Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tutawapatieaje sasa watz katiba hiyo bila ya kuwa na chama kitachokuwa na itikadi yenye ushawishi kwa watz wote.

Je wewe uko tayari kuandaa katiba itayokidhi mahitaji ya watz kwa njia ya uislam?

Au uko tayari kusupport mchakato huo?!

Mwisho niseme tu ubora wa serikali yyt inategemea falsafa na itikadi ya serikali hiyo.

Kwani falsafa na itikadi ndio msingi wa sheria, kanuni, sera na utamaduni wa taifa.

Binafsi nina katiba itayowafaa watz kwa falsafa na itikadi ya uislam. Katiba ambayo ni kujuishi na naamini atakubaliwa na nusu ya watz.
Acording shia, sunni, cadian, mohamed abubakar....au?!
 
Dadangu faiza, kinacholeta maendeleo wala sio katiba. Ni ufinyu wa kuwaza tu wa wapinzani kwamba katiba ndo inaweza kuleta maendeleo.
Binafsi naamini kabisa kinacholeta maendeleo ni usimamizi mdhubuti wa rasilimali za nchi, pamoja na uwajibikaji usio wa kutega kwa watendaji na maafisa mbalimbali wa ngazi tofauti serikalini.
Nilijifunza hilo kwenye utawala wa baba yangu rais JPM Mungu amrehem. Alisimamia vvilivyo kila rasilimali ya nchi yetu matokeo tulienda uchumi wa kati haraka kuliko ilivyotegemewa.
Ingekuwa sharia ndo inaleta maendeleo basi china, usa, uk,ujerumani, urusi, na nchi nyingi sana wasingekuwa na maendeleo haya tunayoyaona.
Nisiishir hapo tu
Nchi kama afganistan, iran, na zingine nyingi zingekuwa na maendeleo makubwa sana sababu zinaongozwa kwa utaratibu wa sharia
 
Kasome historia japo kidogo uone muingilianonna mahusiano ya Waarabu na Wachina umeanza lini na sasa uko wapi. Jionee👇🏾

Historia ya Uislamu nchini China ilianza miaka 1,300 iliyopita.

Soma zaidi: History of Islam in China - Wikipedia

Sasa turudi kwenye sharia, ambayo mimi naona ndiyo mwarubaini wa matatizo ya kuipeleka Tanzania kwenye mafanikio ya haraka.
Nimekuuliza ni sheria ipi ya china inafanana na sharia. Hiv unajua kwanza china ndio nchi inaongoza kwa kula kitimoto dunian. Maana ucje kufikiri unaongea na mapoyoyo hapa. Unataka kutuletea hizo sheria za mazombi wanazotumia taleban. Upuuz mtupu.
 
Nemshangaa sana mtoa hoja.Uingerrza hawafuati sharia and so is USA na nchi zingine za G8.Kati ya hizo hakuna anayefuata sharia na wana maendeleo.Haya mambo mnaongea as if mko kwenye gahawa
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
He, kunywa maji ukalale
 
Acording shia, sunni, cadian, mohamed abubakar....au?!
according to me.

Na msingi wa utofauti wake si sera. Ni itikadi.

Hakuna maendeleo kama huna itikadi inayowakutanisha.

Itikadi ya ccm na ndio ya serikali ni kutoamini uwepo wa Mungu na hivyo kutokuwa na dini.

Itikadi ya chama hiki ni kuamini uwepo wa Mungu na hivyo tutaunda serikali ya dini zote.

Hii haina maana kuwa tutaunda serikali za kudini, laa. Bali tutaunda serikali inayolinda dini na kudhibiti uesharati.

Na hii ndio tofauti kuu na serikali isiyo na dini ambapo inalinda wafanya Uesherati na kuthibiti baadhi ya dini.
 
Kwako tatizo ni uasherati tu siyo?No wonder mnataka umri wa mabinti kuolewa upunguzwe
 
Kwako tatizo ni uasherati tu siyo?No wonder mnataka umri wa mabinti kuolewa upunguzwe

Kiungwana nitakujibu kuwa binti yyt anaehisi anahitaji kufanya ngano akiwa ktk mfumo wa elimu au hata nje ya mfumo wa elimu na aolewe.

Lkn sheria hiyo haitowahusu watz wote. Kama vile hijab haiawahusu watz wote.

Lkn jibu sahihi zaidi ni kwamba weye yataonekana kwa uchache una sifa zifuatazo.

Mlevi.
Umezaliwa nje ya ndoa,
Nawe tunaishi na kimada na hamtoowana hadi umpachike mimba.
Hujawahi kuishi na waislam ukauona wema wetu.
Kwa mara ya kwanza uliwaona waislam ulipokuja dar.

Kwa hiyo hujui uslam zaidi ya kuusikia kutoka kwa kiongozi wako wa kiroho.

Hivyo hujui kuwa waislam wana itikadi na imani ambayo hatumlazimishi mtu mwengine kufata na hivyo hatulazimiki kufata matakwa ya itikadi za wazungu na ubepari ambao kwasasa unahimiza wadada wasiolewe. Na wanaume kuowana.

Hivyo vitendo cha kuoja msichana anaielewa unaoja si haki za binadamu.
 
Hebu mtupishe hapa sheria za binadamu ndo zitaokoa kumwagika kwa damu. Na uko Uarabuni rushwa Km kawa tu. Binadamu binadamu tu
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Tekbiir, kwakuwa Uislamu ulianzishwa na kanisa katoliki, naunga mkono hoja.
 
Nje ya mada:
Surah Al-Maidah (5:51)

۞ يَـٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ لَا تَتَّخِذُوا۟ ٱلْيَهُودَ وَٱلنَّصَـٰرَىٰٓ أَوْلِيَآءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَآءُ بَعْضٍۢ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُۥ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهْدِى ٱلْقَوْمَ ٱلظَّـٰلِمِينَ ٥١

51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Maswali:

1) Hawa watu walimfanya nini Allah mpaka awachukie kiasi hiki????

2) Kwa nini watu wa dini zingine kama vile uhindu,ubudha,shinto n.k Allah hajawataja hapa??? Hawafahamu??? Aliwasahau????

3) Hakika Mwenyezi Mungu: Kuna mtu anamsemea Mungu hapa.Huyu ni nani???

4) Je, haya ni maneno ya Mungu au binaadamu aliyeendeshwa na chuki,visasi,hasira, wivu,ubaguzi juu ya jamii nyingine akaamua kutumia dini kufikisha ujumbe?????

5) Uhusiano wa kijamii baina ya jamii za Kiyahudi na Kizungu katika jamii ya kiarabu ulikuaje zama hizo??? Haikupelekea hizi chuki???
Hizo ni finction tu za Vatican, hakuna Mungu hapo, hizi ni dini zimeanzishwa na binadamu kwa malengo maalum, Allah anasingiziwa tu.
 
Lakini huyu mama kuna wakati namkosea majibu nabaki nacheka tu😂😂😂😂
 
according to me.

Na msingi wa utofauti wake si sera. Ni itikadi.

Hakuna maendeleo kama huna itikadi inayowakutanisha.

Itikadi ya ccm na ndio ya serikali ni kutoamini uwepo wa Mungu na hivyo kutokuwa na dini.

Itikadi ya chama hiki ni kuamini uwepo wa Mungu na hivyo tutaunda serikali ya dini zote.

Hii haina maana kuwa tutaunda serikali za kudini, laa. Bali tutaunda serikali inayolinda dini na kudhibiti uesharati.

Na hii ndio tofauti kuu na serikali isiyo na dini ambapo inalinda wafanya Uesherati na kuthibiti baadhi ya dini.
Nyie watu waovu mno. Hamna wakati serikali ya JMT imekuwa na itikadi ya kutoamini uwepo wa Mungu. Marais wetu wote hawakuficha imani zao na walikuwa waendaji wazuri wa makanisani na misikitini. Siku zote katika JMT itikadi yetu imekuwa serikali haina dini lakini raia na wakaazi wote wa nchi hii wana dini yao. Kwa sababu hiyo, hamna raia wala mkazi atayehukumiwa au kupewa haki kwa msingi wa dini yake nje ya sheria zilizotungwa na Bunge lenye waumini wa karibu dini zote zilizopo. Ndio maana mtu atakayefumaniwa hatapigwa mawe mpaka afe bali anaweza kupelekwa katika vyombo vya sheria ambako kama atapatikana na hatia ya kuvuna sheria iliyopo atahukumiwa inavyopaswa.
Hicho mnacholamikia kuwa mnadhibitiwa ni kuhakikisha kuwa mnawatendea haki waumini na wasio waumini wa dini zenu kwa kusingizia kuwa imani zenu zimeruhusu. Ndio maana katika nchi yetu mkimuua mtu aliyehama dini yenu kuingia nyingine ( apostacy au riddah) kama inavyotakiwa katika imani yenu, sisi tutakukamata na ukipatikana na hatia utanyongwa.
Aidha, ukimuua binti yako au mwanamke yeyote kwa sababu unaamini ni muasherati, ukipatikana na hatia utanyongwa.
Uovu wenu unajionyesha katika namna mnavyolipa uzito suala la uasherati kuliko suala lingine lolote.
Kwa kifupi nchi hii sio yenu peke yenu. Hatutaki Sharia na hamna siku Sharia itachukua nafasi ya nchi yetu. Ukiona hauwezi kuishi katika nchi inayokukataza kumuua binti yako aliyepata uja uzito nje ya ndoa hamia nchi nyingi tu ambazo zinafuata Sharia. Huko utaishi kwa amani na utafaidi maendeleo makubwa waliyo nayo.

Amandla...
 
Back
Top Bottom