Tunategemeana kwa aspects mbalimbali lakini haitulazimishi kufuata kila jambo in the name of union, nooo
Tanzania iko hivyo miaka tangu enzi za mwalimu, walimtenga mwalimu wakati ule ikapelekea former EAC kuanguka na wakamsapoti kimya kimya IDD amin nchi ipigwe Kenya aendelee kuwa kinara, so wanachofanya kwa kisingizio cha covid19 is an hidden agenda of Kenyan's, Uganda na Rwanda wafuata mkumbo na maskini Sudan kusini hawajui hawa wanafiki Kenya waliokuja na coalition sijui iliishia wapi.
Tanzania will remain the same wacha waendelee. Halafu kama wako right na Tanzania ndio problem wanateseka nini wakati wameitenga?
Magufuli atasema wakati ukifika nasi tutajudge kuwa ni udhaifu wake au amenusa nini huko kusini na mashariki kwnini ashiriki na wenzie, na kama anacho kitu why asiwashirikishe.
All in all tunahitaji kuondokana na covid19 je wanajadili suluhu au blah blah tu
Tunahitaji kuona matokeo mazuri baada ya majadiliano yao.
Sent using
Jamii Forums mobile app