Una undugu na jiwe? maana una akili za ki sadist kama jiweSasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!
Usiku ni muda wa kulalaHaya wale walikua wanasema watapandisha bei za internet yamekua, sasa kwa sh 2000 unapata mb 900 na 1000 unapata mb 420.
Hao ni haloteli kifurushi cha siku, wakati vile vifurushi pendwa vya usiku vimepigwa panga.
CCM mbele kwa mbele.
Nan kakwambia?
Shame on you
Wapenda movies ndio tunaumia zaidiSasa tutabaki wachache online. Kudownload movie itakuwa shida
Kwangu mpaka jf sipati bila kutumia VPN sasa sijui ni simu yangu imekariri(natumia app)Twitter si ishafungwa bila VPN huipati
una undugu na jiwe? maana una akili za ki sadist kama jiwe
Hadi Royal Bundle wameibana pia ile ya 50000 imeondolewa
5 TenaHaya wale walikua wanasema watapandisha bei za internet yamekua, sasa kwa sh 2000 unapata mb 900 na 1000 unapata mb 420.
Hao ni Halotel kifurushi cha siku, wakati vile vifurushi pendwa vya usiku vimepigwa panga.
CCM mbele kwa mbele.
Wabunge wenu ndiyo hao kina bashiru?Wameharibu kupita maelezo na sio ajabu kutokusikia wabunge wakilipigia kelele hili swala
Lengo ni kulipa kodi ya serikali iliyopandishwa maradufu.Unajua hawa ni wapumbavu..lengo lao ni lipi hasa?
Nao wana mabadiliko hiyo tarehe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], dah
Halotel mega bando ya 10k hakuna tena na ile ya 1000 imepigwa panga hatarii... bando ya youtube 1k kwa 1.2gb haipo tena
Tusubiri voda hiyo tarehe 2 kama sio 20mb kwa buku sijui[emoji28] na 10k kwa 200mbs sijui
Wewe ni mjinga , unawaza mambo ya kijinga , huon hizo biashara maelfu zitakazopitia msoto unakimbilia kulamba watu makalioSasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!
sio mzima weweSasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!
Wewe ni mjinga , unawaza mambo ya kijinga , huon hizo biashara maelfu zitakazopitia msoto unakimbilia kulamba watu makalio
Mataga bana
Zantel wameongeza bei pia, tigo wameinunua so ni majanga tuNaona tunahamia TTCL AU ZANTEL KWA KASI
Hiyo haipo mkuu,ni 3,000/-,Gb1.3 na dk 30 kwa wiki mbili...Weka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo