Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Haya ni matatizo ya kuzeeka ukiwa huna akili.
Magaidi wakubwa ninyi
Ma shaa Allah

Hujawahi kusikia "uzee ni dawa"?

Museveni jana kasema, ataeharibu watoto wadogo, ni kifo tu.

Kama si sharia hiyo ni nini?

Mkiita, msiite "sharia", mtaikubali tu. 👇🏾

 
Museveni jana kasema, ataeharibu watoto wadogo, ni kifo tu.
Aisee huyu mwamba angekuwepo kipindi Cha pedophile Muhammad, ingeishia kazi mapema
Katoto Aisha kangepona kuharibiwa na Babu
 
Sasa
Kama Marekani.na
Ulaya
Wana
Katiba
Nzuri
Na
Hawafuati
Sheria
Mbona
Wakiwaambia
Mfuate
Hommosexuality
Na
LGBT
Mnapiga
Kelele
 
Sasa
Kama Marekani.na
Ulaya
Wana
Katiba
Nzuri
Na
Hawafuati
Sheria
Mbona
Wakiwaambia
Mfuate
Hommosexuality
Na
LGBT
Mnapiga
Kelele
Hata ukifuata wewe tu inatosha. Tuache sisi wengine tuendelee kupiga kelele.
 
Na
Hiyo
Haipatikani
Nje
Ya
Utawala
Wa
Shari'a
Hapana, ni kama ilivyo sasa, tuna common laws ambazo kwa kiasi kikubwa zina cannon law.

Ni kutazama sheria tulizinazo ambazo badala ya kupunguza mmomonyoko wa maadili zinachochea, hizo ndiyo tuzibadilishe moja moja na kufata sharia inasemaje kwenye hilo.

Mfano ubadhirifu wa mali za umma, sharia inasemaje? Tukiiona ina ubora ilipotumika, tunaitumia.
 
Hapana, hayo ni mawazo yako tu. Soma post ya juu hapo.
 
Tatizo la nchi yetu ni umaskini na uongozi mbovu, sharia itaondoaje umaskini zaidi ya kuuzidisha? Una mawazo mgando
Shari'a itauondoa
Umaskini
Kupitia
Mfumo
Wa zakat
Na
Kupinga
Ufisadi
Ndio ukaona
Kipindi Cha utawala wa khalifa Abubakar sidiq alipita
Nyumba ya raia wake mmoja mama wa kinaaswara usiku na kusikitishwa na
Hali yake ya kukosa chakula na watoto wake na kitu ambacho
Huwezi
Kukipata
Kwa
Watawala
Wasio wa
Kiislam
 

Labda kama si tanzania hii
 
Labda kama si tanzania hii
Tatizo watu wanaliogopa neno "sharia", mbona Kiswahili fasaha sheria ni sharia. Wasikilize Wazanzibari wakiongea, wanasema sharia.


Kinachotakiwa ni kutazama wapi common law imetufelisha tupabadilii hapo, mdogo mdogo.

Tuanze na ufisadi wa aina zote. Common law imetuangusha sana hapo.
 

Kwanz atatizo si uwega wa neno sharia, tubadili maali ambapo common law imetuangusha yes ni kuifanyia marekebisho. But marekebisho hayo haimaanishi sharia iwe included.

Tatizo wananchi ni wale wale, na viongozi ni wale wale? Do you think viongozi hawa watakubali hilo?
 
Hadithi za kale, primitive, zisizo na ushahidi
 
Tutazame nchi kama Malaysia ambayo ilikuwa nasikini kama sisi, kakini walipoamuwa common law itumike sambaba na Sharia law, mambo yakabadilika. sasa hivi ni katika nchi zilizoendelea na hawana maliasili za kutufikia.
 
Hadithi za kale, primitive, zisizo na ushahidi
Unataka ushahidi upi kuwa sharia ni njema? Unaonesha huu uzi hujausoma, unakurupuka ili mradi tu upinge hata ambacho hukielewi.
 
Tutazame nchi kama Malaysia ambayo ilikuwa nasikini kama sisi, kakini walipoamuwa common law itumike sambaba na Sharia law, mambo yakabadilika. sasa hivi ni katika nchi zilizoendelea na hawana maliasili za kutufikia.

Umeangalia jamii yetu vs jamii yetu culture wise and political wise ?
Kule ilikuwa rahis sababu culture wise almost all are muslims so ilikuwa rahis ku adopt.
Kwenye nchi yetu story is different, culture wise tuko so different, tuna multiple faction kwenye jamii, politics ndio kabisa. You need to find sheria italayo faidisha wote not kundi fulani or else nothing will work
 
Good.Mtu anataka Katiba ya kupendelea kundi fulani badala ajiulize je si ni Waafrika au Waarabu.Je sisi ni Waafrika au Wazungu?Je sisi ni Waafrika au ni Wachina?Je sisi ni Waafrika au Wahindi?Je sisi ni Waafrika u Wamarekani?Kwa nini mtu apendelee sheria inayopendelea upande wake wakati Tanzania tuna watu wa Makabila mbalimbali,mila mbalimbali,desturi mbalimbali,koo mbalimbali na hata dini mbalimbali?Asome vizuri Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Ibara ya 12 na 13.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…