Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Usome uislamu upate kujua, na sio kuongea usichokijua

Bhujiku ng'waka
Naongea nachokijua.
Pili Saudia ndo sehemu Uislamu ulipoanzia na kushika Sharia law .
Iran na Afghanistan wanashika Sharia law.
Wakristo wa nchi hizo wanaishi kama Wakimbizi.
Kufungwa ni muda wowote hasahasa kama mkikutana pamoja kufanya ibada, wanataka Wakristo wafanye ibada majumbani mwao bila kukutana.
Huu ni uminywaji wa haki ya kuabudu inayofanywa na Sharia law.
Sharia law ni sheria ya ukandamizwaji WA dini zingine ikiwemo Ukristo ambapo Yesu Kristo anahubiriwa.
Najua nachokiandika ndo maana nikasema kama hutaki kuishi Tanzania nenda Iran.
 
"Saudi Arabia allows Christians to enter the country as foreign workers for work or tourism, but does not allow them to practice their faith openly."
From a known search engine.
Yaani kisa hii Sharia Law inayoitwa perfect law, perfect law ipi inaminya Haki za mtu kumuabudu Mungu Kwa njia anazozijua?
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Hata marekani, ulaya na china wamepata mafanikio kutokana na sharia za kiislam nazipongeza sana hizo nchi kwa kuuata sharia.
 
"Saudi Arabia allows Christians to enter the country as foreign workers for work or tourism, but does not allow them to practice their faith openly."
From a known search engine.
Yaani kisa hii Sharia Law inayoitwa perfect law, perfect law ipi inaminya Haki za mtu kumuabudu Mungu Kwa njia anazozijua?
Mungu ni mmoja tu Hakuna mtu mwenye mungu wake pekeake
 
Hata marekani, ulaya na china wamepata mafanikio kutokana na sharia za kiislam nazipongeza sana hizo nchi kwa kuuata sharia.
Labda unambie China. Sheria za China na sharia hazipishani sana.

Hao wengine wanafikia mpaka mashoga kuoana kanisani i ndio unayaita maendeleo hayo?

Au kwako binaadam kuoana na mbwa ndiyo maendeleo?

Kumbuka, hapa tunataka mwarubaini wa matatizo ya Tanzania, hatuongelei nchi zingine wanafanya nini.

Shortcut ya kutatuwa matatizo ya Tanzania kwa sasa ni sharia tu.
 
Big NO! I'd hate to live in a country governed by sharia law. I personally feel that religion should be a personal issue only and not to be included in politics or laws!
 
"Saudi Arabia allows Christians to enter the country as foreign workers for work or tourism, but does not allow them to practice their faith openly."
From a known search engine.
Yaani kisa hii Sharia Law inayoitwa perfect law, perfect law ipi inaminya Haki za mtu kumuabudu Mungu Kwa njia anazozijua?
Hapa ni Tanzania, hatuongelei nchi nyingine hapa, hapa tunaongelea sharia.

Tupe unayoyaona wewe napungufu ya sharia siyo nchi usizozijuwa.
 
Big NO! I'd hate to live in a country governed by sharia law. I personally feel that religion should be a personal issue only and not to be included in politics or laws!
We are not talking "religion" here, we are talking about which is the best law to cure Tanzania governing problems once and for all.

Sharia is the best so far.
 
Naongea nachokijua.
Pili Saudia ndo sehemu Uislamu ulipoanzia na kushika Sharia law .
Iran na Afghanistan wanashika Sharia law.
Wakristo wa nchi hizo wanaishi kama Wakimbizi.
Kufungwa ni muda wowote hasahasa kama mkikutana pamoja kufanya ibada, wanataka Wakristo wafanye ibada majumbani mwao bila kukutana.
Huu ni uminywaji wa haki ya kuabudu inayofanywa na Sharia law.
Sharia law ni sheria ya ukandamizwaji WA dini zingine ikiwemo Ukristo ambapo Yesu Kristo anahubiriwa.
Najua nachokiandika ndo maana nikasema kama hutaki kuishi Tanzania nenda Iran.
Uislam umehitimishwa nchi ambayo kwa sasa inaitwa Saudi Arabia lakini siyo ulipoanzia.

Hapa hatuongelei Uislam na dini zingine, tunaongelea sharia.

Kama common law imeshindwa ambayo imetokana na cannon law ni wakati sasa tuwe na sharia law.
 
We are not talking "religion" here, we are talking about which is the best law to cure Tanzania governing problems once and for all.

Sharia is the best so far.
Sharia ni kwaajili ya waislam tu!

Religion is only between you and whatever entity you believe in. Nobody should interfere in it and nobody should force his/her beliefs onto others. Just mind your own business!
 
Labda unambie China. Sheria za China na sharia hazipishani sana.

Hao wengine wanafikia mpaka mashoga kuoana kanisani i ndio unayaita maendeleo hayo?

Au kwako binaadam kuoana na mbwa ndiyo maendeleo?

Kumbuka, hapa tunataka mwarubaini wa matatizo ya Tanzania, hatuongelei nchi zingine wanafanya nini.

Shortcut ya kutatuwa matatizo ya Tanzania kwa sasa ni sharia tu.
Unazijua sheria za china wewe. Ingekuwa zinavutiwa hao wakimbizi wakiarabu na kiafghanistan wanaokimbilia ulaya kila siku si wa ngeenda huko
 
Sharia ni kwaajili ya waislam tu!

Religion is only between you and whatever entity you believe in. Nobody should interfere in it and nobody should force his/her beliefs onto others. Just mind your own business!

Hapana , dharia ni kwa ajili ya viumbe vyote. Isome sharia japo juu juu tu uone jinsi itavyo tatuwa matatizo yetu.
 
Sio uzushi, Wakristo wa Iran na Saudi Arabia wanateseka kwasababu ya Imani Yao.
Saudi Arabia sio sehemu salama pa kuishi Kwa Mkristo hata kukutana pamoja ni hatari, wanataka uabudu nyumbani peke yako, huu ni uminywaji wa uhuru wa kuabudu.
Nina taarifa zote
Kwanza si kweli, kama u mkweli weka udhahidi wa hao wakristo wanavyiteseka Saudi Arabia. Iranbsufahamunsheria zao.

Pia hapa tuongelee sharia siyo nchi za watu.

Pata darsa dogo la sharia:

Sharia inaainisha matendo yote ya mwanadamu katika makundi matano tofauti: ya lazima, yaliyopendekezwa, yanayoruhusiwa, yaliyokatishwa tamaa, na yaliyokatazwa.
 
Unazijua sheria za china wewe. Ingekuwa zinavutiwa hao wakimbizi wakiarabu na kiafghanistan wanaokimbilia ulaya kila siku si wa ngeenda huko
Kasome historia japo kidogo uone muingilianonna mahusiano ya Waarabu na Wachina umeanza lini na sasa uko wapi. Jionee👇🏾

Historia ya Uislamu nchini China ilianza miaka 1,300 iliyopita.

Soma zaidi: History of Islam in China - Wikipedia

Sasa turudi kwenye sharia, ambayo mimi naona ndiyo mwarubaini wa matatizo ya kuipeleka Tanzania kwenye mafanikio ya haraka.
 
Usome uislamu upate kujua, na sio kuongea usichokijua

Bhujiku ng'waka
Uislam ni uchafu ni bora asiusome ili awape heshima waislam ila akiusoma ataujua kuwa sio dini ile.. inaelekeza muslim wote wataenda motoni proof zote zipo tena kwenye koran yao na hadithi zao its total Shetwain religion. Tuheshimiane tu ila we are total defferent and Dini ile inamtaka Musilam akikutana na Myahudi au Mkristo basi muslim kabla hajapata salam kutoka watu wa kitabu anatakiwa kumsukuma kwenye bonde aanguke hata akifa mbali.. ni furaha ya Al lah..

Pia Kizazi cha watu weusi ndio kizazi anachokichukia Al lah na destiny ya mtu mweusi ni hell

Faida ya Uislam ni for all those who desire to have sex ndio kuna promise kama zote tena mabikira zaidi ya 70 and wanaambiwa wakiwa huko after death any wishi wakitaka wanapata ukitaka pombe, bange, mke wa rafiki yako ,dada yako,mother wako n,k dini gani hii
 
Back
Top Bottom