Tanzania na Somalia makubaliano ya ziara bila visa

Hii ni forum ambayo tunachangia na kunyoosha mambo ili kila mtu afaidike. Siyo kwamba tunakupinga wewe ili tumenyoosha ili habari ieleweke vizuri.
Umesema huko sio kuingia bila visa
Nimekuonesha source iliyoandika kuwa nchi hizo mbili zimekubali raia wake kufanyiana ziara bila visa
 
Jamaa anaona kama anaonewa. Hataki tuchangie uzi wake.
Unakumbuka mwanzo ulisema "Taarifa yako haipo sahihi". Unaniambia mimi as if ndio nimeandika so yeah, lazima nijisikie vibaya. I just shared the news, hii sio taarifa yangu. Ni ya TRT Africa
 
Umesema huko sio kuingia bila visa
Nimekuonesha source iliyoandika kuwa nchi hizo mbili zimekubali raia wake kufanyiana ziara bila visa
Bhas hukuwa na haja kuileta hii habari huku, ungeacha tuikute huko ulipoitoa.

Jamaa anaelezea kwa faida ya wanachama wengine ili watu wote kuwa na uelewa wa masuala ya visa.

So ni vyema ukaacha mjadala uendelee kama ulivyo na sio kukimbia kutaja hiyo source, maana wote tumeiona.
 
Bhas hukuwa na haja kuileta hii habari huku, ungeacha tuikute huko ulipoitoa.

Jamaa anaelezea kwa faida ya wanachama wengine ili watu wote kuwa na uelewa wa masuala ya visa.

So ni vyema ukaacha mjadala uendelee kama ulivyo na sio kukimbia kuotaja hiyo source, maana wote tumeiona.
Sawa nimekuelewa
 
Unakumbuka mwanzo ulisema "Taarifa yako haipo sahihi". Unaniambia mimi as if ndio nimeandika so yeah, lazima nijisikie vibaya. I just shared the news, hii sio taarifa yangu. Ni ya TRT Africa
Ni sahihi kuwa taarifa haiko sahihi. Wala huna haja ya kujitetea kwa sababu chanzo cha taarifa kinajulikana.

Sisi tunaendeleza mjadala ili hata hao TRT wakiona haya hapa JF wataelewa ni nini walichoandika.
 
Fursa ya biashara hiyo, Vijana wa Kibongo wenye mitaji mnaweza changamkia

Unaweza kununua maharage, mchele ukaanza kupeleka huko Somalia

Faida lazima itakuwa mara dufu maana wale jamaa kule hawalimi kabisa
 
Maana yake mkianza kuunda vya vya siasa kama TEC, tunaleta wale jamaa wale si mnawajua, huku, hukutakalika
 
Unakumbuka mwanzo ulisema "Taarifa yako haipo sahihi". Unaniambia mimi as if ndio nimeandika so yeah, lazima nijisikie vibaya. I just shared the news, hii sio taarifa yangu. Ni ya TRT Africa
watz kwann mnapenda ujinga ? jamaa kakuelekeza vzr kuwa taarifa ina mapunguf akimaanisha kabla hujapost kitu kipitie na kama kima mapunguf usipost maana ukipost unakuwa upo tyr kuyadefend yale mapungufu
kweny hii platform mleta habari ni ww
 
Sawa, endeleeni kutaja mapungufu
 
Back
Top Bottom