Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Pengine hufuatilii yanayotokea nyumbani. Bank nyingi zimelalamika kwamba haziwezi kutoa mfano credit cards kwa wananchi wengi ambao hawana vitambulisho. Hapa naongelea bank zilizofunguliwa hivi karibuni na kuna kundi la wezi wengi tu wa credit cards ambao wanatumia huo mwanya - natumaini unalifahamu hili.
Kuwatambua nani wanastahili huduma za serikali kwa mfano matibabu, elimu pamoja na huduma nyingine, sio WTZ wote wana passport, wameolewa/kuoa. vitambulisho vya kazini havina authenticity kwamba wewe ni raia wa Tanzania.
GAME THEORY,
Mkuu hapa naungana sana na DUA ktk hili,
Hivyo vitambulisho ulivyovitaja, kama Driver's licence, Cheti cha ndoa na kadhalika ni vitambulisho ambavyo hutolewa kwa mtu yeyote sio lazima uwe Mtanzania. Nchi nyingi duniani zinatumia vitambulisho hivi kwa maswala maalum yanayohusiana na vitu hivyo tofauti na ID ya Uraia ambayo lengo lake ni uhtibitisho wa Uraia wa mtu na huwa ni moja ya utaratibu wa LAZIMA kutolewa kwa kila raia tofauti na vitambulisho vingine.
Leo hii Bongo huwezi kutenganisha kati ya raia na mhamiaji ambaye yupo nchini kisheria ama bila sheria na wote hawa wanaweza changia sana ktk mapungufu ya huduma nyingi kwa wananchi wake. Mbali na yote haya ni muhimu kuyatazama mambo ambayo yametuweka hapa tulipo, waswahili husema kama hujui ulikotoka ni vigumu sana kuelewa unakokwenda nikiwa na maana kukwaza kwetu kiuchumi kuna mengi sana ambayo tumerudi nyuma kuyatazama na taratibu tunayatafutiana dawa. Iwe maswala ya Maazimio, Ufisadi, Mikataba na kadhalika.
Bila kadi za Uraia serikali inaweza kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ambazo wako entitled to na pia kuweza recognize una deal na wananchi wako wangapi ktk kila sehemu.
Kama nilivyokwisha sema Paasport haitolewi kwa kila mtu kama kitambulisho cha kutumia ktk shughuli za kila siku, passport ina malengo yake pamoja na kwamba ni moja ya kitambulisho..Huwezi kuwalazimisha wananchi kubeba passport kila wanapokwenda wala sio lazima kisheria kila raia kuwa na passport ingawaje kila raia yuko entitled to have one.
Kisha umemzungumzia mtu kama Mkapa ktk issue hii kwamba isingeweza kuikubali nadhani mkuu hapa unatuonyesha wazi Mkapa ni mtu wa aina gani..Unajua kuna wale wanaoiba kukithiri bila matunda bila ujenzi wa kitu kwa raia zake... huyu ndiye Mkapa. Macho yake yote yalihusiana na FEDHA tu.. Kila penye fedha ndipo aliweka attention yake aidha kuboresha production lakini fedha haziendi ktk mfuko wa serikali..Mkapa ni sawa na mfanyabiashara tajiri anayefikiria Utajiri lakini fedha zake zinakwenda kwa Malaya akiacha familia yake ikichemka kila siku.. Ni mtu ambaye hajui hata ana watoto wangapi wala hawezi kuona haja ya kufahamu ana watoto wangapi kwa sababu kutoa huduma kwa wanawe sio moja ya kazi zake, ndio maana alituita sisi wote (raia) wapumbavu kutegemea yeye kuwa mlezi wa Taifa...
Tokea miaka ya sabini TZ imekuwa ikipokea wakimbizi, leo hii baada ya miaka zaidi ya 30 wakimbizi ambao waliweza kutoroka katika kambi zao ni Watz na wanapata kila linalostahili kwa Mtz halisi pengine zaidi ya mtz... Lugha ya kiswahili kwa upande mmoja imeweza kutuunganisha Watz wote na kiutumia kama ID yetu,GAME THEORY,
Mkuu hapa naungana sana na DUA ktk hili,
Hivyo vitambulisho ulivyovitaja, kama Driver's licence, Cheti cha ndoa na kadhalika ni vitambulisho ambavyo hutolewa kwa mtu yeyote sio lazima uwe Mtanzania. Nchi nyingi duniani zinatumia vitambulisho hivi kwa maswala maalum yanayohusiana na vitu hivyo tofauti na ID ya Uraia ambayo lengo lake ni uhtibitisho wa Uraia wa mtu na huwa ni moja ya utaratibu wa LAZIMA kutolewa kwa kila raia tofauti na vitambulisho vingine.
Leo hii Bongo huwezi kutenganisha kati ya raia na mhamiaji ambaye yupo nchini kisheria ama bila sheria na wote hawa wanaweza changia sana ktk mapungufu ya huduma nyingi kwa wananchi wake. ..
Tokea miaka ya sabini TZ imekuwa ikipokea wakimbizi, leo hii baada ya miaka zaidi ya 30 wakimbizi ambao waliweza kutoroka katika kambi zao ni Watz na wanapata kila linalostahili kwa Mtz halisi pengine zaidi ya mtz... Lugha ya kiswahili kwa upande mmoja imeweza kutuunganisha Watz wote na kiutumia kama ID yetu,
Hivi Tz ingekuwa na ID kwa wananchi wake tokea day one ya Uhuru tungekuwa wapi leo? Nafikiri tungekuwa mbali sana, tena sana... tungeweza kuepuka mengi ambayo sasa yanatuchukua muda mrefu kuyachunguza....
GAME THEORY,
Hapo umesema!.. Una object kwa sababu zako lakini usiseme ID card hazina faida mkuu kama uko nchi hiizi utaelewa umuhimu wa Social Security na neno lenyewe tu kwa maana yake tu ni zito sana.
Issue ambayo ipo kwenye headlines zetu hapo bongo sasa, kama tungekuwa na social security mbona ingekuwa ni rahisi sana kuimaliza..Na wala asingefika kupewa madaraka makubwa kama hayo
Nchi masikini kama Tanzania haihitaji kutumia mapesa katika swala la vitambulisho kwa sasa. Channel that money into University research, pump the money into Education. Suala la vitambulisho ni swala la 'precaution' ktk masuala ya security, TZ inajihami kwa nani? Kwanini tusijihami ktk swala la elimu kwa ujumla. Tuache ulimbukeni wa kutumia mabilioni ktk mambo yasiyo na manufaa mbele kama, rada, ndege ya rais, na sasa vitambulisho. Botswana is in a different dimension, tusiige. Shame.
Mugisha R
Pengine hufuatilii yanayotokea nyumbani. Bank nyingi zimelalamika kwamba haziwezi kutoa mfano credit cards kwa wananchi wengi ambao hawana vitambulisho. Hapa naongelea bank zilizofunguliwa hivi karibuni na kuna kundi la wezi wengi tu wa credit cards ambao wanatumia huo mwanya - natumaini unalifahamu hili.
Kuwatambua nani wanastahili huduma za serikali kwa mfano matibabu, elimu pamoja na huduma nyingine, sio WTZ wote wana passport, wameolewa/kuoa. vitambulisho vya kazini havina authenticity kwamba wewe ni raia wa Tanzania.
Mkandara said:GAME THEORY,
Hapo umesema!.. Una object kwa sababu zako lakini usiseme ID card hazina faida mkuu kama uko nchi hiizi utaelewa umuhimu wa Social Security na neno lenyewe tu kwa maana yake tu ni zito sana.
GT
Tangazo lifichwe kwa sababu ya Game Theory ama kweli bank holiday weekend ina viroja.
GT
Mkuu Tender zinatangazwa central tender board sasa kama hii kweli imefichwa itabidi kuwe na walakini, lakini kwa maoni yangu hujaitafuta hata walio bongo ukiomba kesho tu wanaweza kukutumia kwa sababu haiwezi kutoka gazetini halafu wao waizibe.
No offence