Tanzania na Somalia makubaliano ya ziara bila visa

Ni wakati muafaka wa kwenda kuangalia fursa Somalia.

Je visa hiyo ni kutia ndani Somaliland au mwisho ni hapa Somalia ya mwanzo?
Somaliland ni Nchi inajitegemea , somalia ya mwanzo unayoisemea ww, shughuli zake za kiserikali ziko Nairobi.
Ndio ujuwe TZ imeingia mkenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…