Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Sharia ni kwaajili ya waislam tu!

Religion is only between you and whatever entity you believe in. Nobody should interfere in it and nobody should force his/her beliefs onto others. Just mind your own business!

Natamani sana iwe hivyo, na OSMAN BAY tumchukue, tumpatie hii nchi atawashikisha adabu mafisadi, waonevu, wanyanyasaji, wadhulumaji, na wanaokashifu imani zingine, wezi, vibaka n.k,
 
Ile nchi inaendeshwa kwa sheria ya dini ya kiislam
Hatutaki kama wewe unataka si uende huko wanakoendesha kwa hizo sharia za dini
Usikurupuke, siku hizi dunia kiganjani, isome historia ya sheria ya Sudan hapa👇🏾

Mfumo wa kisheria wa Sudan

The legal system of Sudan has evolved over time. The legacy of British colonial rule has had a significant impact even after independence. Most of the lawyers and judges were British trained and initially tended to rely on judicial precedent. Soon after independence, however, pressure began to build to change the legal system. By the time Jaafar Nimeiry seized power in 1969, a commission had been working on recommendations for a new system, but he dissolved it and formed another commission dominated by 12 Egyptian jurists. Based on recommendations received from them, Sudan adopted a new civil code that looked much like the Egyptian civil code of 1949. The new system was controversial because it disregarded existing laws and customs and introduced many new legal terms and concepts from Egyptian law without source material to interpret the codes. In 1973 the government repealed these codes and returned the legal system to its pre-1970 common-law status. In 1977 Nimeiry agreed to consider a Muslim Brotherhood demand that the system be based on Islam. He appointed al-Turabi as chairman of a committee to draft new Islamic laws. Nimeiry accepted few of the proposals from this committee. He then established a small, new group in 1983 that developed a “cut-and-paste” version of sharia laws based on practice in other countries. In September 1983, Nimeiry issued several decrees, known as the September Laws, which made sharia the law of the land.[1]

Waislamu wa kisekula na watu wa Kusini ambao wengi wao si Waislamu walipinga vikali kuwekwa kwa sheria ya Kiislamu. Hata kabla ya kutolewa kwa Sheria za Septemba, hata hivyo, John Garang , kiongozi wa Sudan People's Liberation Movement (SPLM) alijitenga na serikali na kuanza kuandaa upinzani wa Kusini kumpindua Nimeiry. Kutekelezwa kwa adhabu ya hudud , ambayo ni pamoja na kuchapwa viboko na kukatwa mikono na miguu, kuliibua upinzani mkubwa kwa serikali ya Nimeiry. Kufuatia kupinduliwa kwa Nimeiry mwaka 1985, serikali ya Swar al-Dahab ilisimamisha adhabu kali zaidi za hudud. Wote Swar al-Dahab na mrithi wake aliyechaguliwa kidemokrasia, Sadiq al-Mahdi, iliunga mkono sharia lakini ikakosoa mbinu yake ya utekelezaji na Nimeiry. Kufikia mapema mwaka wa 1989, al-Mahdi aliyesitasita alionyesha nia ya kufikiria kufutwa kwa sheria za sharia zenye utata. Hii ilisababisha mshirika wake wa muungano, al-Turabi na National Islamic Front (NIF), kujiuzulu kutoka kwa serikali kwa kupinga. Al-Mahdi alitangaza kwamba baraza la mawaziri litazingatia rasimu ya sheria ya kufuta Sheria za Septemba 1, 1989, na itakutana na viongozi wa SPLM kutatua kwa amani kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mapinduzi ya kijeshi ya Juni 1989 yaliyoongozwa na al-Bashir yalitokea saa 24 tu kabla ya serikali ya al-Mahdi kupangwa kupiga kura ya kufuta Sheria za Septemba. [1]

Awali serikali ya al-Bashir ilishikilia kusitishwa rasmi kwa utekelezaji wa sheria za sharia lakini iliwashauri majaji kuzitumia badala ya kanuni za kilimwengu. Al-Bashir alimtaka al-Turabi kuandaa sheria mpya zinazozingatia kanuni za Kiislamu. Mnamo Januari 1991, al-Bashir aliamuru kwamba sheria ya Kiislamu itatumika katika mahakama kote Kaskazini, lakini sio Kusini. Katiba ya 1998 ilibainisha kuwa chanzo cha sheria kwa Sudan kilikuwa sharia na ridhaa ya kitaifa kupitia upigaji kura pamoja na katiba na desturi. Kiutendaji, Sudan iliuchukulia Uislamu kama dini ya serikali na ilitarajia kuwa itahamasisha sheria za nchi, taasisi na sera za Kaskazini. Katiba ya Kitaifa ya Muda haikusisitiza sana jambo hili na ilisema kwa uwazi kwamba Sudan ilikuwa "nchi yenye dini nyingi" ambapo utofauti ulimaanisha kuishi pamoja. Hata hivyo,Chama cha National Congress (NCP). [1]

CPA ilibadilisha kwa kiasi kikubwa muundo wa mahakama Kaskazini na kuunda mfumo mpya wa kisheria wa Sudan Kusini , majimbo, na mji mkuu wa kitaifa wa Khartoum . Katiba ya Kitaifa ya Muda ilianzisha mamlaka huru ya mahakama ya kitaifa inayoongozwa na jaji mkuu. Jaji mkuu aliwahi kuwa rais wa Mahakama ya Juu ya Kitaifa na aliwajibika kwa rais wa jamhuri. Miundo ya mahakama ya kitaifa ilijumuisha Mahakama ya Juu ya Kitaifa, mahakama za kitaifa za rufaa, na mahakama nyingine za kitaifa. Hata hivyo, mahakama ilisalia kwa kiasi kikubwa kutii rais au vikosi vya usalama, haswa katika kesi za uhalifu dhidi ya serikali. [1]

Mahakama
Sheria ya Sharia
Marejeleo
Ilihaririwa mwisho mwaka 1 uliopita na JJMC89 bot III
MAKALA ZINAZOHUSIANA
Chama cha National Congress (Sudan)
1998-2019 chama tawala cha Sudan

Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu
1976-1998 shirika la kisiasa la Sudan

Jamhuri ya Sudan (1985–2019)
Serikali ya Sudan kutoka 1985 hadi 2019

Wikipedia
 
Naongea nachokijua.
Pili Saudia ndo sehemu Uislamu ulipoanzia na kushika Sharia law .
Iran na Afghanistan wanashika Sharia law.
Wakristo wa nchi hizo wanaishi kama Wakimbizi.
Kufungwa ni muda wowote hasahasa kama mkikutana pamoja kufanya ibada, wanataka Wakristo wafanye ibada majumbani mwao bila kukutana.
Huu ni uminywaji wa haki ya kuabudu inayofanywa na Sharia law.
Sharia law ni sheria ya ukandamizwaji WA dini zingine ikiwemo Ukristo ambapo Yesu Kristo anahubiriwa.
Najua nachokiandika ndo maana nikasema kama hutaki kuishi Tanzania nenda Iran.

Usinipangie pa kuishi, kwanza hii nchi ikifanya sensa ya dini na kihalali, utaona idadi ipi kubwa. Yani ninyi hata asilimia 40 haifiki+wapagani
 
Magaidi katika ubora wenu.

Kum ma mam zen hatuwez kuwasujudia magaidi nyie.

Maninah nyie
Nafahamu, mnaigopa sharia itawaharibia mambo yenu.

Wewe ni aidha, mshirikina, fisadi, mwizi, au mpenda ushoga.

Unafahamu kuwa hayo hayana mwanya ndani ya sharia.
 
Umetaja nchi nyingi sana, tuanze na hiyo moja.

Unafahamu leo hii ndiyo nchi inayoongoza duniani kuongelea na kusambaza sharia?

Unafahamu kwanini?
Mfumo wowote utakaoondoa dhuluma za ccm,watu wawe huru kufanya mambo Yao ya kiuchumi,bila kukandamizwa na vyombo vya serikali vinavyotumika vibaya,ifike mahari tuzalishe kina dangote,bakheresa,Eron musk wengi,
Iwe rahisi kumshitaki rais wa nchi akizingua kama SA ilivyofanya kwa Zuma,
Vyombo vya Dola viwe huru sio kutumika kisiasa,
 
Kwanza si kweli, kama u mkweli weka udhahidi wa hao wakristo wanavyiteseka Saudi Arabia. Iranbsufahamunsheria zao.

Pia hapa tuongelee sharia siyo nchi za watu.

Pata darsa dogo la sharia:

Sharia inaainisha matendo yote ya mwanadamu katika makundi matano tofauti: ya lazima, yaliyopendekezwa, yanayoruhusiwa, yaliyokatishwa tamaa, na yaliyokatazwa.
The laws and policies restrict religious freedom, and in practice, the government
generally enforced these restrictions. Freedom of religion is neither recognized nor
protected under the law and is severely restricted in practice. The country is an
Islamic state governed by a monarchy; the king is head of both state and
government. According to the basic law, Sunni Islam is the official religion and the
country's constitution is the Qur'an and the Sunna (traditions and sayings of the
Prophet Muhammad). The legal system is based on the government's application of
the Hanbali School of Sunni Islamic jurisprudence. The public practice of any
religion other than Islam is prohibited, and there is no separation between state and
religion. The government did not respect religious freedom in law, but generally
permitted Shia religious gatherings and non-Muslim private religious practices.
Some Muslims who did not adhere to the government's interpretation of Islam
faced significant political, economic, legal, social, and religious discrimination,
including limited employment and educational opportunities, underrepresentation
in official institutions, restrictions on religious practice, and restrictions on places
of worship and community centers.
There was no change in the status of respect.

Najua nachokiandika na uhakika ninayo 100% Kuna shahidi zingine sio za kutolea hapa Maana ni privacy ya washirika wa Kikristo walioko Arabuni.
 
Attachments

Mfumo wowote utakaoondoa dhuluma za ccm,watu wawe huru kufanya mambo Yao ya kiuchumi,bila kukandamizwa na vyombo vya serikali vinavyotumika vibaya,ifike mahari tuzalishe kina dangote,bakheresa,Eron musk wengi,
Iwe rahisi kumshitaki rais wa nchi akizingua kama SA ilivyofanya kwa Zuma,
Vyombo vya Dola viwe huru sio kutumika kisiasa,
Na visiwe na mrengo wa kidini , Sharia Iko kidini zaidi, hairuhusu nchi kuwa na watu kama Elon musk, Angalia Saudi Arabia kule hawana watu kama Elon Musk, bila mafuta wangekuwa masikini kama sisi.
 
The laws and policies restrict religious freedom, and in practice, the government
generally enforced these restrictions. Freedom of religion is neither recognized nor
protected under the law and is severely restricted in practice. The country is an
Islamic state governed by a monarchy; the king is head of both state and
government. According to the basic law, Sunni Islam is the official religion and the
country's constitution is the Qur'an and the Sunna (traditions and sayings of the
Prophet Muhammad). The legal system is based on the government's application of
the Hanbali School of Sunni Islamic jurisprudence. The public practice of any
religion other than Islam is prohibited, and there is no separation between state and
religion. The government did not respect religious freedom in law, but generally
permitted Shia religious gatherings and non-Muslim private religious practices.
Some Muslims who did not adhere to the government's interpretation of Islam
faced significant political, economic, legal, social, and religious discrimination,
including limited employment and educational opportunities, underrepresentation
in official institutions, restrictions on religious practice, and restrictions on places
of worship and community centers.
There was no change in the status of respect.

Najua nachokiandika na uhakika ninayo 100% Kuna shahidi zingine sio za kutolea hapa Maana ni privacy ya washirika wa Kikristo walioko Arabuni.
You are right, and you have answered yourself in your first paragraph.

Sharia is not monarchy law, what you have instigated here as sharia is monarchy law.

Umebugi maan.
 
Mohamed alioa MTOTO wa miaka sita.
Kwa KIFUPI alibaka.

Sahih Muslim 1422 b

'Aisha (Mwenyezi Mungu amrehem) aliripoti:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) alinioa
nikiwa na umri wa miaka sita, na nilipelekwa
nyumbani kwake nilipokuwa na umri wa miaka
tisa.

HUU NI USHENZI MKUBWA.
Sharia itaruhusu tuoe watoto wa miaka tisa kama mtume
 
Ukishakuwa Muislam lazima uwaze kipumbavupumbavu Tu sijui mnashidagani nyie maislam

😂😂
Sasa mbona Mimi sio muislam Mkuu!
Sisi wengine tunachoangalia ni ukweli na uhalisia WA mambo.
Uislam ni Dini yenye utaratibu, sheria na Kanuni. Ikifuatiwa na Uyahudi. Hizo zingine zilizobaki zinakosa Sifa hiyo muhimu.

Kama Ukristo ungekuwa na sheria bainifu alafu ziwe zinaeleweka ningeunga mkono Ukristo uwe kama Katiba ndani ya nchi yetu.
Lakini Ukristo hauna misingi hiyo(misingi ya sheria)
 
You are right, and you have answered yourself in your first paragraph.

Sharia is not monarchy law, what you have instigated here as sharia is monarchy law.

Umebugi maan.
Kiufupi shariah inarestrict uhuru wa kuabudu even if it's not a monarchy law.
And by the way , Saudi Arabia and Iran wanatumia sharia Kwa asilimia 80% na wanachowafanyia Wakristo wa kule inathibitisha kilichomo ndani ya Sharia.
No Freedom of religion.
 
Na visiwe na mrengo wa kidini , Sharia Iko kidini zaidi, hairuhusu nchi kuwa na watu kama Elon musk, Angalia Saudi Arabia kule hawana watu kama Elon Musk, bila mafuta wangekuwa masikini kama sisi.
Elon Musk mpaka leo anataka kuingiza biashara yaje ya satellite Tanzania kakataliwa, na sisi vipi hapo?

Saudi Arabia wanafata sheria ya Ufalme (monarchy) na kuiinguza ingjza sharia sehemu zingine, hawafati sharia 100% kama ikivyi Tanzabia, tuna common law na sheria zingine zioo jwa uchache wake.

Naongelea sharia, siongelei Saudi Arabia wanafanya nini. Kumbuka hilo.

Hivi huelewi neno letu sheria limetoka wapi? Fikiri.
 
peleka sharia nyumba kwako na ukoo wako

Usituletee mambo Yako ya kidini

Hata sheria za Vatican hatuzitaki.

Watu kama nyie ndio sumu inayolitafuna Taifa hili chini kwa chini.

Jitu zima halioni aibu kupropose mambo ya kipumbavu.

Huko shule ulienda soma ujinga dini Imekukata hadi chini ya fuvu hujui whichi is which

Usituletee mambo ya kitaleban hapa nchi kwetu.

Kama una hamu sana hizo sharia zenu nenda afighanstan na Iran na kwengineko kwenye hizo sharia.

Stupid.
 
Kiufupi shariah inarestrict uhuru wa kuabudu even if it's not a monarchy law.
And by the way , Saudi Arabia and Iran wanatumia sharia Kwa asilimia 80% na wanachowafanyia Wakristo wa kule inathibitisha kilichomo ndani ya Sharia.
No Freedom of religion.
Hata wakiitumia 100% mradi wanatumia na sheria zingine zisizo sharia kutakuwa na mapungufu tu. Maana unatiwa loophole.

Hakuna sharia inayomdhalilisha au kumkandamiza yeyote weka ushahidi.
 
... lakini hujatuonesha kwa mifano nchi zinazofungamana na imani ya kidini zilivyofanikiwa kuliko zisizo fungamana
FaizaFoxy naomba umjibu huyo hapo juu atakuwa haelewi kitu kabisa 😄.

Alafu mueleze kwa nini watu hawampendi sharia sababu inaongoza kwa kuua zaidi.
 
peleka sharia nyumba kwako na ukoo wako

Usituletee mambo Yako ya kidini

Hata sheria za Vatican hatuzitaki.

Watu kama nyie ndio sumu inayolitafuna Taifa hili chini kwa chini.

Jitu zima halioni aibu kupropose mambo ya kipumbavu.

Huko shule ulienda soma ujinga dini Imekukata hadi chini ya fuvu hujui whichi is which

Usituletee mambo ya kitaleban hapa nchi kwetu.

Kama una hamu sana hizo sharia zenu nenda afighanstan na Iran na kwengineko kwenye hizo sharia.

Stupid.
Common law inayotumika sasa hivi Tanzania ni ya Kipagani na ikapachikwa ndani yake cannon law Au huelewi unachokiongea?

Tanzania sharia law ipo kwa uchache sana. Kwa madai ya mirathi, ndoa na talaka za Waislaam, sasa ni wakati muafaka ipanuliwe.

Kwa kuanzia ihusishe mambo matatu tu, ufisadi, wizi na ushoga.

Ndipo tutaanza. Kuiona raha yake.
 
basi sawa. lakini hujatuonesha kwa mifano nchi zinazofungamana na imani ya kidini zilivyofanikiwa kuliko zisizo fungamana
Hakuna nchi niijuwayo inayofata sharia 100% duniani.

Hapa Tanzania tunayo sharia kwenye mambo ya ndoa talaka na Mirathi za Kiislaam, hukuti kwenye hayo mazagazaga kama kwa wengine.

Kwa kuanzia tuongeze japo sharia tatu tu kwa nchi nzima, ili tykabiliane na kutatuwa matatizo makuu ya wazi kabisa, tuweke sharia kwenye ufisadi, wizi na ushoga.

Tuanzie hapo tuone raha yake.
 
FaizaFoxy naomba umjibu huyo hapo juu atakuwa haelewi kitu kabisa 😄.

Alafu mueleze kwa nini watu hawampendi sharia sababu inaongoza kwa kuua zaidi.
Hakuna hilo, tena sharia ya kuua zipo chache sana.

Mojawapo ni kwa mwenye kuuwa auwawe na fidia ya damu ya aliyeuliwa ilipwe kwa thamani yake kwa warithi au warithi wamsamehe alipe damu tu.

Sasa linganisha hiyo nabyetu ya sasa hivi, mtu ananyongwa na warithi hawapati kitu, ipi bora?

Sharuabya kuuwa pia ipo kwa wezinwa kiwsango cha ufisadi wa mali za umma na za binafsi.

Kama mwizi hajafikia wizi wa kiwango cha ufisadi analambwa mkono tena kwa masharti yake siyo kukatwa tu mkono.

Hii itasaidia sana kuleta maendeleo Tanzania.
 
Back
Top Bottom