Umesema huko sio kuingia bila visaHii ni forum ambayo tunachangia na kunyoosha mambo ili kila mtu afaidike. Siyo kwamba tunakupinga wewe ili tumenyoosha ili habari ieleweke vizuri.
Jamaa anaona kama anaonewa. Hataki tuchangie uzi wake.Hii ni forum ambayo tunachangia na kunyoosha mambo ili kila mtu afaidike. Siyo kwamba tunakupinga wewe ili tumenyoosha ili habari ieleweke vizuri.
Unakumbuka mwanzo ulisema "Taarifa yako haipo sahihi". Unaniambia mimi as if ndio nimeandika so yeah, lazima nijisikie vibaya. I just shared the news, hii sio taarifa yangu. Ni ya TRT AfricaJamaa anaona kama anaonewa. Hataki tuchangie uzi wake.
Bhas hukuwa na haja kuileta hii habari huku, ungeacha tuikute huko ulipoitoa.Umesema huko sio kuingia bila visa
Nimekuonesha source iliyoandika kuwa nchi hizo mbili zimekubali raia wake kufanyiana ziara bila visa
Sawa nimekuelewaBhas hukuwa na haja kuileta hii habari huku, ungeacha tuikute huko ulipoitoa.
Jamaa anaelezea kwa faida ya wanachama wengine ili watu wote kuwa na uelewa wa masuala ya visa.
So ni vyema ukaacha mjadala uendelee kama ulivyo na sio kukimbia kuotaja hiyo source, maana wote tumeiona.
Ni sahihi kuwa taarifa haiko sahihi. Wala huna haja ya kujitetea kwa sababu chanzo cha taarifa kinajulikana.Unakumbuka mwanzo ulisema "Taarifa yako haipo sahihi". Unaniambia mimi as if ndio nimeandika so yeah, lazima nijisikie vibaya. I just shared the news, hii sio taarifa yangu. Ni ya TRT Africa
Pamoja.Sawa nimekuelewa
unawajua wasomali?Sidhani kama watafanya hivyo maana CCM ndio inawarahisishia njia za kuja Tanzania. Hawawezi kuisaliti
watz kwann mnapenda ujinga ? jamaa kakuelekeza vzr kuwa taarifa ina mapunguf akimaanisha kabla hujapost kitu kipitie na kama kima mapunguf usipost maana ukipost unakuwa upo tyr kuyadefend yale mapungufuUnakumbuka mwanzo ulisema "Taarifa yako haipo sahihi". Unaniambia mimi as if ndio nimeandika so yeah, lazima nijisikie vibaya. I just shared the news, hii sio taarifa yangu. Ni ya TRT Africa
Sawa, endeleeni kutaja mapungufuwatz kwann mnapenda ujinga ? jamaa kakuelekeza vzr kuwa taarifa ina mapunguf akimaanisha kabla hujapost kitu kipitie na kama kima mapunguf usipost maana ukipost unakuwa upo tyr kuyadefend yale mapungufu
kweny hii platform mleta habari ni ww
CcmWaangalie wasijetengeneza magaidi kirahisi
ni vizuri na muhimu sana kwa waTanzania kutumia vema fursa hiyo muhimu sana ya kiuchumi gentleman