Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Pengine hufuatilii yanayotokea nyumbani. Bank nyingi zimelalamika kwamba haziwezi kutoa mfano credit cards kwa wananchi wengi ambao hawana vitambulisho. Hapa naongelea bank zilizofunguliwa hivi karibuni na kuna kundi la wezi wengi tu wa credit cards ambao wanatumia huo mwanya - natumaini unalifahamu hili.

Kuwatambua nani wanastahili huduma za serikali kwa mfano matibabu, elimu pamoja na huduma nyingine, sio WTZ wote wana passport, wameolewa/kuoa. vitambulisho vya kazini havina authenticity kwamba wewe ni raia wa Tanzania.

interesting....
 
GAME THEORY,
Mkuu hapa naungana sana na DUA ktk hili,
Hivyo vitambulisho ulivyovitaja, kama Driver's licence, Cheti cha ndoa na kadhalika ni vitambulisho ambavyo hutolewa kwa mtu yeyote sio lazima uwe Mtanzania.

Nchi nyingi duniani zinatumia vitambulisho hivi kwa maswala maalum yanayohusiana na vitu hivyo tofauti na ID ya Uraia ambayo lengo lake ni uhtibitisho wa Uraia wa mtu na huwa ni moja ya utaratibu wa LAZIMA kutolewa kwa kila raia tofauti na vitambulisho vingine.

Leo hii Bongo huwezi kutenganisha kati ya raia na mhamiaji ambaye yupo nchini kisheria ama bila sheria na wote hawa wanaweza changia sana ktk mapungufu ya huduma nyingi kwa wananchi wake. Mbali na yote haya ni muhimu kuyatazama mambo ambayo yametuweka hapa tulipo, waswahili husema kama hujui ulikotoka ni vigumu sana kuelewa unakokwenda nikiwa na maana kukwaza kwetu kiuchumi kuna mengi sana ambayo tumerudi nyuma kuyatazama na taratibu tunayatafutiana dawa.

Iwe maswala ya Maazimio, Ufisadi, Mikataba na kadhalika.
Bila kadi za Uraia serikali inaweza kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ambazo wako entitled to na pia kuweza recognize una deal na wananchi wako wangapi ktk kila sehemu.

Kama nilivyokwisha sema Paasport haitolewi kwa kila mtu kama kitambulisho cha kutumia ktk shughuli za kila siku, passport ina malengo yake pamoja na kwamba ni moja ya kitambulisho..Huwezi kuwalazimisha wananchi kubeba passport kila wanapokwenda wala sio lazima kisheria kila raia kuwa na passport ingawaje kila raia yuko entitled to have one.

Kisha umemzungumzia mtu kama Mkapa ktk issue hii kwamba isingeweza kuikubali nadhani mkuu hapa unatuonyesha wazi Mkapa ni mtu wa aina gani..Unajua kuna wale wanaoiba kukithiri bila matunda bila ujenzi wa kitu kwa raia zake... huyu ndiye Mkapa. Macho yake yote yalihusiana na FEDHA tu.

Kila penye fedha ndipo aliweka attention yake aidha kuboresha production lakini fedha haziendi ktk mfuko wa serikali..Mkapa ni sawa na mfanyabiashara tajiri anayefikiria Utajiri lakini fedha zake zinakwenda kwa Malaya akiacha familia yake ikichemka kila siku.

Ni mtu ambaye hajui hata ana watoto wangapi wala hawezi kuona haja ya kufahamu ana watoto wangapi kwa sababu kutoa huduma kwa wanawe sio moja ya kazi zake, ndio maana alituita sisi wote (raia) wapumbavu kutegemea yeye kuwa mlezi wa Taifa...
 
GAME THEORY,
Mkuu hapa naungana sana na DUA ktk hili,
Hivyo vitambulisho ulivyovitaja, kama Driver's licence, Cheti cha ndoa na kadhalika ni vitambulisho ambavyo hutolewa kwa mtu yeyote sio lazima uwe Mtanzania. Nchi nyingi duniani zinatumia vitambulisho hivi kwa maswala maalum yanayohusiana na vitu hivyo tofauti na ID ya Uraia ambayo lengo lake ni uhtibitisho wa Uraia wa mtu na huwa ni moja ya utaratibu wa LAZIMA kutolewa kwa kila raia tofauti na vitambulisho vingine.
Leo hii Bongo huwezi kutenganisha kati ya raia na mhamiaji ambaye yupo nchini kisheria ama bila sheria na wote hawa wanaweza changia sana ktk mapungufu ya huduma nyingi kwa wananchi wake. Mbali na yote haya ni muhimu kuyatazama mambo ambayo yametuweka hapa tulipo, waswahili husema kama hujui ulikotoka ni vigumu sana kuelewa unakokwenda nikiwa na maana kukwaza kwetu kiuchumi kuna mengi sana ambayo tumerudi nyuma kuyatazama na taratibu tunayatafutiana dawa. Iwe maswala ya Maazimio, Ufisadi, Mikataba na kadhalika.
Bila kadi za Uraia serikali inaweza kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ambazo wako entitled to na pia kuweza recognize una deal na wananchi wako wangapi ktk kila sehemu.
Kama nilivyokwisha sema Paasport haitolewi kwa kila mtu kama kitambulisho cha kutumia ktk shughuli za kila siku, passport ina malengo yake pamoja na kwamba ni moja ya kitambulisho..Huwezi kuwalazimisha wananchi kubeba passport kila wanapokwenda wala sio lazima kisheria kila raia kuwa na passport ingawaje kila raia yuko entitled to have one.
Kisha umemzungumzia mtu kama Mkapa ktk issue hii kwamba isingeweza kuikubali nadhani mkuu hapa unatuonyesha wazi Mkapa ni mtu wa aina gani..Unajua kuna wale wanaoiba kukithiri bila matunda bila ujenzi wa kitu kwa raia zake... huyu ndiye Mkapa. Macho yake yote yalihusiana na FEDHA tu.. Kila penye fedha ndipo aliweka attention yake aidha kuboresha production lakini fedha haziendi ktk mfuko wa serikali..Mkapa ni sawa na mfanyabiashara tajiri anayefikiria Utajiri lakini fedha zake zinakwenda kwa Malaya akiacha familia yake ikichemka kila siku.. Ni mtu ambaye hajui hata ana watoto wangapi wala hawezi kuona haja ya kufahamu ana watoto wangapi kwa sababu kutoa huduma kwa wanawe sio moja ya kazi zake, ndio maana alituita sisi wote (raia) wapumbavu kutegemea yeye kuwa mlezi wa Taifa...

I still object the national ID scheme at this juncture
 
GAME THEORY,
Mkuu hapa naungana sana na DUA ktk hili,
Hivyo vitambulisho ulivyovitaja, kama Driver's licence, Cheti cha ndoa na kadhalika ni vitambulisho ambavyo hutolewa kwa mtu yeyote sio lazima uwe Mtanzania. Nchi nyingi duniani zinatumia vitambulisho hivi kwa maswala maalum yanayohusiana na vitu hivyo tofauti na ID ya Uraia ambayo lengo lake ni uhtibitisho wa Uraia wa mtu na huwa ni moja ya utaratibu wa LAZIMA kutolewa kwa kila raia tofauti na vitambulisho vingine.
Leo hii Bongo huwezi kutenganisha kati ya raia na mhamiaji ambaye yupo nchini kisheria ama bila sheria na wote hawa wanaweza changia sana ktk mapungufu ya huduma nyingi kwa wananchi wake. ..
Tokea miaka ya sabini TZ imekuwa ikipokea wakimbizi, leo hii baada ya miaka zaidi ya 30 wakimbizi ambao waliweza kutoroka katika kambi zao ni Watz na wanapata kila linalostahili kwa Mtz halisi pengine zaidi ya mtz... Lugha ya kiswahili kwa upande mmoja imeweza kutuunganisha Watz wote na kiutumia kama ID yetu,

Hivi Tz ingekuwa na ID kwa wananchi wake tokea day one ya Uhuru tungekuwa wapi leo? Nafikiri tungekuwa mbali sana, tena sana... tungeweza kuepuka mengi ambayo sasa yanatuchukua muda mrefu kuyachunguza....
 
I repeat, the introduction of ID cards is a characteristic symptom of a society moving towards dictatorship - anyone with any common sense or understanding of history knows this, and anyone who thinks they actually assist with security is incredibly naive and of all people i would have thought you knew better than this
 
GAME THEORY,
Hapo umesema!.. Una object kwa sababu zako lakini usiseme ID card hazina faida mkuu kama uko nchi hiizi utaelewa umuhimu wa Social Security na neno lenyewe tu kwa maana yake tu ni zito sana.
 
Issue ambayo ipo kwenye headlines zetu hapo bongo sasa, kama tungekuwa na social security mbona ingekuwa ni rahisi sana kuimaliza..Na wala asingefika kupewa madaraka makubwa kama hayo
 
Naam wakubwa!!
Ni wazo zuri kuwa na identity kwa kila mtanzania,lakini
"Ni mtanzania wa aina ipi atakae pewa hiyo identity?"

Ushauri wangu kwa serikali,Historia inaonesha Tanzania ni nyumba ya kuponea wakimbizi,imejaa wageni wanaishi free kuliko hata ya kuku wa jadi kule Rombo.Ili kuepuka matatizo makubwa tena zaidi yatakayoweza kuwakumba wananchi halisi wa kitanzania miaka ijayo(rejea Afrika ya Kusini na joto la makaburu),ni vizuri zaidi,vitambulisho hivyo vitolewe kwa mtanzania mwenye asili ya kiafrika tu(uafrika wenyewe ni ule wa mtanzania halali wa kuzaliwa + uthibitisho mwingine wa lazima),na si vinginevyo.Wahindi,Wazungu,Wachina,Waarabu n.k wasipewe hata mmoja(wakihoji wajibiwe kuwa huu ndo utaratibu wa nchi yetu).

Lakini hili linataka wazalendo wa kweli,si munajua tena viongozi wengine wanapenda vijisenti.!!
hasa hasa zoezi ili lianzie wakati wa kuandikisha na kupiga kura,pale Id hizo zitakapokuwa tayari.

Shukraniiiiiiiii.
 
Ombi langu kwa viongozi wahusika "vitambulisho hivi wapewe watz wenye asili ya kiafrika tuu(watz halali+halisi)".Wazungu,Wahindi,Waarabu na Wachina,n.k,wasipewe tafadharini wandugu(someni alama za nyakati).
 
Nchi masikini kama Tanzania haihitaji kutumia mapesa katika swala la vitambulisho kwa sasa. Channel that money into University research, pump the money into Education. Suala la vitambulisho ni swala la 'precaution' ktk masuala ya security, TZ inajihami kwa nani? Kwanini tusijihami ktk swala la elimu kwa ujumla.

Tuache ulimbukeni wa kutumia mabilioni ktk mambo yasiyo na manufaa mbele kama, rada, ndege ya rais, na sasa vitambulisho. Botswana is in a different dimension, tusiige. Shame.

Mugisha R
 
Epigenetics

Maliza kusoma kabla ya kurukia mambo usiyoyajua, nani amekwambia Tanzania maskini ambao hawawezi kutoa ID cards kwa raia wake? Pata washauri wazuri kwenye fani yako kwanza.
 
Issue ambayo ipo kwenye headlines zetu hapo bongo sasa, kama tungekuwa na social security mbona ingekuwa ni rahisi sana kuimaliza..Na wala asingefika kupewa madaraka makubwa kama hayo

I am still waiting for your arguments on why we need ID cards now
 
Nchi masikini kama Tanzania haihitaji kutumia mapesa katika swala la vitambulisho kwa sasa. Channel that money into University research, pump the money into Education. Suala la vitambulisho ni swala la 'precaution' ktk masuala ya security, TZ inajihami kwa nani? Kwanini tusijihami ktk swala la elimu kwa ujumla. Tuache ulimbukeni wa kutumia mabilioni ktk mambo yasiyo na manufaa mbele kama, rada, ndege ya rais, na sasa vitambulisho. Botswana is in a different dimension, tusiige. Shame.

Mugisha R

my exact sentiments
 
Pengine hufuatilii yanayotokea nyumbani. Bank nyingi zimelalamika kwamba haziwezi kutoa mfano credit cards kwa wananchi wengi ambao hawana vitambulisho. Hapa naongelea bank zilizofunguliwa hivi karibuni na kuna kundi la wezi wengi tu wa credit cards ambao wanatumia huo mwanya - natumaini unalifahamu hili.

Kuwatambua nani wanastahili huduma za serikali kwa mfano matibabu, elimu pamoja na huduma nyingine, sio WTZ wote wana passport, wameolewa/kuoa. vitambulisho vya kazini havina authenticity kwamba wewe ni raia wa Tanzania.

Maelezo haya huyataki? Hata hapa UK bila NI number huna chako sisi bongo tuna nini? Argument zako una-compare Uk na TZ ninarudia sisi sio masikini wa kutokuweza kulipia vitambulisho PERIOD! Na wale wasiotaka wale mawe. Jambo ambalo naweza kukuunga mkono ni kufanya uamuzi wa tender kuwa transparent na kutumia pesa ya walipa kodi kwa uangalifu.

Vile vile rejea jibu alilokupa Mkandara hapo juu;

Mkandara said:
GAME THEORY,
Hapo umesema!.. Una object kwa sababu zako lakini usiseme ID card hazina faida mkuu kama uko nchi hiizi utaelewa umuhimu wa Social Security na neno lenyewe tu kwa maana yake tu ni zito sana.

Sasa unaweza kuendelea kupiga kelele kama kasuku lakini tender ndio hiyo imetoka na soon atapatikana wa kufanya hiyo kazi, kama una-detail za Membe kujuhusisha isivyo halali weka data hapa tumkome NYANI GILADI.
 
moja kati ya sababu ya kuomba FORUMS za JF zipunguzwe ni hili...kama tungekuwa na forum ya BUSINESS & NETWOPRKING ingekuwa rahisi zaidi kujua tangazo liko wapi...nimecheki kule kwenye website ya serikali hapa lakini hakuna kitu

http://www.ppra.go.tz/index.php

najua kutakuwa na specs na ndizo nina interest nazo

wana JF kama kuna mtu anayo proper link naomba nisaidiwe

shukran
 
GT

Tangazo lifichwe kwa sababu ya Game Theory ama kweli bank holiday weekend ina viroja.
 
GT

Tangazo lifichwe kwa sababu ya Game Theory ama kweli bank holiday weekend ina viroja.

looks like you are looking for a fught. Nimesema wapi tangazo limefichwa kwa sababu yangu? nimeuliza ka nini jamaa wa Procurement hawajaweka tangazo la zabuni kwenye website yao

unless you are looking for something else from me but if its a fight then i dont have that time
 
GT

Mkuu Tender zinatangazwa central tender board sasa kama hii kweli imefichwa itabidi kuwe na walakini, lakini kwa maoni yangu hujaitafuta hata walio bongo ukiomba kesho tu wanaweza kukutumia kwa sababu haiwezi kutoka gazetini halafu wao waizibe.

No offence
 
una uhakika gani kam sijaitafuta? Tenda zote ziko hapa na kama haipo hapa unategemea itakuwa wapi? sababu ya kuwa na hii website ya procurement ni kuweka matangazo ya tenda zote ...naona hatuelewani kwa sababu wewe unazungua CENTRAL TENDER BOARD wakati mimi nazungumzia PPRA yaani PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
 
Back
Top Bottom