Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Unazeeka vibaya. Pole sana ulikoangukia sisi ndio tumeamkia
 
Bakwata wanapitia hapa JF, wataiona hoja.

Wewe unapenda ufisadi?
Hawa akina Sinwar wanaohubiri sharia si ndo hawa hawa ambao wanatumia misaada ya watu maskini kujitajirisha?Hebu nambie Ismail Haniyeh hakuwa mfanyabiashara,alipataje ubilionea.Yahaya Sinwar vilevile hakuwa na kampuni kubwa,why mke wake ana mpochi wa mamilioni ya Kitanzania?Fedha wanazitoa wapi?
 
Dini pekee yenye ubora kwa wanaadam duniani ni Uislam. Kumbuka hilo.


Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Ubora wa uislam unaendana na matendo ya waislam.Huko china uislam unaonekana kama u zombie fulani hivi.
 
Ubora wa uislam unaendana na matendo ya waislam.Huko china uislam unaonekana kama u zombie fulani hivi.
Uislam China upo miaka mingi sana. Sishangai mti wenye matrunda kupopolewa.

Lakini nakuhakikkishia hutowezza kusema ubaya wa Uislam kwako wewe ni nini?
 
Majimbo yanayofuata sharia kule Nigeria ndo yanaongoza kwa ufisadi na umaskini.Nibishie nikupe data
Ma shaa Allah, wewe hapo ulipo unao ubaya wa Uislam?

Unataka kuongelea nchi ambayo hujawahi hata kuitembelea?
 
Ile ya taleban sio
 
Moja ya mada za kipumbavu kabisa. Uarabuni wameshindwa. Tanzania tunawezaje?Nani amewapa waislamu wenye msimamo mkali hatma ya maisha ya watu wengine?
Kitakachotokea ni kuuana bila sababu za msingi. Dini yako binafsi, kwanini ulazimishe kila mtu aifuate? agents of Lucifer
 
Ili mtuue vizuri na kuwalazimisha wale wasio waislamu kusilimu? Katika miaka 10 ya Kikwete, namuungs mkono kukataa mahakama ya kadhi.
 
Waislam tunaamini:

ู„ุงูŽ ุฅูู„ูŽู‡ูŽ ุฅูู„ุงูŽู‘ ุงู„ู„ูŽู‘ู‡ู ูˆูŽุญู’ุฏูŽู‡ู ู„ุงูŽ ุดูŽุฑููŠูƒูŽ ู„ูŽู‡ู ู„ูŽู‡ู ุงู„ู’ู…ูู„ู’ูƒู ูˆูŽู„ูŽู‡ู ุงู„ู’ุญูŽู…ู’ุฏู ูŠุญูŠ ูˆ ูŠู…ูŠุช ูˆูŽู‡ููˆูŽ ุนูŽู„ูŽู‰ ูƒูู„ูู‘ ุดูŽูŠู’ุกู ู‚ูŽุฏููŠุฑูŒ.

Laa ilaaha ill-Allaah wahdahu laa shareeka lah, lahuโ€™l-mulk wa lahuโ€™l-hamd yuhyi wa yumeet wa huwa โ€˜ala kulli shayโ€™in qadeer*

* = 1 time after every fardh prayer, except Maghrib and Fajr wherein this has to be recited 10 times)

Hapana mungu ila Allaah peke yake, hana mshirika, Yeye ndiye Mwenye kuhimidiwa, Humhuisha na Anafisha, na Yeye ni Muweza wa kila kitu.
 
Umengatwa na chizi leo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ