MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #101
Zambia wamefunga border "temporary" mnajifanya hamuelewi hili neno? Na sababu zao waliziweka wazi na sisi Watanzania tukaheshimu uwamuzi wao mbona nyie majirani feki wa East Africa ukitoa Burundi hamheshimu uamuzi wa Tanzania? Mkiona tunahatarisha usalama wenu basi fungeni mipaka yenu. Tupunguze porojo tufanye vitendo halafu mwisho wa siku tutajua ukweli.
Temporary wakati mumewaharibia mji wao wa Nakonde kwa kujaza kirusi huko, yaani huo mji uliopakana na nyie ndio unaongoza Zambia kwa kirusi, jameni Wakenya wa Namanga wajifunze kwa hili maana wakizembea ndio wataongoza hapa Kenya....