Tanzania na Burundi wakwama kikao kingine cha EAC cha kujadili Corona

Tanzania na Burundi wakwama kikao kingine cha EAC cha kujadili Corona

Azungumze mambo ya kitaalam sio Kikenya, corona itakufaje ikiingia kanisani, sote tungekua tunapanga mifoleni tukienda kupona humo kanisani, haingekua na haja ya mlozangila mnakokufia huko, nyote mngeenda makanisani na kupona hapo hapo.
Wewe unalalamika kama Mtanzania? Sweden, Marekani, Malawi, Burundi, Brazil na Senegal bado sehemu zao za kuabudu zipo wazi. Je umeandikia serikali zao kuwapa ushauri wako wa kitaalam? Kama nilivyokwambia kabla mambo mengine ni ya ndani na hayawahusu majirani. Tuachie Watanzania tuta deal naye nyie mjikite kupambana na matatizo yenu mna kasoro kubwa sana jinsi mnavyo handle response ya Covid 19 lakini sisi hatuna muda wa kujadili mambo yenu au kutaka kusikia Rais wenu anatoa matamko gani kuhusu issue zenu. Sisi siyo Wakenya.
 
I can say the same for you. I was being sarcastic too.
No you were not, stop lying. You were engaging in the typical tanzanian argument of kibera, hunger and tribalism in totally unrelated issues. Only that i caught you and chose not to engage in that non sequitur.
 
Wewe unalalamika kama Mtanzania? Sweden, Marekani, Malawi, Burundi, Brazil na Senegal bado sehemu zao za kuabudu zipo wazi. Je umeandikia serikali zao kuwapa ushauri wako wa kitaalam? Kama nilivyokwambia kabla mambo mengine ni ya ndani na hayawahusu majirani. Tuachie Watanzania tuta deal naye nyie mjikite kupambana na matatizo yenu mna kasoro kubwa sana jinsi mnavyo handle response ya Covid 19 lakini sisi hatuna muda wa kujadili mambo yenu au kutaka kusikia Rais wenu anatoa matamko gani kuhusu issue zenu. Sisi siyo Wakenya.

Hao hatuna mpaka nao hivyo hwanihusu, nyie mnaotuambukiza corona ndio inabidi nilalamike, maana tunachangia mpaka mrefu zaidi na makabila mengi mpakani, sasa kwenu mkiendelea kukaidi huku mkisema corona inafia kanisani ilihali wenyewe mnafia kwenye mahospitalini badala muende mkapone huko knisani, mnatuponza sana, yaan wachache ambao tumefaulu kuwakamata wakiingia huku kila wakipimwa wanakutwa na corona, sasa maelfu ya wanaoingia kinyemela yaani mnatuhangaisha sana nyie.

Ona mlichokifanya kwa mji wa Zambia uliopakana na nyie, mumejaza corona huko
2397584_IMG_20200512_195621.jpg
 
The largest market for kenyan manufactured food products, medicines, alcohol is Kenya. You forgot we sell vegetables and fruits too to europe. By the way we also export juices like Del monte to the UK.
Hahahaha, I thought we were talking about exports not domestic markets, hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania has always been the hard headed child in EA. Kama mnasema Kenya ni wabaya, je Zambia waliofunga border na bado Kenya haijafanya hivyo.
Magufuli amefanya bet na maisha zenu na mnasema mnaiga inchi sisizo fanya lockdown. What you forget is that those countries that havent like sweden are richer, much smaller and they do thorough contact tracing and quarantine of victims. Sweden has higher death rate than most countries in europe. The didn't lock down because wana mahospitali advanced. Je Tz na afya duni?
Whatever Kenya gets from Tz can be got from Uganda and the other neighbouring countries but its just because of cheaper prices, we still produce all those agricultural stuff, tutapanda vitungu na viazi, hatuta kaa chini na kulia eti Tz wametunyima.
Sasa spread of covid19 is just beginning, those that say it is fake, wait until it land in your neighbor's house, alafu ikuje kwako...
Kila nchi inajiendesha yenyewe bila kuingiliwa na nchi nyengine, Zambia wameamua kufunga mpaka wao na Tanzania, hiyo ni haki yao na hatuwalaumu wala kulalamika, Kenya fanyeni mnavyotaka kamwe hatutowalalamikia na kuwalaumu, Tanzania tunafanya tunavyotaka, hampaswi kutulalamikia wala kujaribu kutufundisha njia bora ya kufanya. Tukiamua kulipiza kwa kufunga mipaka yetu ndio mtajua kitakachowapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, desperate Kunyan, how do you get to Zimbabwe, Malawi, Zambia by ship?. Will you use Air to export edible oils?

Sent using Jamii Forums mobile app
In summary we do not need Tanzania to get to sadc. We have been selling to Malawi via Maputo which is cheaper than road through Tanzania. KQ has also been airlifting medical supplies and other essential items to south africa.
Kenya does not need Tanzania to access sadc countries, you overestimate your importance.
 
No you were not, stop lying. You were engaging in the typical tanzanian argument of kibera, hunger and tribalism in totally unrelated issues. Only that i caught you and chose not to engage in that non sequitur.
Akili yako ndogo ya kudhani Watanzania wote wana akili moja imekudanganya kufikiria hivyo. Usinilaumi mimi kwa ujinga wako.
 
Tanzania has always been the hard headed child in EA. Kama mnasema Kenya ni wabaya, je Zambia waliofunga border na bado Kenya haijafanya hivyo.
Magufuli amefanya bet na maisha zenu na mnasema mnaiga inchi sisizo fanya lockdown. What you forget is that those countries that havent like sweden are richer, much smaller and they do thorough contact tracing and quarantine of victims. Sweden has higher death rate than most countries in europe. The didn't lock down because wana mahospitali advanced. Je Tz na afya duni?
Whatever Kenya gets from Tz can be got from Uganda and the other neighbouring countries but its just because of cheaper prices, we still produce all those agricultural stuff, tutapanda vitungu na viazi, hatuta kaa chini na kulia eti Tz wametunyima.
Sasa spread of covid19 is just beginning, those that say it is fake, wait until it land in your neighbor's house, alafu ikuje kwako...

Endelea kujifariji hivyo hivyo.
Tanzania is your giant hata mfanyeje, sasa kama hamuihofii why mujadili wakati mnajaribu kuitenga?

Wacheck SADC hawa watakimbiana soon nanyi mtafuata.
Hivi ndio Tanzania ya misimamo isoyumbishwa na wanafiki wanaopenda kujipendekeza.

Wafunge moja kwa moja ndio tutajua mke nani mume nani hatutaki mipasho hapa
Zambia wamefunga border "temporary" mnajifanya hamuelewi hili neno? Na sababu zao waliziweka wazi na sisi Watanzania tukaheshimu uwamuzi wao mbona nyie majirani feki wa East Africa ukitoa Burundi hamheshimu uamuzi wa Tanzania? Mkiona tunahatarisha usalama wenu basi fungeni mipaka yenu. Tupunguze porojo tufanye vitendo halafu mwisho wa siku tutajua ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wenu wanajarbu kutahadharisha, mtatengwa kote kuanzaia SADC mpaka EAC, acheni ukaidi na tikitaka nyingi zisizo na tija mfuate ushauri wa kitaalam na sayansi, mambo ya mara mapaipai mara corona inaogopa kanisa.

Acha umbea wewe kwani lazima tufuate wanayofanya wengine kila mmoja na msimamo wake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao hatuna mpaka nao hivyo hwanihusu, nyie mnaotuambukiza corona ndio inabidi nilalamike, maana tunachangia mpaka mrefu zaidi na makabila mengi mpakani, sasa kwenu mkiendelea kukaidi huku mkisema corona inafia kanisani ilihali wenyewe mnafia kwenye mahospitalini badala muende mkapone huko knisani, mnatuponza sana, yaan wachache ambao tumefaulu kuwakamata wakiingia huku kila wakipimwa wanakutwa na corona, sasa maelfu ya wanaoingia kinyemela yaani mnatuhangaisha sana nyie.

Ona mlichokifanya kwa mji wa Zambia uliopakana na nyie, mumejaza corona huko
2397584_IMG_20200512_195621.jpg
Sasa jirani huwezi kutulaumu sisi kwa udhaifu wenu wakushindwa kulinda mipaka yenu. Mbona Zambia badala ya kulalamika wameamua kufunga border kwa muda tena kwenye ile thread nyingine nimekutumia video ya jana Waziri wao amekubali essential products zipite. Ningekuwa Kenya ningekuwa na wasiwasi na Corona inayotoka mpaka wa Somalia kuliko huku. Roles zingekuwa zimegeuzwa Tanzania tungefunga border na wala usingeona Watanzania tunalalama kunachoendelea huko. Tufe sisi, vilio vitoke kwenu?
 
Unat
Hata wewe ulipogoma kuhudhuria darasa, wengine waliendelea na masomo, ila sasa kwa hili mkulu wenu anaongoza taasisi ya uraisi, hivyo sio vizuri afanye maamuzi kwa mihemko kwa hisia zake, kila anachokifanya kinawahusu mamilioni ya watu, akikaidi ushauri wa kitaalam anakosea wote hao.
Unateseka nini ikiwa mko katika njia sahihi?
Msiwafunze watu kufikiri Sawa na upumbavu wenu wa kuiga IGA yasiyofit mazingira yenu.
Covid19 will be with us for years, but our integrity, systems and everything should not be interfered by your stupid cope and paste try and error method's.
Mnaiga vitu having results mnatesa RAIA halafu mnalazimisha nchi huru kufuata upuuzi wenu?
Ninyi MNA huruma na Tanzania kuliko watanzania? Mmeanza lini?
Fanyeni yenu iacheni nchi yetu bado hatujawaomba msaada mnajitapa bure puppet's nyie.
Fungeni kila kitu kama hamkuja kupiga magoti hapa. Mnakufa huko kwenu ni Tanzania ilileta ugonjwa mpka muiletee nongwa, tunajua miongoni mwenu mnaungana na watanzania wapenda madaraka kutaka haribu utaifa wetu, mmekwama ndio sababu mnatapatapa kulazimisha upuuzi.

Sooner secretariet itawakana kama wenzenu SADC.
 
Back
Top Bottom