Mjinga sana mimi
Member
- Aug 18, 2022
- 96
- 331
Wewe ni matako ety eeSisi hapa ni Tanzania na siyo Iran wala Saudi Arabia.
Tunataka tutatuwe matatizo yaliyopo hapa kwetu kwa njia sahihi, na hakuna leo hii duniani kama sharia.
Matatizo ya uisadi yanazidi na sasa ushoga umepamba moto, tutatuwe vipi nje ya sharia?
Hatujadilii nchi za nje hapa. Tujadili matatizo ya Tanzania na kuyatatuwa kiurahusi ni kufata sharia tu.Sharia gani inayonyanyasa wanawake kama wanyama.Hatutaki Afghanistan nchini mwetu
Naona umetoka nje ya mjadala na kutaka kufungua mjadala mpya nikutakie wakati mwema.Umemtaja Yesu yupi Sasa?
Mi sibishani na mtu anayesema kuwa Isa Yuko ndani ya Biblia.
Hayupo.
Sharia yenyewe Ina mlengo wa kidini haina msaada wowote.Hakuna chama kitachokusaidia, chana kikiwa hakina mrengo wa dini, wanachama wake je?
Kitachotusaidia ni sharia tu.
Ubaya mkubwa wa Sharia ni kwamba Mkristo na mtu yeyote asiyeamini Uislamu ila ni "People of the Book" anapaswa alipe Kodi kubwa kuliko Waislamu, jitzya.Hakuna chama kitachokusaidia, chana kikiwa hakina mrengo wa dini, wanachama wake je?
Kitachotusaidia ni sharia tu.
Sidhani.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Somalia na Pakistan pia.Mbona Afghanstani wanakwama na Katiba yao toka kwa mola?
The Taliban has ordered judges in Afghanistan to fully impose their interpretation of Sharia Law, which include potential public executions, amputations, and flogging. This is a move experts fear will lead to a further deterioration of human rights in the impoverished country.Somalia na Pakistan pia.
Kaka umeongea point kubwa sana.Sharia za Kiislaam ni zipi? Torah ni sheria za Kiyahudi na zilikuwepo miaka maelfu kabla ya Muhammad na uislamu wake.
Acheni kufuata mila za Wayahudi halafu mnaita eti ni sharia za Kiislaam ๐ก.
Moshe (Mussa) anayedai alishushiwa Torah na Mungu wa Israel hakuwa Muislamu wala Muarabu.
Hizo nchi hazina shariaKumbuka, hapa hatuongelei nchi, tunaongelea sharia ambayo ni mwarubaini wa matatizo yetu tuliyonayo.
Ujitaka tuongelee nchi funguwa uzi tutakuja kukujibu.
Ngoja niihamishe post yako nikakujibu kwenye uzi wake.
sharia na sheria vina tofauti gani. Je nchi za kiislam zinazotumia sharia imewasaidia nini wakati ndio nchi zinazoongoza kwa machafuko na rushwa? Marekani wanatumia sharia? Na je nchi za ulaya zinatumia sharia. Acha kuleta udini usiosaidia chochote, nchi yetu haina dini.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Nyerere hayupo tena, nchi yenu ameshawaachia acheni kudeka na kutafuta kichaka cha kuficha matatizo yenu ya ubaguzi.Nyerere ndiye mdini mkubwa Laanatullahi yule
Ni nchi gani imefaidika kijamii na kisiasa kwa kutumia sharia? Ile pale Sudan inasambaratika wakati inatawaliwa kwa kutumia sharia!!Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.