mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Ndy muende sasa acheni kubaki hapo kupigapiga domo...tokenini vizuri na muhimu sana kwa waTanzania kutumia vema fursa hiyo muhimu sana ya kiuchumi gentleman![]()
Ova
Ndy muende sasa acheni kubaki hapo kupigapiga domo...tokenini vizuri na muhimu sana kwa waTanzania kutumia vema fursa hiyo muhimu sana ya kiuchumi gentleman![]()
Somaliland ni Nchi inajitegemea , somalia ya mwanzo unayoisemea ww, shughuli zake za kiserikali ziko Nairobi.Ni wakati muafaka wa kwenda kuangalia fursa Somalia.
Je visa hiyo ni kutia ndani Somaliland au mwisho ni hapa Somalia ya mwanzo?