Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kwa mfano kijani na Blue ingenoga sana halfu bukta zikawa nyeusi. Mfano mikono inakuwa kijani halfu mbele inakuwa na mchirizi ya bendera ya taifa upande wa mbele
yeah..............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano kijani na Blue ingenoga sana halfu bukta zikawa nyeusi. Mfano mikono inakuwa kijani halfu mbele inakuwa na mchirizi ya bendera ya taifa upande wa mbele
walio chini yako kwamba umekuwa jack of all trades.
Umeiona records ya Msumbiji lakini?
Vin Diesel just out of curiosity,umeshawahi kuongoza mpira wa nchi hii katika ngazi yoyote iwe ya klabu,wilaya,mkoa au Taifa?
hivi hi mechi na msumbiji tunaanzia nyumbani au ugenini?
Ndugu yangu Vin Diesel kuongoza mpira,kwa ngazi yoyote iwe ya FIFA/CAF/TFF au wilaya na hata klabu,we kuone hivyo hivyo.Kiongozi wa mpira hutakiwi kufumba macho hata sekunde moja.Watu wa mpira duniani kote huwa wana hulka moja tu,kutaka ushindi na ushindi wa jana leo hawaukumbuki wanataka wa kesho.Sasa hivi nani anazungumzia Tanzania vs Zimbabwe,hakuna,gumzo ni mechi ya Msumbiji.Hivyo kiongozi wa mpira,ili ufanikiwe,lazima uwe on your toes masaa 24. Mkishinda it is a very rewarding responsibility kwa kuwa unakuwa umeshiriki kuwapa furaha mamilioni ya watu,ukifungwa....well that is it unajipanga kwa mchezo unaofuata.Hapana mkuu Jamal Malinzi, sijawahi kuongoza mpira.
Ila kwa maana ya kuongoza, nimeongoza watu sana tu.
Ndugu yangu Vin Diesel kuongoza mpira,kwa ngazi yoyote iwe ya FIFA/CAF/TFF au wilaya na hata klabu,we kuone hivyo hivyo.Kiongozi wa mpira hutakiwi kufumba macho hata sekunde moja.Watu wa mpira duniani kote huwa wana hulka moja tu,kutaka ushindi na ushindi wa jana leo hawaukumbuki wanataka wa kesho.Sasa hivi nani anazungumzia Tanzania vs Zimbabwe,hakuna,gumzo ni mechi ya Msumbiji.Hivyo kiongozi wa mpira,ili ufanikiwe,lazima uwe on your toes masaa 24. Mkishinda it is a very rewarding responsibility kwa kuwa unakuwa umeshiriki kuwapa furaha mamilioni ya watu,ukifungwa....well that is it unajipanga kwa mchezo unaofuata.
mi napata shida moja tu kama zanzibar hawafanyi vizuri na hawa wauku bara nao vivyo ivo kwann icfike wakati timu zote mbili zife periodly then kuwe na Taifa stars tu yani hata imwe michuano gani nimesema ivi kwasababu timu nyingi zilizofanya ivi ndizo zilizo fanyikiwa zaida kuliko ile ya moja moja mfano spain badala ya kuwa na timu 2 ya catalunya na nyingine wakaamua kuweka timu moja tu na mafanikio yao yameonekana
wik iliyopita mama alikuwa Tz amefuraishwa na wachambuzi wanavyochambua soka.
lakin anasema mbona timu taifa stars haifiki popote ata kombe la mataifa ya afrika.
je hawa wachambuzi wana mchango gani kwa Tz?