Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Mfumo wowote utakaoondoa dhuluma za ccm,watu wawe huru kufanya mambo Yao ya kiuchumi,bila kukandamizwa na vyombo vya serikali vinavyotumika vibaya,ifike mahari tuzalishe kina dangote,bakheresa,Eron musk wengi,
Iwe rahisi kumshitaki rais wa nchi akizingua kama SA ilivyofanya kwa Zuma,
Vyombo vya Dola viwe huru sio kutumika kisiasa,

Mkuu, hii nchi ikiongozwa kwa sharia ya kislamu utaenjoy sana na kujiona umechelewa sana kuunga mkono wazo la dada yetu FaizaFoxy Allah amzidishie kheri wa barka,,

Katika machache ndani ya sharia,
1 Kuiba kura hakutakuwepo

2 Kuhonga pesa ama kwa njia yoyote ya kupewa kura hakutakuwepo

3 Uonevu na udanganyifu
4 Kuawa pasina hatia
5 Dhulma kwa njia yoyote ile
6 Hakuna kulazimishana katika dini
7 Haki Haki
8 Mikopo ya riba haitakuwepo wala njia yoyote isiyo ya halali

N.k N.k N.k

Kila mtu ataishi kwa amani na furaha bila kujali dini yake
 
Mkuu, hii nchi ikiongozwa kwa sharia ya kislamu utaenjoy sana na kujiona umechelewa sana kuunga mkono wazo la dada yetu FaizaFoxy Allah amzidishie kheri wa barka,,

Katika machache ndani ya sharia,
1 Kuiba kura hakutakuwepo

2 Kuhonga pesa ama kwa njia yoyote ya kupewa kura hakutakuwepo

3 Uonevu na udanganyifu
4 Kuawa pasina hatia
5 Dhulma kwa njia yoyote ile
6 Hakuna kulazimishana katika dini
7 Haki Haki
8 Mikopo ya riba haitakuwepo wala njia yoyote isiyo ya halali

N.k N.k N.k

Kila mtu ataishi kwa amani na furaha bila kujali dini ya mtu, wasio na dini pia wataishi kwa amani
Hawaelewi hao, tunawashauri kuondowa matatizo sugu ya Tanzania wao hawatuelewi.

Wahenga walisema "sikio la kufa halisikii dawa".
 
Simple.
Sisi tunapinga mtoto ambae bado hajakomaa kuolewa kwa sababu:
1. Hajafikia umri wa kuweza kuchanganua kati ya ubaya na uzuri.
2. Maumbile yake hayaja komaa kumruhusu kuzaa bila kuathirika.
Ndio maana watoto wa praimari na sekondari hawaruhusiwi kuolewa au kuoa. Ndio maana ukitembea na msichana mwenye umri chini ya miaka 16 unahesabika kuwa umebaka hata kama aliridhia. Nyie mnataka kuoa watoto wa miaka minane. Sisi tunasema akifikia umri wa kuweza kuolewa hata kama yuko chuoni anaweza kuolewa.

Hakuna kampeni inayofanywa ya kushawishi vijana wa kiume kuolewa au wa kike kuoa. Kinachofanyika ni kusema watu wa jinsia moja waliofikia umri ya kuweza kufanya maamuzi hayo waruhusiwe kufanya maamuzi. Na hii inafanyika na watu wa dini zote na sio wa dini yetu peke yao. Kuna madhehebu katika dini yetu yanapinga ndoa za namna hii kwa sauti kubwa.

Suala la uvaaji wa hijab lilipingwa kwa sababu kwa wakati ule katika shule za serikali hawakutaka masuala ya dini za wanafunzi kupewa kipaumbele. Watu wakajadiliana na walipoona haina athari ikaruhusiwa. Lakini siku zote katika shule za dini yenu mliruhusiwa kuweka mkazo katika uvaaji wa hijab hata kwa wale ambao sio wa dini yenu.

Sheria ya ugaidi inahusu watu wa dini zote. Ndio maana katika nchi za magharibi vikundi kama IRA vinatambulika kuwa ni vya kigaidi ingawa wengi wao ni wakatoliki. Sehemu nyingine watu wa imani yenu wamefanya ( na wanaendelea kufanya ) vitendo viovu kama kuwachinja hadharani watu wasiokubaliana na dini yao, kuingia kwenye sehemu za biashara, za usafiri, za starehe n.k. na kuua watu wasiokuwa na hatia yeyote na kusema wazi kuwa wanafanya vitendo hivyo kutokana na imani yao. Ndio maana hata hapa kwetu waliowafungulia mashitaka ya ugaidi watu wa dini yenu walikuwa ni wenzenu. Na walifanya hivi baada ya kutokea vitendo viovu kama hivyo au baadhi ya viongozi wenu kuhimiza kuwa yatendeke. Ndio maana kiongozi wa kisiasa mwenye dini yetu aliweza kufunguliwa mashtaki ya ugaidi na hamna aliyesema kuwa alifanyiwa hivyo kwa sababu ya dini yake.

Marxism hautokani na atheism. Na atheism sio upagani. Atheist haamini katika dini ya aina yeyote lakini mpagani anaamini katika miungu yake ambao wanaweza kuwa ni vitu kama jua au kuwa miungu yake wako katika milima, mapori n.k.

Na kuna tofauti kati ya ujamaa na umarxism. Wajamaa ( socialists) wengi kama Nyerere walikuwa na dini zao na ma marxist wengi hawana imani katika mifumo ya dini. Ndio maana nchi yetu haijawahi kuzuia dini yeyote ile kwa msingi tu wa imani yake. Kinachozuiwa ni dini yeyote kuingilia uhuru wa watu wasio wa dini yake. Ndio maana Mashahidi wa Yehova kwa muda mrefu walikuwa wamebanwa.

Katiba haiwezi kumtaja Mungu kwa sababu sio wote wanamtambua Mungu. Kutomtambua Mungu sio kosa la jinai.

Aliyekwambia kuwa ujamaa ni atheism alikudanganya. Ujamaa hauhusiani kabisa na atheism.

Sio kila imani ni dini. Kuna itikadi za mambo ya kisiasa au uchumi na watu wanakuwa na imani nazo huku wakiendelea kuwa na dini zao. Ndio maana tuna mabepari wengi wa dini yenu na wanaendelea kushikilia dini yao wakati wakiwa na imani katika ubepari.

Hatuwezi kuwa na serikali ya dini zote kwa sababu kwa kufanya hivyo :
1. Kutawapa upendeleo wenye dini dhidi ya wasio na dini.
2. Kuna dini zitataka zipewe upendeleo dhidi ya nyingine. Ndio maana kila siku tunazungumza kana kwamba nchi yetu ina dini mbili tu wakati tuna wapagani, wahindu, wabaha'i, rastafarian, mabuddhist, zoroastrians na wengine wengi.

Hapana, hamna serikali ya dini nyingi inayoweza kudumu. Serikali ibakie bila dini ila raia wawe huru kuwa na dini wanayoitaka. Wote watambuliwe sawa mbele ya serikali bila kujali dini ya watawala.

Serikali kutokuwa na dini ndio kumefanya ndoa za zaidi ya mke mmoja kutambulika kisheria ingawa dini yetu haizitambui. Ndio kunawapa haki ya kuswali kama ambavyo mnavyotakiwa na dini yenu bila kujali kuwa ni wakati wa kufanya kazi. Ndio kumeruhusu vitu kama talaka na mirathi kusimamiwa chini ya sheria za dini yenu.

Amandla...
Bwana mdogo unajichanganya.

Lini mwanamke aliweza kuchanganua baya au zuri zaidi ya wale washika dini.

Unasema mtoto hajakomaa viongo, kwanini sasa wanafanya zinaa. Na kama kuna madhara ningepata ushahidi wa kisayansi kwa kuangali wanyama iwapo nao wanapata madhara hayo. Hakuna.

Niseme hivi wewe mnapigania sadako bora wafanya zinaa lkn wasiolewe sawa na wanavyofikiri watendaji wa serikali.

Watendaji ambao kwa 85% wana uwezo wa kufikiri kama wako, kwa kuwa wametokana na tabaka moja, itikadi moja na imani sawa na wewe.

Sisi tunahitaji kujiondoa ktk kitanzi hiki.

Ni watendaji walevi, wanaotokana na kizazi cha zinaa (wasioowana zaidi ya kubariki ndoa). Serikali hii pamoja na rasilimali tulizonazo itabaki kuwa ni ya laana.

Mimi nina suluhisho la kudumu linalobeba mawazo ya watz zaidi ya mil10. Hatuwezi kushinda uchaguzi kwa idadi tuliyonayo, bali tunaweza kuwa na kura ya maamuzi. Kwa kuamua chama gani kitashinda tukiamua kuungana nao.

Kumchelesha binti kuolewa manake unamfanya binti huyo kuwa ni bidhaa ya wote.

Hata akifika miaka 25 tayari wanakuwa na amemzidi nguvu mwanamme anaetaka kumuona. Kwa kuwa kapitia kila aina ya mwaname na kujua udhaifu wako na hasa kwenye tendo la ndoa. Na nakuona huna ladha ndio matokeo tunayoyaona sasa kutoaminiana ktk ndoa. Kila unapomchelewesha mwanamke kuolewa manake anazidi kukosa uadilifu. Na anabaki na uesharati. Hata akiwa kupata mtoto nae wanakuwa na akili za kiasherati.

Hivi kuna Ubaya gani kuwa na kuwepo na sheria inayowahusu baadhi ya watu kufanya sawa na itikadi na imani zao, kama ilivyo suala la hijab. Kwa imani nyengine ndoa ji tendo la kiimani na kiibada hivyo kwa jamii ilimatured na yenye watu wanaotokana na imani tofauti wote wanastahili kulindwa.

Tunapugania yafuatayo.

Mwanamke au wanawake ni wa Mwanamme mmoja.

Na ndoa ndio muhuri wa kiimani unaoweza kujenga jamii hiyo.

Kinyume chake kupigania wasichana waliofikia umri wa kuolewa, na wasiolewe manake unawataasisisha uzinifu na kuwafata dadazetu wawe ni kwa ajili ya mwanamme yyte. Uasherati.

Kwamba kila mtu mwenye kisu kirefu atakula nyama. Na tunawaona wadogo wetu watz kwenye mitandao na saloon wakijiuza.

Mwanamke kadiri anavyochelewa kuolewa ndivyo anavyoondoshwa ubinadamu wake.

Hivyo kama ilivyo kwa sheria ya hijab ni suala la imani na itikadi na inawahusu baadhi tu ya watz na ndoa pia kwa upande wetu ni suala la imani na itikadi.

Itoshe kusema hivyo. Kama wewe huafi hakuna shida. Endelea na imani yako ilivyokuwa contaminated na ubepari na ujamaa. Sawa matajiri ukiowataja.

But lengo letu ni kuwarejesha na kujirejesha sisi wenyewe kuwa na uhuru wa kujiamulia mambo yetu wenyewe. Ikiwemo uhuru wa kufanya ibada.

Hivyo tunahitaji chama mbadala kitachokuwa na itikadi hiyo ambacho kura ndizo zitakazoamua.

Kama watachagua serikali isiyo na dini au Serikali ya dini zote.

Dhana ya chama Chenye kuunda serikali ya dini zote inaamini ktk serikali ya shirikisho. Kwa hapa nchini Serikali ya majimbo sita. Case study ni serikali ya switzerland. Nchi inayotambuliwa ni kisiwa cha amani, furaha na utulivu.

Tz yafaa kuwa na serikali ya majimbo 6 yenye nguvu ya kujiamulia mambo yao wenyewe.

Na kila jambo LENYE maslahi mapana ya taifa litaamukiwa kwa kura ya maoni kwa kila jimbo.

Bila ya shaka majimbo ndio watakayomua binti awe na haki na uhuru wa kuolewa akifika wa ukubwa. naelewa pia uzito wa jambo hili hata ktk jamii yangu kwa kuwa pia wengi tuko contaminated. Binafsi natamani vijana waoane na waende kukaa kwa wazazi wao. Hata walipata ujauzito na mtoto, mtoto aendelee kukaa wa babu au bibi yake, wana ndoa waendelee kupiga kitabu,

Kuna raha sana kwa kijana akifikisha miaka 40 awe tayari ana watoto watatu waliomaliza hata university.
Hata unafikisha umri wa miaka 45 nguvu linaanza kupungua watoto tayari wanajitegemea. Kwa kuwa walizaliwa mapema wakati wazazi wao wakiwa wakiendelea kusoma.

Kwa lazima fikra hizi zianze sasa. Na si lazima zishinde baada ya miaka 5.

Tumejiandaa kimaono, na tutatekeleza haya wakijitokeza watu watakaoumga mkono hoja hii. Tunafanya kwa kutaka kuona opinion za watu, na kwakuwa hakuna sheria tutakayoivunja.

Wasipojitokeza tutaiunga mkono chadema. Kwani tutakuwa tumepiga hatua moja ya kuwa na serikali za majimbo zenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo Yetu wenyewe.

Wakati mwengine nacheka pekeangu hivi ninyi kwa nini mnalazimisha watu wakubali mnachokiamini ninyi. Sisi hatuwalazimishi ninyi kufanya tunayoyaamini. Lkn hatuwezi kukaa kimya ktk nchi ambayo inadhibiti dini zisiwe na uhuru kamili wa kupractise ibada zao. Ikiwemo ibada ya kuolewa kwa mabinti walio baleghe na wanahitaji kupata chakula hiki cha nafsi.

Huku ni kwenda kinyume na uhuru na haki yao ya kibinadamu.

Serikali inaruhusu watu wapumzike siku ambayo inasemekana yesu alisulubiwa. Kwann watendaji wa serikali waruhusu jambo hili ilhali kuwa watz hawaamini kuwa yesu alisulubiwa. Basi kama hili limewekana na ndoa ni ibada ya watz wengine hivyo mabinti zao wanayo hati na hiari ya kutekeleza wakiwa wakiendelea na masomo.

Ndugu zangu eleweni. Tunapopigajia wasichana wanaotaka kuolewa na wakati huohuo waendelee na shule, haina maana sheria hiyo ikipita wasichana wote ni sharti aolewe. Laa. Ni wale tu wanaohisi wanahitaji kufanya hivyo

Kwa kumaliza tukiuliza tunataka kuachieve nini.

Mimi nataka kumhifadhi binti na dada zetu wasiwe ni wa wote. Bali wa mwanamme anaetambulika, anaponiaga anakwenda kwa rafiki ake tujue huyo rafiki yake awe wa halali.

Hutonielewa kwasababu wazazi wako hawakuowana. Na wewe tunaishi na mwenza bila kuowana.

Mkishapata watoto hakuna noma. Mnaenda kubariki ndoa.

Haya yesu hakufundisha hivyo. Mko so contaminated na Atheism na ubepari.

Somo la Ujamaa kuwa ni mtoto wa kwanza wa Marx , na baba wa umarx ni Atheism nitaputapia kwa mwengine. Lkn kwasasa tosheka kuwa wanzuoni wa Ujamaa na umarx ni watu ambo kimsimgi walianzisha falsafa hiyo kwa kuwa walikuwa na itikadi isiyoamiamini uwepo wa Mungu. Ndio ikaundwa itikadi ya Secularism.
 
Attachments

  • IMG_20230410_134608.jpg
    IMG_20230410_134608.jpg
    73.7 KB · Views: 2

Paragraph zako tatu za mwanzo zinaonyesha kabisa uwezo wako wa kufikiri ulipo. Wewe unadhani kuwa kuweza kufanya zinaa ndio ishara kuwa mwili wake umekomaa? Haujui kuwa watoto wadogo wakijifungua wanakuwa katika hatari kubwa ya kupata fistula?
Ni kupoteza muda kujadiliana na mtu kama wewe.

Amandla....
 
Bora upoteze hamu. Kwahiyo maelezo yote kumbe mnapigania wasichana walipata fistula. Kwahiyo akifanya zinaa na kupata mtoto hatopata fistula.

Sasa mbona sasa wasichana hao hao wanaongoza kwa magonjwa ya zinaa. Hamuoni hili ni tatizo kubwa LENYE gharama kubwa ukilinganisha na idadi ya wasichana walioolewa.

Any way usinichochoshe nisikuchoshe toa ushahidi kuwa Kundi Ambalo lipo kwenye Hatari ya Kupata Ugonjwa wa Fistula ni wasichana aliolewa kati ya miaka 16 na 18.
 
MTUME MOHAMED ALIUA MTU.

Ndivyo ulivyokaririshwa, ni kama wanaoamini waarabu walitesa mababu zenu wakati si kweli na hakuna ukweli wowote juu ya hilo, hata ushahidi wenyewe tu hakuna.

Unga mkono hili suala, utaona nchi na wananchi wake watavyoneemeka.
 
Mtoa mada anafikra za Kishetani
Mtoa mada yuko sahihi,
wanao coment wengi wanfikiri kishetani shetani huku wakipingana na Mambo ya Mungu.
Wanapenda kulewa, kuzini, kuiba, Kulawiti, kubaka, kula rushwa, kuonea wenzao kwa kuwapoteza, kusingizia kesi za Uongo.
Bali ni walafi na wapendao Madaraka.
na
Kwa Coment hizi Hawampendi Mungu bali wanmpenda Shetani Zaidi
 
Sharia haukutoka Kwa Mungu bali kwa allah wa waarabu
Wewe wacha ujinga
Allah ni jina la Mungu lilo tukufu ( Elohim ) kwa kibiblia au (Yehova) kwa kiibrania.
Allah Ndiye aliyeumba Mbingu na Ardhi na Vilivyomo ulimwenguni kote tuvionavyo na tusivyoviona.
Allah ndiye Mungu wa Manabii wote na ndiye aliye Mtuma Yesu na Muhammad na Ibrahgimu na Moses.
Achaa Ujinga wa Kumdharau Muumba.
Acha kabisa
Mumgu ni Mmoja lakini ana Majina Mingi sana na sifa zake ni Tele tele
 
Basi Mungu wa wa waarabu ni tofauti na wa kwetu, allah ni katili sana ila Mungu wetu ni mwenye huruma sana
Huruma kumuuwa Mtu munayesema ni mwanwe?
Huruma gani hiyo?
Kwa niniasimuokowe binadamu bila ya Kumwagwa kwa damu ya Mpendwa wake?
Acheni Uzwazwa
Allah ndiye mwenye Huruma , Amekatazwa mtu kuuliwa kwa dhambi ya mtu mwingine.
 
Mbona Saudi Arabia wanalazimisha kuabudu?
Nionyeshe kwenye Agano Jipya sehemu inayolazimisha kuabudu, usiongee maneno matupu.
Mi na evidence za kutosha kuwa Wakristo wanateswa huko Uarabuni kwenye nchi zilizoidhinisha Sharia kuwa sheria za nchi husika. Kusoma Biblia mpaka ujifiche kwnye handaki au nyumbani, si uminywaji wa haki za binadamu kuhusu ibada?
Hivi unataka Sharia itangazwe na BBC au CNN ,TV za wakiristo badala ya kupiga propaganda zao?
Wao wamagharibi wanatuaminisha ulimwengu kuwa Uislamu Hauwezi Kutatua Matatizo ya kijamii,
Lakni pale wakisikia tu kuna Nchi imetangaaza Sheria wananza Kuiandama kwa Vikwazo, kuizuia viongozi wake wasiende nje na Kuanza kutangaza Propaganda kuonesha kuwa zile nchi hazikaliki na hazina haki za binadamu.
Ukweli ni kwamba Nchi za Magharibi wanogopa Kusimamishwa Kwa Sheria za Kiislamu ,
Wanaogopa Mfumo mbadala na Ule wa Magharibi utaporomoka.

Open your Eyes
 
Hapa Wana kwepa kupajibu wanapita kama hawapaoni.
Mimi naleta mfano.
Iran ni nchi ya kupigiwa mfano.
1979. Mfalme Shah alitolewa Mdarakani na nchi Kushikwa na Imam Khomen.
Sheria za Kiislam zilishika Hatamu.Wakati huo Irani ilikuwa ni miongoni mwa nchi Masikini, uchgumi wake ulikuwa chini ya Nchi za Magharibi.
By 2023 iran imeweza kupata technolojia za kila aina na ni nchi ya kupigiwa mfano kwa maendeleo ya sayansi na Technoloja.
Wanazozana na Super Powers kuhusu Nguvu za Nyuklia. Wamewekewa Vikwazo tokea 1979 na bado wansonga mbele bila kutembeza kikapu cha kuomba misaada ya maendeleo.
KINYUME CHAKE
Tazania ilikuwa tayari nchi huru from 1961 tukitawaliwa na demokrasia bila kuwa na mirengo ya dini, na kiukweli Mfumo kristo ndiouliotawala kwa miaka 60 sasa.
by 2023 Tanzania bado ni nchi inayotembeza bakuli la kuomba Misaada na imekithiri wizi wa Fedha za Uma na Nchi inadidimia kwenye umasikini.
Huku tukiwa na Rasilimali nyingi zaidi kuliko Iran na Nchi kubwa kuliko Iran na watu kidogo kulio Iran, utagndua kuwa Iran kwa Tanzania ni kama Mbingu na Ardhi kwa Maendeleo.
Tanzania ikiwa Haina Vikwazo, wakati irani ikiwa na Vikwazo.

open your mind
 
Saudi Arabia na nchi kadhaa za kiarabu wameshaachana na sheria za quran maana ni ukatili na unyanyasaji.
Alafu mmatumbi alieletewa hizo sheria na majahazi anataka azitumie humu kwetu kufia dini kutawaponza wengi huyo mnyaazi mwenyewe anashangaa wamatumbi na shobo zao
 
Huruma kumuuwa Mtu munayesema ni mwanwe?
Huruma gani hiyo?
Kwa niniasimuokowe binadamu bila ya Kumwagwa kwa damu ya Mpendwa wake?
Acheni Uzwazwa
Allah ndiye mwenye Huruma , Amekatazwa mtu kuuliwa kwa dhambi ya mtu mwingine.
Allah yule anayesema jua huwa linazama kwenye tope?
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Huku kuinama inama mkiwa mnaswali kuna waletea mtindio wa ubongo. Nchi ngapi zenye ushawishi wa waislamu na hazina mafanikio wanapigana kila siku huko kwa mnyaazi kwenyewe ndipo wanazikataa sheria za kipumbavu wao wenyewe ndio walianzisha ila now wanazikataa ww ulieletewa na majahazi naona unataka hadi kupaza sauti na makalio😂😂😂😂😂
 
Wewe wacha ujinga
Allah ni jina la Mungu lilo tukufu ( Elohim ) kwa kibiblia au (Yehova) kwa kiibrania.
Allah Ndiye aliyeumba Mbingu na Ardhi na Vilivyomo ulimwenguni kote tuvionavyo na tusivyoviona.
Allah ndiye Mungu wa Manabii wote na ndiye aliye Mtuma Yesu na Muhammad na Ibrahgimu na Moses.
Achaa Ujinga wa Kumdharau Muumba.
Acha kabisa
Mumgu ni Mmoja lakini ana Majina Mingi sana na sifa zake ni Tele tele
Mungu sio mmoja bali ni Mungu tu, hahesabiki, kuhusu allah huyo simjui kama anahesabika au la
 
Back
Top Bottom