Halotel ndio mtandao wenye Kasi kubwa kwangu sasa nashangaa nashindwa kuingia mtandaoni muda mrefu mara niangalie salio, mara nizime simu na kuwasha lakini wapi.
Hapa numeunga bando lingine kwenye laini ya tigo ndio nikaweza kufika jamiiforums
 
Kidogo nipasue simu!!!!
 
Daah sijui, wameanzia kuuchezea kuanzia kina kirefu kuelekea DRC kupitia Lake Tanganyika nao eti wanataka
 
Nairobi lazima maana mitandao yote tunayotumia inaonekana sever ziko Nairobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…