Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Kwa mfano kijani na Blue ingenoga sana halfu bukta zikawa nyeusi. Mfano mikono inakuwa kijani halfu mbele inakuwa na mchirizi ya bendera ya taifa upande wa mbele

yeah..............
 
hivi hi mechi na msumbiji tunaanzia nyumbani au ugenini?
 
Hapana mkuu Jamal Malinzi, sijawahi kuongoza mpira.
Ila kwa maana ya kuongoza, nimeongoza watu sana tu.
Ndugu yangu Vin Diesel kuongoza mpira,kwa ngazi yoyote iwe ya FIFA/CAF/TFF au wilaya na hata klabu,we kuone hivyo hivyo.Kiongozi wa mpira hutakiwi kufumba macho hata sekunde moja.Watu wa mpira duniani kote huwa wana hulka moja tu,kutaka ushindi na ushindi wa jana leo hawaukumbuki wanataka wa kesho.Sasa hivi nani anazungumzia Tanzania vs Zimbabwe,hakuna,gumzo ni mechi ya Msumbiji.Hivyo kiongozi wa mpira,ili ufanikiwe,lazima uwe on your toes masaa 24. Mkishinda it is a very rewarding responsibility kwa kuwa unakuwa umeshiriki kuwapa furaha mamilioni ya watu,ukifungwa....well that is it unajipanga kwa mchezo unaofuata.
 
Nakubaliana nawe Mkuu, jitahidi tu uhakikishe unapofanya kazi yako usiwabane sana wenzio, waache na wao waoneshe uwezo wao. huwezi kuwa rais wa shirikisho na matamko yote unatoa wewe,msemaji anafanya nini?
Nikutakie heri kwenye majukumu yako, komboa soka letu nasi na vizazi vyetu vitakukumbuka.
 
mi napata shida moja tu kama zanzibar hawafanyi vizuri na hawa wauku bara nao vivyo ivo kwann icfike wakati timu zote mbili zife periodly then kuwe na Taifa stars tu yani hata imwe michuano gani nimesema ivi kwasababu timu nyingi zilizofanya ivi ndizo zilizo fanyikiwa zaida kuliko ile ya moja moja mfano spain badala ya kuwa na timu 2 ya catalunya na nyingine wakaamua kuweka timu moja tu na mafanikio yao yameonekana
 
Zanzibar ni mwanachama kamili wa CECAFA na haki ya kushiriki michuano ya CECAFA kama mwanachama,michuano mingine tunakuwa na timu moja ya Taifa.
 
wik iliyopita mama alikuwa Tz amefuraishwa na wachambuzi wanavyochambua soka.

lakin anasema mbona timu taifa stars haifiki popote ata kombe la mataifa ya afrika.

je hawa wachambuzi wana mchango gani kwa Tz?
 
nikweli kabisa wanavoelezea utapenda kwann wasiende kufundisha mpira ili na cc cku tuonekane watu kwenye haya mashindano?
 
Timu ya Taifa (Taifa Stars) imevurumishwa mabao 4-2 katika mechi ya kirafiki na Botswana jana.
Mechi hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Gaborone ni sehemu ya maandalizi ya Taifa Stars kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika dhidi ya Msumbiji (Mambas) itakayochezwa Julai 20 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mabao ya Taifa Stars yalifungwa na Khamis Mcha `Vialli` na nahodha wa Azam fc, John Raphael Bocco `Adebayor`

Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager inatarajiwa kurejea nchini Julai 6 mwaka huu kuendelea na programu nyingine kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji.

taifa-stars-2014.jpg
 
Sawa tu,wafungwe kwenye mazoezi. Hata Burundi walitufunga 3 kabla ya kuwavurumisha Zimbabwe.
 
Siku watayoanza kufundisha ndio watapotokea wachambuzi wengine bora zaidi kuwakosoa.
 
Starz inabidi wajipange vyema...mambas ni wabaya sana wakiwa kwao.
 
Back
Top Bottom