Tanzania Motorbike Road Trip - Tanga | Safari ya Tanga

Tena pikipiki ni risk, side mirror za muhimu sana, vijana wa toyo huwa wanang'oa wanasema hazina swaga [emoji23][emoji23]

Laiti wangejua umuhimu wake wangeziheshimu ila ndio hivyo tena wamechagua fungu baya.
Mkuu katika pikipiki kitu cha Muhimu kuliko choteeeeeee uwe safari au trip za mjini tu ni side mirror.. cheza kote ill sit side mirror
 
Mkuu lita 1 hadi 50KM?
kuna pikipiki hizi za abiria, cc 125 ziliwahi kutangazwa way back zilikuwa fuel economical sana. Zilikuwa zinaenda hadi 60km per litre.

but note that: lakini kadri chombo kinavyotumika ndivyo efficiency hupungua
 
SEHEMU YA PILI
KUTOKA MKATA HADI SEGERA-HALE
Tanzania Motorbike Road Trip
KARIBU%20TANGA%20EP2.jpg
 
Umefanya kitu ambacho ni ndoto yangu,bado natafuta pesa ya kuweza kupata Yamaha Super Tenere 700cc. Iko siku
Yamaha Super Tenere bei imesimama sana, hata second hand yake bei ipo juu.

Bei yake unapata Bike ya Bmw na gari nzuri ya kutembelea
 
Sure, hata mwenyewe naitamanigi sana tu.

Nilizishindanisha Africa twin ya Honda na Tenere ya Yamaha. Tenere imeshinda hasa kipengele cha kuwa kadogo ukicompare, na borderline ya ADV na Dirtbike at the perfect sweetspot. Af the last na least ule ubluubluu na tutaa daaaah!, ya kibabe sana💪
 
Nitanunua boxer mkuu..

Chalinze pia nimeenda kama mara mbili hivi na hii pikipiki yangu..

Mafuta unaweka mara moja tu unaenda na kurudi nayo
Kwa kukazia zaidi, chukua Honda Ace 125cc au Yamaha ybr 125. Hizi zote ni imara, mafuta zinatumia kidogo pia huchoki kuendesha na zina afya zaidi. Kama ni mpenzi wa 5 speed ni vema ukachukua hii Yamaha ybr 125 gearbox yake ni 5 speed.
 
Yamaha Super Tenere bei imesimama sana, hata second hand yake bei ipo juu.

Bei yake unapata Bike ya Bmw na gari nzuri ya kutembelea
Ukiwaza hayo utaishi kwa shida mpaka unaenda kaburini... Jifunze kuishi, waTanzania wengi hata matajiri hua hawajawahi kuishi, wanafukuza upepo kila siku, wako busy na hawajui wanatafuta pesa ili iweje, swala la bei najua karibu bike zote za adventure... Kila mtu ana starehe yake
View attachment 2535169View attachment 2535170
 
Sure, hata mwenyewe naitamanigi sana tu.

Nilizishindanisha Africa twin ya Honda na Tenere ya Yamaha. Tenere imeshinda hasa kipengele cha kuwa kadogo ukicompare, na borderline ya ADV na Dirtbike at the perfect sweetspot. Af the last na least ule ubluubluu na tutaa daaaah!, ya kibabe sana💪
Tenere ni multipurpose inakupa kila kitu
 
Ukiwaza hayo utaishi kwa shida mpaka unaenda kaburini... Jifunze kuishi, waTanzania wengi hata matajiri hua hawajawahi kuishi, wanafukuza upepo kila siku, wako busy na hawajui wanatafuta pesa ili iweje, swala la bei najua karibu bike zote za adventure... Kila mtu ana starehe yake
View attachment 2535169View attachment 2535170
You made a lot of sense. Kuna raha sana kujiamulia cha kufanya/nunua halafu ukakinunua. Kuishi na kuexercise freewill yako.

Wakat nanunua kipikipiki changu cha 4m unawezajidanganya sasa si bora ungenunua gari. Ukinunua gari ndogo hautaridhika utatafuta tena kubwa hadi sijui uwe na RR.

Ujanja ni kuchukua pikipiki kubwa badala ya gari ndogo moyo unaridhika zaidi. Ñi bora kuchinja mbuzi mkuubwa beberu kuliko kununua ng'ombe mtoto ndama ambaye hutaifurahia hata nyama yake kwenye sherehe yenyewe (barabarani).
 
Mkuu hivi ndio wewe kuna uzi ulisema unaishi chalinze na kufanya kazi dar mkuu? Kwenda na pikipiki hadi chalinze kila siku ni risk na gharam za mafuta bora kupanga mjini.

Mi pia natumia pikipiki sana kwenye mizunguko yangu mjini ila sijawahi kutoka nayo hata bagamoyo tu
Safi sana mkuu .. Tafuta Boxer 150 utaEnjoy zaid

Mm safari yangu ya mbali zaidi kwa pikipiki ni Dar - Chalinze -Dar
 
Maswali Mazuri sana.

1. Kuhusu Mafuta.. Tank langu la Mafuta ni lita 4.8.. wakati nipo Dar niliweka mafuta ya elfu 12000 ambayo nilipata full Tank.. pia ilibeba kidumu cha lita 5 ambacho hicho niliweka mafuta ya elfu 14 ambayo lita kama 4 hivi.

Mafuta yaliyo kwenye tank la pikipiki nimetembea nayo mpaka Mkata (niliposimama chai) nikajaza tena yaliyo kwenye kidumu lita 4.. lita 4 hiyo ikanifikisha hadi muheza ambako kwenye dumu niliweka elfu 13000 na kwenye pikipiki niliweka elfu 9.

Mafuta hayo toka hapo muheza yalinifikisha mpaka kiwanda cha cement kile ndipo nikachukua ya kwenye dumu ambayo niliingiza kwenye pikipki kama lita 2 hivi hivyo mpaka nafika TANGA nilikuwa na Mafuta ya kutosha kwenye pikipiki na kwenye Dumu ambayo niliyatumia kesho yake kwenda Amboni Cave

NB. Sikupenda niishiwe mafuta njiani ndo nijaze.. hivyo nilikuwa nikitembea kilomita kadhaa nasimama najaza

(Kuna mtu aliniambia usisubili mafuta yaishe sababu utakuwa unahalibu kableta (sijui nimepatia jina) ile ya kuvuta mafuta wakati upo safari ndefu

PIKIPIKI YANGU KWENYE SWALA LA MAFUTA INANUSA TU ILA HOFU YANGU NDO ILIYOPELEKEA NITEMBEE NA KIDUMU BUT BILA KUDUMU NINGEFIKA BILA WASIWASI NA MAFUTA (NDO SAFARI YANGU YA KWANZA)
Piki piki ganihio full tank Lita nne labda Bata vuzi
 
You made a lot of sense. Kuna raha sana kujiamulia cha kufanya/nunua halafu ukakinunua. Kuishi na kuexercise freewill yako.

Wakat nanunua kipikipiki changu cha 4m unawezajidanganya sasa si bora ungenunua gari. Ukinunua gari ndogo hautaridhika utatafuta tena kubwa hadi sijui uwe na RR.

Ujanja ni kuchukua pikipiki kubwa badala ya gari ndogo moyo unaridhika zaidi. Ñi bora kuchinja mbuzi mkuubwa beberu kuliko kununua ng'ombe mtoto ndama ambaye hutaifurahia hata nyama yake kwenye sherehe yenyewe (barabarani).
Sure
 
Kwa hapo Dar es Salaam unaweza jua Honda xr 125cc yaweza kua bei gani? Iwapo Kuna duka linauza new bike
 
Mkuu hivi ndio wewe kuna uzi ulisema unaishi chalinze na kufanya kazi dar mkuu? Kwenda na pikipiki hadi chalinze kila siku ni risk na gharam za mafuta bora kupanga mjini.

Mi pia natumia pikipiki sana kwenye mizunguko yangu mjini ila sijawahi kutoka nayo hata bagamoyo tu

Sio mm mkuu ...
Upo sahihi umbali mrefu huo kwa pikipiki ni risk sana...

Chalinze nilienda mwezi uliopita... ila bagamoyo nishaenda sana kama mara 5 ivi....
 
Back
Top Bottom