hatari iyo wasomali watazamia tanzaniaSomalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu.
Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia Abdullahi Sheikh Ismail Fartaag, pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania Patrobas Paschal Katambi.
View attachment 3545248
Source
TRT Afrika Swahili
Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara,...www.facebook.com
Sio taarifa yangu ni ya TRT Africa na pia haichanganyiTaarifa yako inachanganya.
Kuingia nchini bila visa, wakati huo inatajwa tena visa unapowasili.
So, hiyo ni free visa au visa on arrival?
Haviwezi kuwa vyote kwa wakati mmoja.
Mkuu nakuelimisha tu.Sio taarifa yangu ni ya TRT Africa na pia haichanganyi
Kama visa wanakuja kuipatia huku maana yake tayari wanaruhusiwa kuingia huku bila visa. Anaweza kutoka kwao bila visa na kuingia Tanzania bila shida yoyote, na hiyo visa akaipatia hukuhuku.
Sasa hata ukiniambia mimi, mimi sio mwandishi wa habari na hii habari sio yangu ndio maana nimeweka na source.Mkuu nakuelimisha tu.
Free Visa na Visa on Arrival ni vitu viwili tofauti. Nchi haiwezi kuwa na policies mbili kwa nchi moja na kwa wakati mmoja.
Ili taarifa ikamilike inatakiwa kuspecify kuwa kipi ni kipi.
Ni muhimu unaposambaza habari uwe umeipitia pia.Sasa hata ukiniambia mimi, mimi sio mwandishi wa habari na hii habari sio yangu ndio maana nimeweka na source.
Labda ufungue link niliyoweka hapo uende ukawaelimishe TRT Africa because I don't see where I'll use this
Waangalie wasijetengeneza magaidi kirahisiSomalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu.
Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia Abdullahi Sheikh Ismail Fartaag, pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania Patrobas Paschal Katambi.
View attachment 3545248
Source
TRT Afrika Swahili
Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara,...www.facebook.com
Mkuu ni kama huelewi ninachosema. Mimi nimepitia habari na sijaona shida yoyote nikaleta humu JFNi muhimu unaposambaza habari uwe umeipitia pia.
Sasa ukileta uzi kama huu halafu utegemee kutokuwa challenged huo ni uwoga Mkuu.
Binafsi, nimesema tunaelimishana.
Mkuu huku siyo kuingia bila viza. Ukifika airport inabidi ujaze fomu na siyo lazima upate. Yaani unaweza kujaza na ukarudishwa kama hukidhi masharti. Ki-uhamiaji, kabla hujavuka immigration control ya mpakani ai airport unahesabika bado hujaingia nchi husika.Sio taarifa yangu ni ya TRT Africa na pia haichanganyi
Kama visa wanakuja kuipatia huku maana yake tayari wanaruhusiwa kuingia huku bila visa. Anaweza kutoka kwao bila visa na kuingia Tanzania bila shida yoyote, na hiyo visa akaipatia hukuhuku.
SourceMkuu huku siyo kuingia bila viza. Ukifika airport inabidi ujaze fomu na siyo lazima upate. Yaani unaweza kujaza na ukarudishwa kama hukidhi masharti. Ki-uhamiaji, kabla hujavuka immigration control ya mpakani ai airport unahesabika bado hujaingia nchi husika.
Hii ni forum ambayo tunachangia na kunyoosha mambo ili kila mtu afaidike. Siyo kwamba tunakupinga wewe ili tumenyoosha ili habari ieleweke vizuri.Source