Kaifata sharia. Sisi tunangoja nini?
Good.Mtu anataka Katiba ya kupendelea kundi fulani badala ajiulize je si ni Waafrika au Waarabu.Je sisi ni Waafrika au Wazungu?Je sisi ni Waafrika au ni Wachina?Je sisi ni Waafrika au Wahindi?Je sisi ni Waafrika u Wamarekani?Kwa nini mtu apendelee sheria inayopendelea upande wake wakati Tanzania tuna watu wa Makabila mbalimbali,mila mbalimbali,desturi mbalimbali,koo mbalimbali na hata dini mbalimbali?Asome vizuri Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Ibara ya 12 na 13.Umeangalia jamii yetu vs jamii yetu culture wise and political wise ?
Kule ilikuwa rahis sababu culture wise almost all are muslims so ilikuwa rahis ku adopt.
Kwenye nchi yetu story is different, culture wise tuko so different, tuna multiple faction kwenye jamii, politics ndio kabisa. You need to find sheria italayo faidisha wote not kundi fulani or else nothing will work