Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Sisi hapa ni Tanzania na siyo Iran wala Saudi Arabia.

Tunataka tutatuwe matatizo yaliyopo hapa kwetu kwa njia sahihi, na hakuna leo hii duniani kama sharia.

Matatizo ya uisadi yanazidi na sasa ushoga umepamba moto, tutatuwe vipi nje ya sharia?
Wewe ni matako ety ee
 
Sharia gani inayonyanyasa wanawake kama wanyama.Hatutaki Afghanistan nchini mwetu
Hatujadilii nchi za nje hapa. Tujadili matatizo ya Tanzania na kuyatatuwa kiurahusi ni kufata sharia tu.

Tuoneshe kifungu cha sharia kinachonyanyasa mwanamke, usituoneshe nchi fulani inanyanyasa wanawske wakati leo hii tumesoma
hapahapa JF mwanamke katolewa meno na jicho, siyo unyanyasaji wa wanawake huo? Sharua hapo na yeye atolewe jicho na meno.na alipe gharama za maumivu na. Majeraha. Kama biblia, jino kwa jino.
 
Hakuna chama kitachokusaidia, chana kikiwa hakina mrengo wa dini, wanachama wake je?

Kitachotusaidia ni sharia tu.
Sharia yenyewe Ina mlengo wa kidini haina msaada wowote.
Hatutaki kuwa wakimbizi kama Wakiristo wa Saudi Arabia.
 
Ub
Hakuna chama kitachokusaidia, chana kikiwa hakina mrengo wa dini, wanachama wake je?

Kitachotusaidia ni sharia tu.
Ubaya mkubwa wa Sharia ni kwamba Mkristo na mtu yeyote asiyeamini Uislamu ila ni "People of the Book" anapaswa alipe Kodi kubwa kuliko Waislamu, jitzya.
Waislamu hutozwa Kodi ndogo, Sasa yanini hii sheria ya kibaguzi.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Sidhani.
 
Sharia za Kiislaam ni zipi? Torah ni sheria za Kiyahudi na zilikuwepo miaka maelfu kabla ya Muhammad na uislamu wake.
Acheni kufuata mila za Wayahudi halafu mnaita eti ni sharia za Kiislaam 😡.
Moshe (Mussa) anayedai alishushiwa Torah na Mungu wa Israel hakuwa Muislamu wala Muarabu.
 
Somalia na Pakistan pia.
The Taliban has ordered judges in Afghanistan to fully impose their interpretation of Sharia Law, which include potential public executions, amputations, and flogging. This is a move experts fear will lead to a further deterioration of human rights in the impoverished country.

Hebu fikiria unachapwa fimbo kisa Imani yako na views zako na hujamuumiza mtu, hii Sharia law bhana mi siiafiki zaidi inaleta chuki Kwa wasiokuwa Waislamu.
Katiba inayotokana na rasimu ya Warioba ndo dawa tosha na pia matumizi ya A.I kwenye financial systems itadhibiti wizi wa fedha.
 
Sharia za Kiislaam ni zipi? Torah ni sheria za Kiyahudi na zilikuwepo miaka maelfu kabla ya Muhammad na uislamu wake.
Acheni kufuata mila za Wayahudi halafu mnaita eti ni sharia za Kiislaam 😡.
Moshe (Mussa) anayedai alishushiwa Torah na Mungu wa Israel hakuwa Muislamu wala Muarabu.
Kaka umeongea point kubwa sana.
Hata Yesu hakuwa Muislamu ila MYAHUDI
 
Kumbuka, hapa hatuongelei nchi, tunaongelea sharia ambayo ni mwarubaini wa matatizo yetu tuliyonayo.

Ujitaka tuongelee nchi funguwa uzi tutakuja kukujibu.

Ngoja niihamishe post yako nikakujibu kwenye uzi wake.
Hizo nchi hazina sharia

USSR
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
sharia na sheria vina tofauti gani. Je nchi za kiislam zinazotumia sharia imewasaidia nini wakati ndio nchi zinazoongoza kwa machafuko na rushwa? Marekani wanatumia sharia? Na je nchi za ulaya zinatumia sharia. Acha kuleta udini usiosaidia chochote, nchi yetu haina dini.
 
Khaaaa....😳 mimi nilidhani nilishaona yote nikamaliza humu ndani, kumbe nilikua najidanganya...😂😜
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Ni nchi gani imefaidika kijamii na kisiasa kwa kutumia sharia? Ile pale Sudan inasambaratika wakati inatawaliwa kwa kutumia sharia!!

Iko wapi Somali na sharia yake? Kwisha kazi, sana sana sharia inazalisha magaidi wa kubeba mabomu kama Alshabab. Sharia ni 🗑 🚮 🗑 🚮
 
Back
Top Bottom