Naongea nachokijua.Usome uislamu upate kujua, na sio kuongea usichokijua
Bhujiku ng'waka
Pili Saudia ndo sehemu Uislamu ulipoanzia na kushika Sharia law .
Iran na Afghanistan wanashika Sharia law.
Wakristo wa nchi hizo wanaishi kama Wakimbizi.
Kufungwa ni muda wowote hasahasa kama mkikutana pamoja kufanya ibada, wanataka Wakristo wafanye ibada majumbani mwao bila kukutana.
Huu ni uminywaji wa haki ya kuabudu inayofanywa na Sharia law.
Sharia law ni sheria ya ukandamizwaji WA dini zingine ikiwemo Ukristo ambapo Yesu Kristo anahubiriwa.
Najua nachokiandika ndo maana nikasema kama hutaki kuishi Tanzania nenda Iran.