Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
....Hivi Katiba za Uingereza, Marekani, China nata Cuba zinatoka kwenye 'Sharia'?? [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ukiona wewe una akili zaidi ya matatizo yetu na unao ufumbuzi tueleze ufumbuzi wako utaotatua tatizo.

Mfano, tuna tatizo kubwa la ufisadi wa mali za umma, utatuzi wako ni upi?
Kwa mama Tanzania hilo halitawezekana ila unashauriwa kuhamia Afghanstan.Nchi zote za Ulaya hazina sharia na ,ina mafanikio
 
Hakuna tatizo kujadili kwa kina lililo jema kwa nchi yetu, kama sharia itatufaa na ndiyo itayotuondolea ufisadi na maadili mabovu kwanini tusiifate?
Huwezi kupata katiba bora kama hamna usawa. Ubepari na Haki ni maji na mafuta.
 
Koran 5:14
14. Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ya waliyo kumbushwa. Kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya Kiyama. Na hapo Mwenyezi Mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.

5:14

Sahih International
And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded. So We caused among them animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allah is going to inform them about what they used to do.

Hii ndio kazi kubwa ya Al lah Aya aliyowashushia muslim ndio maana Faizafox haachi chuki dhidi ya Uislam na Uyahudi
Swali jiulize kazi ya Shetwan ni nini au ndio yeye?
 
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku,
Hivi wewe unaijua vizuri sharia?!!!

1685255517600.png

Iran yanyonga wawili kwa kukufuru.

Wanaume hao wawili walikamatwa mwaka wa 2020 na kushutumiwa kwa kuendesha kituo cha Telegram kiitwacho “Ukosoaji wa Ushirikina na Dini”, kulingana na Shirika la Habari la Wanaharakati wa Haki za Kibinadamu la Iran (HRANA).

Mbele ya sharia hata mtoto mdogo yupo hatarini..
 
Kwa katiba hii ya sasa mbovu niko tyr kuungana na mnyaaazi ili kupata katiba na sharia za kiislam.

Walau tuondokane na mfumo wa mwanamke kuoongoza
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mf
Samahani naomba ushahidi wa Quran kwenye mambo yafuatayo:

1) Kuna makosa adhabu yake ni kupigwa mawe. (Naomba ushahidi kwamba ni Mungu mwenyewe ndiyo ametamka)

2)Kuna makosa adhabu yake ni kupigwa fimbo. (Naomba ushahidi kwamba ni Mungu mwenyewe ndiyo ametamka)

3)Kuna makosa adhabu yake ni kukatwa mikono. (Naomba ushahidi kwamba ni Mungu mwenyewe ndiyo ametamka)

4) Quran kuitaja Fiqh

Shariah
is the whole divine law and values as given by Allah. fiqh is the laws extracted by Muslim jurists from the sources of Islamic law. fiqh contains human involvement which is required as juristic interpretation comes in.

5) Huu si utashi wa mwanadamu uliojificha kwenye kivuli cha dini???
 
Nimehamishia oost yako kwenda uzi. Ambao unahusiana na maswali na yako, pitia huko utayapata majibu.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
nakubalina na wew
 
Nje ya mada:
Surah Al-Maidah (5:51)

۞ يَـٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ لَا تَتَّخِذُوا۟ ٱلْيَهُودَ وَٱلنَّصَـٰرَىٰٓ أَوْلِيَآءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَآءُ بَعْضٍۢ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُۥ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهْدِى ٱلْقَوْمَ ٱلظَّـٰلِمِينَ ٥١

51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Maswali:

1) Hawa watu walimfanya nini Allah mpaka awachukie kiasi hiki????

2) Kwa nini watu wa dini zingine kama vile uhindu,ubudha,shinto n.k Allah hajawataja hapa??? Hawafahamu??? Aliwasahau????

3) Hakika Mwenyezi Mungu: Kuna mtu anamsemea Mungu hapa.Huyu ni nani???

4) Je, haya ni maneno ya Mungu au binaadamu aliyeendeshwa na chuki,visasi,hasira, wivu,ubaguzi juu ya jamii nyingine akaamua kutumia dini kufikisha ujumbe?????

5) Uhusiano wa kijamii baina ya jamii za Kiyahudi na Kizungu katika jamii ya kiarabu ulikuaje zama hizo??? Haikupelekea hizi chuki???
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.

Tutawapatieaje sasa watz katiba hiyo bila ya kuwa na chama kitachokuwa na itikadi yenye ushawishi kwa watz wote.

Je wewe uko tayari kuandaa katiba itayokidhi mahitaji ya watz kwa njia ya uislam?

Au uko tayari kusupport mchakato huo?!

Mwisho niseme tu ubora wa serikali yyt inategemea falsafa na itikadi ya serikali hiyo.

Kwani falsafa na itikadi ndio msingi wa sheria, kanuni, sera na utamaduni wa taifa.

Binafsi nina katiba itayowafaa watz kwa falsafa na itikadi ya uislam. Katiba ambayo ni kujuishi na naamini atakubaliwa na nusu ya watz.
 
Umeweka bandiko refu sana, hakuna mwenye muda wa kulisoma.

Weka point zako moja moja zinazohusiana na mada iliyopo.

Nimetofautisha kati ya ALLAH na allah hawalingani!
Kama una nia soma point moja moja kisha ijengee hoja!

Halafu urefu linazidi qurani!
 
Back
Top Bottom