25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Taja 1 ilio mpiga mawe hasie vaa jubaUnazijua nchi zinazofuata Sheria za kiislamu,wewe mwenyewe utakatazwa kupost Uzi humu,usipovaa juba utapigwa mawe,achana na Sheria hizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja 1 ilio mpiga mawe hasie vaa jubaUnazijua nchi zinazofuata Sheria za kiislamu,wewe mwenyewe utakatazwa kupost Uzi humu,usipovaa juba utapigwa mawe,achana na Sheria hizo.
We haa haa nchi yetu inaongozwa kwa sheria za dini ya kikiristoWewe Bibi acha kuturudisha miaka elfu 2 iliyopita ,mambo ya sharia unataka watu wachinjane? Siku hizi kuna haki za binadamu ,tuweke sheria ambazo zitawafanya watu wasizitende ,vifungo,faini,kufilisiwa incase of ufisadi/wizi.
"Nchi yetu haina dini" - Nyerere 1995 Kilimanjaro Hotel Press.
we juha huna hojaMbona Watalaban wanahaha pamoja na kuwa na sharia ya kiislam? Kwa ufupi kinachoitwa sharia ni ugaidi, uarabu na unyanyasaji wa kawaida tena uchwara
wewe unaongea tu!!! nenda kaishi AFGHANSTAN mwezi mmoja tu!!! kama haujarudi kama risasi!!!Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Vilo mbaya sanaSharia haukutoka Kwa Mungu bali kwa allah wa waarabu
Hili suala la Afghanistan mbona nimeshalijibu sana kwenye huu uzi. Pitia uzi kabla hujakurupuka.wewe unaongea tu!!! nenda kaishi AFGHANSTAN mwezi mmoja tu!!! kama haujarudi kama risasi!!!
Mwee...,jamani ..,SI mahala pa kuanzia?Ujadiliane na nani?....peleka bakwata hoja hii
Hili suala la Afghanistan mbona nimeshalijibu sana kwenye huu uzi. Pitia uzi kabla hujakurupuka.
Kwanini nikaishi Afghanistan wakati kwetu ni Tanzania?
Kwani Afghsnistan wana tatizo lipi kwako?
Au kwa sababu wamewatandika na kuwatowa mkuku USA na NATO yao?
Ila huyu alshabab mnafiki, nchini kwake Zanzibar hajataka katiba ya sharia, Sasa anataka watanganyika watumie sharia!
Sasa ukisema hivyo, mbona na Zanzibar nao wana hiyo sharia! Lakinj kesi za ushoga na ulawiti ndiyo zimetawala kwenye jamii yao!!Nchi za ulaya katiba zao zina uzuli gani?kuhalalisha ushoga usagaji mbwa kumla dada kaka kumla mg,ombe sio[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkristo anamuabudu nani?Mkiristo hamuombi mungu, bali niwanyanganyi nchi zote zilizoko chini yenu zimehalalisha ushoga na usagaji ndio maana hamtaki utawala wa qur,an mnajua ikitawala mtakatwa vichwa
Nasikiaga kusema uongo kumdanganya kafiri si dhambiUnasema usio yajua ndugu kama ungekuwa karibu ningekuonyesha mafanikio ya wakirito walio yatoa saudia Oman kuweti sema hivio hizo nchi zinapinga ushoga ukahaba ulevi kwa nguvu zote
Nashangaa sanaVp pale Doha hakuna mashoga au pale mecca hakuna wasagaji???
Hatuwezi unga mkono maana tunaona matokeo yake Saudi ArabiaKwahiyo fayza ni mzanzibari? So, waislamu wote kwao ni zanzibar? Hivi tukihesabiwa hapa kwetu bara unadhani mtafika hata milioni 20 ninyi!!! Na ndio maana inapigwa vita sensa ya dini, mnajua fiika hamtoboi
Dada yetu katoa wazo zuri sana, muungeni mkono, mtayaona matunda
Uisilamu haulazimishi katika dini,
Uisilamu unapiga vita dhulma, ushoga, unyanyasaji, uonevu, wizi, ufisadi, kuuwa watu wasio na hatia, n.k HAKI NI HAKI TU
Allah atakuongoza mkuu kadhi mkuu, Waabheja sana nkoi
Ni jambo la ajabu sana mkuu.Ila huyu alshabab mnafiki, nchini kwake Zanzibar hajataka katiba ya sharia, Sasa anataka watanganyika watumie sharia!
Mafanikio Yao ni matokeo ya oil market , hawana teknolojia yoyote ile.Unasema usio yajua ndugu kama ungekuwa karibu ningekuonyesha mafanikio ya wakirito walio yatoa saudia Oman kuweti sema hivio hizo nchi zinapinga ushoga ukahaba ulevi kwa nguvu zote
Hata mimi nashangaaNashangaa sana