Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Unazijua nchi zinazofuata Sheria za kiislamu,wewe mwenyewe utakatazwa kupost Uzi humu,usipovaa juba utapigwa mawe,achana na Sheria hizo.
Taja 1 ilio mpiga mawe hasie vaa juba
 
Wewe Bibi acha kuturudisha miaka elfu 2 iliyopita ,mambo ya sharia unataka watu wachinjane? Siku hizi kuna haki za binadamu ,tuweke sheria ambazo zitawafanya watu wasizitende ,vifungo,faini,kufilisiwa incase of ufisadi/wizi.

"Nchi yetu haina dini" - Nyerere 1995 Kilimanjaro Hotel Press.
We haa haa nchi yetu inaongozwa kwa sheria za dini ya kikiristo
 
Mbona Watalaban wanahaha pamoja na kuwa na sharia ya kiislam? Kwa ufupi kinachoitwa sharia ni ugaidi, uarabu na unyanyasaji wa kawaida tena uchwara
we juha huna hoja
Eleza Ubaya wa Sheria uko wapi?
Kama Hujui Nyamaza tuu ufuatilie mjadala.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
wewe unaongea tu!!! nenda kaishi AFGHANSTAN mwezi mmoja tu!!! kama haujarudi kama risasi!!!
 
wewe unaongea tu!!! nenda kaishi AFGHANSTAN mwezi mmoja tu!!! kama haujarudi kama risasi!!!
Hili suala la Afghanistan mbona nimeshalijibu sana kwenye huu uzi. Pitia uzi kabla hujakurupuka.

Kwanini nikaishi Afghanistan wakati kwetu ni Tanzania?

Kwani Afghsnistan wana tatizo lipi kwako?

Au kwa sababu wamewatandika na kuwatowa mkuku USA na NATO yao?

Si unataka sheria za mungu wa kiarabu......mjifunge vitambaa usoni kama vichaa
 
Binafsi naona wasimamizi wa katiba ndio wabovu bila kujali inasimamia haki kwa kiwango gani.
Hata tukisema leo tutumie shariah ya kiislamu, tatizo litabaki kuwa ukweli na uadilfu wa viongozi husika, kwani naona uku kwetu kwenye taasisi na misikiti yetu kuna upigaji mkubwa wa mali za waislamu ikiwemo zaka na sadaka; bado kuna fitna ya kugombania madaraka hata kwa kutumia mbinu chafu. Hili binafsi nimekutana nalo kiasi cha kuamua sasa nibaki tu maamuma wa kuswali na kujiondokea zangu.
Namaanisha nini?! Uislamu hauna shida, ila baadhi ya maulamaa na masheikh wetu wenye kutuongoza ndio walio na mitihani katika uongozi wa umma, kwa hiyo tatizo sio katiba bali tatizo ni wasimamizi wa katiba.
Kwa mujibu wa hoja yako, kuwemo kwa shariah za uislamu kwenye katiba mpya kutaleta mtafaruku wa kiimani na kiitikadi, pia dini zingine zitataka nazo sheria zao ziwemo.Je, huu hautakua mwanzo kuimarisha dini mseto hata kuufisidi uislamu?!
 
Ila huyu alshabab mnafiki, nchini kwake Zanzibar hajataka katiba ya sharia, Sasa anataka watanganyika watumie sharia!

Kwahiyo fayza ni mzanzibari? So, waislamu wote kwao ni zanzibar? Hivi tukihesabiwa hapa kwetu bara unadhani mtafika hata milioni 20 ninyi!!! Na ndio maana inapigwa vita sensa ya dini, mnajua fiika hamtoboi

Dada yetu katoa wazo zuri sana, muungeni mkono, mtayaona matunda

Uisilamu haulazimishi katika dini,
Uisilamu unapiga vita dhulma, ushoga, unyanyasaji, uonevu, wizi, ufisadi, kuuwa watu wasio na hatia, n.k HAKI NI HAKI TU

Allah atakuongoza mkuu kadhi mkuu, Waabheja sana nkoi
 
Nchi za ulaya katiba zao zina uzuli gani?kuhalalisha ushoga usagaji mbwa kumla dada kaka kumla mg,ombe sio[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sasa ukisema hivyo, mbona na Zanzibar nao wana hiyo sharia! Lakinj kesi za ushoga na ulawiti ndiyo zimetawala kwenye jamii yao!!
 
Mkiristo hamuombi mungu, bali niwanyanganyi nchi zote zilizoko chini yenu zimehalalisha ushoga na usagaji ndio maana hamtaki utawala wa qur,an mnajua ikitawala mtakatwa vichwa
Mkristo anamuabudu nani?
Pili mbona Cristiano Ronaldo anaruhusiwq kuishi pale Saudi Arabia na mpenzi wake wakati ni kinyume na Sharia law?
Sasa kama Cristiano Ronaldo anaruhusiwa na mkisema ni kwasababu ya serikali na sio dini na Mimi na Haki ya kusema kuwa wanaotetea ushoga pia hawahusiani na Wakristo maana Biblia imeipinga Kwa asilimia kubwa.
Mwisho Wakristo wanamuabudu Mungu wa Ibrahim aitwaye YHWH aliyemtuma mwanaye na mtumishi wake Yesu Kristo duniani kumkomboa mwanadamu.
 
Kwahiyo fayza ni mzanzibari? So, waislamu wote kwao ni zanzibar? Hivi tukihesabiwa hapa kwetu bara unadhani mtafika hata milioni 20 ninyi!!! Na ndio maana inapigwa vita sensa ya dini, mnajua fiika hamtoboi

Dada yetu katoa wazo zuri sana, muungeni mkono, mtayaona matunda

Uisilamu haulazimishi katika dini,
Uisilamu unapiga vita dhulma, ushoga, unyanyasaji, uonevu, wizi, ufisadi, kuuwa watu wasio na hatia, n.k HAKI NI HAKI TU

Allah atakuongoza mkuu kadhi mkuu, Waabheja sana nkoi
Hatuwezi unga mkono maana tunaona matokeo yake Saudi Arabia
 
Attachments

Unasema usio yajua ndugu kama ungekuwa karibu ningekuonyesha mafanikio ya wakirito walio yatoa saudia Oman kuweti sema hivio hizo nchi zinapinga ushoga ukahaba ulevi kwa nguvu zote
Mafanikio Yao ni matokeo ya oil market , hawana teknolojia yoyote ile.
 
Back
Top Bottom