Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Dakika ya 73 mkuu, Zimbabwe wanashambulia hatari.

Ili Zimbabwe watutoe si inabidi wafunge magoli mawili zaidi?

Kama ndio Mungu atasaidia tutawatoa, ila la kutushambulia linaleta wasiwasi kidogo
 
Hii timu ya taifa ya vijana U15 hawajarudi tuu dar???
Wale watoto watamu sana...walinipigia timu nyingine bila presha kama ya leo.
 
Hivi wajuzi,Afrika kuna Sheria ya bao la ugenini?
Timu zikiwa zimelingana pointi na goal difference inangaliwa ninani alifunga mabao mengi akiwa ugenini otherwise ni mikwaju. hii inatumika hata ligi kuu ya Tanganyika. kama simba na Yanga wote wana goal difference sawa na wanalingana points inaangaliwa nani alinyukwa zaidi akiwa kwao basi ndio kilaza.
 
we need more goal to move at least to the last but not the end stage of qualifying..
 
Huyu refa mzimbabwe? Ana upendeleo wa moja kwa moja kwa Zimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…