Tanzania na Burundi wakwama kikao kingine cha EAC cha kujadili Corona

Hao mbwa wanajifanya wajuaji wa kila kenge hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona magufuli anawasubir kuja kutaitisha kwenye Kona hao wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha! Binafsi bado naiamini serikali yangu kwa kufanya hivyo hata kama haisemi sababu ila ninachofahamu sio kila kitu lazima tutangaziwe!,bado naona kuna kitu hakijakaa sawa.. na Tanzania sio mara ya kwanza kuwa na misimamo ya kipekee!
ujakosea mkuu inasababu zake za msingi uwa Tz haikurupuki
 
kwann Tz isilipe kisasi kwa kucollabotate na Ethiopian
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mipaka ilichorwa na wazungu, vigumu sana kutenganisha makabila ya Wadigo, Wamaasai na wengine wote eti unawaambia mipaka ya nchi.
Ndio maana tunapigia makelele udhaifu na ukaidi wa Tanzania kwenye hili la corona.
 
Mnatuponza na kuponza mataifa yaliyo majirani zenu kwa ukaidi, uzembe na udhaifu wenu.
Lazima mpigiwe makelele mpaka mtie akili.
 
Uzembe wa kuleta covid19 sio?
Akili zenu zimehamia kwenye githeri.
 
Hii mipaka ilichorwa na wazungu, vigumu sana kutenganisha makabila ya Wadigo, Wamaasai na wengine wote eti unawaambia mipaka ya nchi.
Ndio maana tunapigia makelele udhaifu na ukaidi wa Tanzania kwenye hili la corona.
Kwanini Zambia wasipige kelele badala yake wamechukua hatua za kujilinda bila kuingilia sheria na taratibu za Tanzania?.

Sasa mnaona kwanini Tanzania tunapenda zaidi SADC kuliko EAC?. SADC tunaheshimiana na kuacha kila nchibkujiamulia mambo yake bila makelele wala mikwaruzano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mipaka ilichorwa na wazungu, vigumu sana kutenganisha makabila ya Wadigo, Wamaasai na wengine wote eti unawaambia mipaka ya nchi.
Ndio maana tunapigia makelele udhaifu na ukaidi wa Tanzania kwenye hili la corona.
Wadigo na Wamaasai wana passport za makabila yao au siyo? Huwezi kulalamika udhaifu na ukaidi wa Tanzania wakati hata hutambuliki. Mipaka ipo na iheshimiwe kelele zenu ziiishie mipakani.
 
Ukiwa mzembe na mchafu hata mtaani utawaponza majirani, chukueni tahadhari mnatuambukiza sana.
Halafu omba omba wenu bado wamejaa huku Nairobi, sijui mnapenya vipi.
 
Ok.

Edit: MK254 usipige makofi baada ya mwezi nitarudi kuongelea mafanikio yenu ya kupambana na Covid 19.
 
Sasa ukaid wa Tanzania wewe unakuhusu nini? sawasawa umpangie jirani yako mda wa kulala wakati kila mtu ananyumba yake hivi kwanini kenye unapenda kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyengine wakati Tanzania wao wanaendelea tu na habar zao ?,
Hii mipaka ilichorwa na wazungu, vigumu sana kutenganisha makabila ya Wadigo, Wamaasai na wengine wote eti unawaambia mipaka ya nchi.
Ndio maana tunapigia makelele udhaifu na ukaidi wa Tanzania kwenye hili la corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…