Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu.
Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia Abdullahi Sheikh Ismail Fartaag, pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania Patrobas Paschal Katambi.
Source
www.facebook.com
Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia Abdullahi Sheikh Ismail Fartaag, pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania Patrobas Paschal Katambi.
Source
TRT Afrika Swahili
Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara,...