Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021
Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema pamoja na nyanja ya Afya, Marekani itaendeleza ushirikiano katika kuimarisha Biashara, Uwekezaji na Ulinzi
View attachment 1879722
View attachment 1879721