Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano
Ungeandika kwa Kiswahili hili ili wote wajue. Ni kweli kabisa viongozi ambao wanajua kuwa wanachaguliwa na Mahera, Jecha, Sirro... na siyo na wananchi, hawana sababu ya kuwatumikia wananchi.
Unelected leaders don't have a constituency to please,or a platform to uphold,they are going to do what they want
 
Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021

Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema pamoja na nyanja ya Afya, Marekani itaendeleza ushirikiano katika kuimarisha Biashara, Uwekezaji na Ulinzi

View attachment 1879722

View attachment 1879721
Pia Tanzania na marekani kushirikiana wapinzani kuimarisha demokrasia
 
Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021

Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema pamoja na nyanja ya Afya, Marekani itaendeleza ushirikiano katika kuimarisha Biashara, Uwekezaji na Ulinzi

View attachment 1879722

View attachment 1879721
Victoria Nuland pamoja na kukurmtana na Rais Samia, pia kafanya mazungumzo na viongozi wa vyama va upinzani wakiwemo Zitto na Mnyika.
View attachment 1879994View attachment 1879995
 
Ananifanya kuwachukia Wazanzibari si mtu mwema huyu
 
Back
Top Bottom