Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furaha ipi yaani mwanamume kuolewa na mwanamume mwenzake ni furaha ???Nambie kati ya nchi zinazoongoza kwa raia wake kuwa na furaha duniani kama kuna nchi ya kiislamu
Hunaga akili kabisaUshetani upo kwenye zile nyumba mnazowaozesha mashoga.
kwenye
Sema kwa sauti na nami naunga mkono Allah na mtune wake wa mwisho muhammad sio Kigezo chenu chema sana.Hakika hili ni jambo jema.
Ahsante umeliona hilo.
Kama wamekubaliana wewe kinachokuuma ni kipi, mbona mchezo huo una asili yake huko zinakotoka shariaFuraha ipi yaani mwanamume kuolewa na mwanamume mwenzake ni furaha ???
Kama wamekubaliana wewe kinachokuuma ni kipi, mbona mchezo huo una asili yake huko zinakotoka shariaFuraha kwa vigezo vipi?
Nchi za magharibi furaha yao ya kwanza ni ushoga, wewe ndiyo kigezo chako hicho?
Sharia ilitoka Sodoma ??Kama wamekubaliana wewe kinachokuuma ni kipi, mbona mchezo huo una asili yake huko zinakotoka sharia
Tumuulize hakimu aliyemfunga mtu miaka 30 kwa kuwa shoga Tanzania hii, juzi juzi, kinamuuma nini.Kama wamekubaliana wewe kinachokuuma ni kipi, mbona mchezo huo una asili yake huko zinakotoka sharia
Tatizo la nchi yetu ni umaskini na uongozi mbovu, sharia itaondoaje umaskini zaidi ya kuuzidisha? Una mawazo mgandoTumuulize hakimu aliyemfunga mtu miaka 30 kwa kuwa shoga Tanzania hii, juzi juzi, kinamuuma nini.
Pia tumuulize Museveni kuweka sheria ya ushiga ni jela maisha, kinamuuma nini?
Sharia unasema imetokea wapi?
Huna ufumbuzi wa matatizo ya Tanzania zaidi au pungufu ya sharia.
Watu kama wewe tunawafahamu kwanini mnaiogopa sharia.
Wakiweza kudhibiti Ubadhilifu Bakwata na misikitini ndo tutapata msingi wa kujadili kuhusu Sharia.Tanzania siyo nchi masikini ubadhirifu mwingi. Sharia itadhibiti ubadhirifu.
Bakwata wanafata sheria za conmon kaw zikizopo Tanzania sasa hivi. Ndizo hizo tunataka zibadilike ziwe sharia zenye ufumbuzi wa matatizo.Wakiweza kudhibiti Ubadhilifu Bakwata na misikitini ndo tutapata msingi wa kujadili kuhusu Sharia.
Umeolewa na sheikh nini isije ikawa mwenzetu unataka sharia (Caliphate)Ili mmeo awe pia na political powers (Halifa)
Bakwata ni taasisi ya Kiislamu na.muongozo wake ni Quran.Katika pitapita zangu baada ya uzi wako nimegundua nchi zote Afrika hazitumii sharia moja kwa moja isipokuwa Somalia na Sudan pekee.Pamoja na kuwa na sharia bado wanapractice common law meaning sharia ina mapungufu to some extentBakwata wanafata sheria za conmon kaw zikizopo Tanzania sasa hivi. Ndizo hizo tunataka zibadilike ziwe sharia zenye ufumbuzi wa matatizo.
Unategemea taasisi iliyoanzishwa na serikali iwe na sheria zipi? Fikiri japo kiduchu.
Fwaki you huoni ugaidiwe juha huna hoja
Eleza Ubaya wa Sheria uko wapi?
Kama Hujui Nyamaza tuu ufuatilie mjadala.
Huu ni uongo wa kiislam issue inakuja vitabu vya uislam vinawaumbua after tafsiri... Al lah anasema Malaika hutumia Miaka elfu moja kufika alipo mbingu sijui ya saba so hizo Ayah kama alishusha Jibril aliyeshuka Duniani na umbo la Dihya ibn Khalifa al-Kalbi shoga wake Apostle wenu ambaye ndio alikuwa wake handsome sana huko Mecca na jirani yake Apostle wenu... so kama aya za mkupuo wa kwanza zilishuka kutoka kwa All lah basi safari ya pili hadi leo ingekuwa bado... Uislam una survival kwa uongo uongo tu na imeruhisiwa hiyo... cultQur'an ineshushwa kidogo kidogo kwa muda wa. Miaka 23. Ni kitabu pekee ambacho toka kushushwa kwake kimehifadhiwa vifuani mwa watu wengi zaidi mpaka leo hii.
Ushajijibu kwa kusema "sijui".Huu ni uongo wa kiislam issue inakuja vitabu vya uislam vinawaumbua after tafsiri... Al lah anasema Malaika hutumia Miaka elfu moja kufika alipo mbingu sijui ya saba so hizo Ayah kama alishusha Jibril aliyeshuka Duniani na umbo la Dihya ibn Khalifa al-Kalbi shoga wake Apostle wenu ambaye ndio alikuwa wake handsome sana huko Mecca na jirani yake Apostle wenu... so kama aya za mkupuo wa kwanza zilishuka kutoka kwa All lah basi safari ya pili hadi leo ingekuwa bado... Uislam una survival kwa uongo uongo tu na imeruhisiwa hiyo... cult
KORAN pia inasema chapter 6:9 ihawezi kutuma Malaika kwa mfano wa Binadamu.
Contradiction zimejaa kwenye Koran na imeandikwa Mkiona Contradiction kwenye Koran basi hicho sio kitabu cha AL lah... na ndio ukweli so issue za Sharia ni ushatwain
Kwa sababu sharia ndiyo inayotowa haki kwa wote. Haina mapungufu.