Tank yangu mimi ni lita 4.8 tuseme 5... nampango wa kufanya trip to Kilwa or Arusha.Tumepiga hesabu sawa kabisa. Kwa km 334 ilipaswa itumike 10 ltrs tena ijazwe mara 1 tu
Nitanunua boxer mkuu..Safi sana mkuu .. Tafuta Boxer 150 utaEnjoy zaid
Mm safari yangu ya mbali zaidi kwa pikipiki ni Dar - Chalinze -Dar
Tank lake dogo, itakuwa katumia lita 8 safari ya kwendaNimepiga hesabu nimepata ulipaswa kutumia angalau lita 10 tu.
Wale machalii ni kama walikuwa kwenye racing moto mwingi sana+plus pombe tena zile ngumu.Kuna wale jamaa zangu matoyo wa chuga walishindana kwenda Moshi na kurudi asee walikufa kadhaa ile kitu sio
Dar-Tanga km ngapi? Ila bike hazili wese aisee lita tisa unatoboa Tanga [emoji848]msuyaeric mbona tanki lako la mafuta dogo sana. Inakunyima uhuru wa kutembea safari ndefu mpaka ubebe mafuta. Boxer Dar Mpaka Tanga anatumia lita 9 tanki ni lita 11. Honda Crf250 na CB400 za carburetor ni lita 10 safari yote
Ha ha mengi tena? Wakati mi naona machache, hivi pikipiki ikiwa standard kwa hizi zenye cc125 inatakiwa iende km kwa lita?Kwa huo umbali mbona umetumia mafuta mengi sana kufika?
Pikipiki ilikua na shida gani?
Lita 1 ikupeleke hadi km50 hadi 60. Tena hizo cc ni ndogo sans ndio hazitumii sana weseHa ha mengi tena? Wakati mi naona machache, hivi pikipiki ikiwa standard kwa hizi zenye cc125 inatakiwa iende km kwa lita?
Hivi ile ajali ilitokeaga maeneo ganiKuna wale jamaa zangu matoyo wa chuga walishindana kwenda Moshi na kurudi asee walikufa kadhaa ile kitu sio
334km kwa kupita BagamoyoDar-Tanga km ngapi? Ila bike hazili wese aisee lita tisa unatoboa Tanga [emoji848]
Umefanya kitu ambacho ni ndoto yangu,bado natafuta pesa ya kuweza kupata Yamaha Super Tenere 700cc. Iko sikuWakuu Habari zenu, poleni n majukumu.
Ile safari yangu ya Tanga kutumia pikipiki yangu cc110 nimefanikiwa kwenda salama na kurudi salama kabisa.. Mungu ni Mkubwa.
Niliondoka Ijumaa iliyopita, nikashinda jumamosi kwa kufanya Mizunguko ya Town na kulijua jiji pamoja na kwenda kule Amboni kwenye Mapango Ya Amboni.
Katika kuthibitisha hilo nilifunga camera kwenye Helment yangu so each and everything kipo recorded.
Video ya Safari ya kutoka Dar hadi Tanga ipo youtubenimeweka kipande cha kutoka Dar hadi Mkata then nitaedit tena kipande cha kutoka Mkata hadi Point nyingine.
Kwa upande wangu hakuna nilichopoteza, kwanza nimeenjoy road trip, nimeona vitu vingi sana barabarani pia na kunipa udhoefu mkubwa sana wa kuwapa kipaumbele mabasi au gari linalotaka kukupita.
Kiufupi, nimefanya kile moyo wangu unakipenda na hakuna mtu aliyenilazimisha kufanya.
Asante kwa wote walionishauri Service bora ya Pikipiki.
KAMA UNASWALI KARIBU UNIULIZE.
ASANTE.View attachment 2527409
Wapumzike kwa amani.. pikipiki ukiwa mstaarabu barabarani utaishi miaka mingi ila ukileta mazoefu barabarani haki uchukui roundWale machalii ni kama walikuwa kwenye racing moto mwingi sana+plus pombe tena zile ngumu.
Arusha to Moshi walifika fresh, wakati wa kurudi wakakumbwa na dhahama.
Sema na wewe ulikaza sio mchezo.Hahah 334KM... asikwambie mtu Bike raha sana ni bonge la adventure
Tena pikipiki ni risk, side mirror za muhimu sana, vijana wa toyo huwa wanang'oa wanasema hazina swaga [emoji23][emoji23]Wapumzike kwa amani.. pikipiki ukiwa mstaarabu barabarani utaishi miaka mingi ila ukileta mazoefu barabarani haki uchukui round
Hahaha eti tako moja HahahaKuna jamaa mmoja alitoka Dar kwenda Tanga akitumia pikipiki ya zamani aina ya honda (daz) alisafiri akawa anakalia tako moja anachoka anageuza na lingine anachoka hatimae wazo la kuhairisha safari likamjia. Umbali wa alipotoka na anakoenda ni kama nusu kwa nusu akaishiwa pozi ikabidi aendelee ivo hivyo.
Akafika sehemu akakutana na kibao ‘punguza mwendo upepo mkali’ akapunguza huku ameshusha kioo cha kofia yake (helmet) akahisi ‘mbona hakuna huo upepo’ akarudisha kioo chake na kukanyaga moto. Punde si punde akasikia kama kitu kisichoonekana kimemsukuma kiasi cha kuweza kumviringisha chini ya bara bara ndipo akaelewa maana ya kile kibao cha onyo la upepo.
Alipofika Tanga wazo la kurudi na pikiki Dar likafa kifo cha kawaida…………..,,,,,,,, nitaendelea siku nyingine kumalizia habari hii kulingana na muda utakavyo ruhusu.