Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Senior Expert Member Join Date: Mon Jan 2007
Location: Ilolanguru
Posts: 1,335
Rep Power: 24

Thanks: 87
Thanked 372 Times in 231 Posts
Credits: 21,041

Re: Breaking News: Baraza la Mawaziri Limevunjwa!

--------------------------------------------------------------------------------

Quote: Chuma
membe is too junior...

Hakuna cha u junior wala nini MEMBE for Premiership!
 
Masatu hapo juu unasema MEMBE FOR PREMIERSHIP na huku unasema wote hawafai ila MEMBE tu. unamkana nduguyo Wassira kisa uko kibaruani?

Masatu
JF Senior Expert Member Join Date: Mon Jan 2007
Location: Ilolanguru
Posts: 1,335
Rep Power: 24

Thanks: 87
Thanked 372 Times in 231 Posts
Credits: 21,041

Re: LOWASA, WASSIRA NA Dkt.MALECELA NANI ANAMFAA JK KAMA WAZIRI MKUU

--------------------------------------------------------------------------------

Wote hawafai. Apewe MEMBE
 
Yes! Membe for PREMIERSHIP!
 
Hata hiyo kampuni ya Gotham International amabyo inazungumziwa hapa na ambayo ina utaaalam wa kutosha sana na ambayo ilistahili kupata tenda hiyo ya feasibility study na consultancy

Sichoki. Nini wasifa wa hii kampuni Gotham International? Wamefanya feasibility studies nyingine wapi na wataalamu wake ni wakina nani?

Haya mengine mimi naona ni personal issues. Sidhani kama yaliyomkuta EL yangemkuta kama Richmond ange'deliver'. Sasa huyu mheshimiwa Gotham ambaye web-site iko under renovation ( 没有找到站点) ana uwezo wa ku'deliver'? Kama kawaida yetu hatutaki kujifunza na yaliyopita. Kwangu mimi sijali hii kampuni ni ya nani, ninachotaka kujua ni kama due diligence ilifanyika kabla ya kuiteua?

Aliyeumwa na nyoka
 
All i know with LOWASSA out of the way Bwana Membe will be laughing STRAIGHT TO THE BANK

nothing can stop MEMBE zaidi ya JAMBO FORUMS
 
All i know with LOWASSA out of the way Bwana Membe will be laughing STRAIGHT TO THE BANK

nothing can stop MEMBE zaidi ya JAMBO FORUMS

Masatu kachukuwa Pinda hakuna EMBE. DODO WALA CHUNGWA.asubirie yeye kuwashiwa moto.

Pinda hana mfanyabiashara wala Fisadi.
mbopo njoo tukuuumbue.hatuwezi kuwa na rais mfupi kama JOTI WA ZE COMEDY.
na ukome kujipendekeza kwa pinda kuwa wewe ndio umemshauri JK.amchague. pinda hapokei majungu.
Masatu
comedy wako chini.
 
Yes! Membe for PREMIERSHIP!

Masatu,MBOPO mko kwenye matanga? kisa Embe au bwana Dodo kukosa uwaziri mkuu sasa asubiri ripoti ya ufisadi nae si safi ana kula na DIONIZ MALINZI ambaye ni fisadi number moja.
 
Hii mada mbona ilibadilishwa ghafla na kuwa ya aina hii ? Kulitokea nini ? GT tafadhali tuweke sawa na madai yako .Membe na kampuni lake ni muhimu tujue hili .
 
Sichoki. Nini wasifa wa hii kampuni Gotham International? Wamefanya feasibility studies nyingine wapi na wataalamu wake ni wakina nani? Haya mengine mimi naona ni personal issues. Sidhani kama yaliyomkuta EL yangemkuta kama Richmond ange'deliver'. Sasa huyu mheshimiwa Gotham ambaye web-site iko under renovation ( http://gothamtz.com/) ana uwezo wa ku'deliver'? Kama kawaida yetu hatutaki kujifunza na yaliyopita. Kwangu mimi sijali hii kampuni ni ya nani, ninachotaka kujua ni kama due diligence ilifanyika kabla ya kuiteua? Aliyeumwa na nyoka.............
hii wala si dili wala nini?kampuni hiyo ni ya TISS.so ni kama mradi wao.
 
hii wala si dili wala nini?kampuni hiyo ni ya TISS.so ni kama mradi wao.

Lakini si hayo hayo waliyoyasema kuhusu Kagoda? Kama ni ya TISS si lazima itakuwa na wataalamu wake? Si wawekwe wazi tu?

Mimi sijali kampuni ni ya nani, haja yangu ni kuhakikishiwa kuwa wana uwezo wa kudiliva. Hizi siri ndizo zilizotufikisha hapa!
 
Nachukua jembe naenda zangu kondeni kulima, Let me know wen its all over pls....

Membe kishanunua gazeti kuwa aandikwe kuwa ni waziri mchapakazi hivyo inatakiwa arudi kwenye baraza la mawaziri.hivi Membe kafanya kipi cha maana foreign? someni Tanzania Daima la leo.

pia JK aweke wazi kuwa ni marufuku mawaziri kuwa close na wafanyabiashara vipi MEMBE anatembea na Malinzi na Nyiti? usalama mko wapi? Membe ni bomu.
 
Membe Au Bwana Joti Unakimbia? Nimekupa Hoja Hujajibu Usifikiri Hapa Yuko Dr.kitine Au Umeogopa Mambo Ya Kimwana Yatawekwa Wazi?
Sahau Urais Pm Tayari Mkatoliki.

Acha Kupita Kwa Mawaziri Wapya Na Kuwadanganya Kuwa Uliwapigia Debe Kwa Rais Wewe Kama Nani?

Wako Wapi Watu Wako Kina Mbopo? Usiogope Mzee Wa Majungu.
 
Hii siri kali nzima kuanzia Kikwete na masubordinates wake wote ni kufukuza kazi, lakini katiba uchwara haitupi wananchi nafasi ya kufanya hivyo. Wako busy kujitajirisha wao na familia zao na kusahau maslahi ya Tanzania na Watanzania.

Sasa basi hizo ID cards utawapa wale wakulima wa vijijini ambao bado wanafikiria Nyerere ni raisi? Wengi wao hawajui kusoma walizaliwa manyumbani, sasa heeh kila mtu huku serikalini Tz anatafuta tu njia za kula bila hata ya huruma. ID cards za nini watu wanakufa na malaria watoto wanakufa katika alarming rate duniani hakuna, wao wanafikiria kuweka ID cards.

Hebu waangalie hiyo wizara yao ya uhamiaji, wezi wakubwa wanawapa watu citizenship hata watu wenyewe hawajawahi hata kufika Tz, wananunuliwa tu na ndugu zao walioko TZ, waache kutumia bure hela za wanachi kwa kujitajirishia familia zao tu, hawa watu hawachoki kuiba jamani.

BELLY FULL BUT THEM HUNGRY
 
Nungwi,

Wenye akili timamu wanaangali unavyoandika PUMBA. Swala sio Membe kama Membe, suala hapa ni hiyo Kampuni, tunataka uthibitisho!

Kama hamna, ombeni radhi au nendeni jikoni mkapike muwaache wanaume barazani.
 
Hivi kweli barazani ni kwa wanaume tu? mbona nimewaona wakina mama wengi tu? mkuu, kuishi kote ughaibuni bado MCP?
 
Hoja hujibiwa kwa hoja, kama huna hoja inafaa ukae kimya.

Fundo mchundo niambie ni wapi nimeandika barazani ni kwa wanaume tuu!
 
Nungwi,

Wenye akili timamu wanaangali unavyoandika PUMBA. Swala sio Membe kama Membe, suala hapa ni hiyo Kampuni, tunataka uthibitisho!

Kama hamna, ombeni radhi au nendeni jikoni mkapike muwaache wanaume barazani.[/QUOTE]

Kiswahili changu kweli ni kibofu lakini si wewe uliyesema waende jikoni wakapike na wawaache WANAUME BARAZANI? Au uliteleza Mkuu kama sisi wengine binadamu?
 
FD.
umewekewa mjadala wetu kuhusu Suzane ulibisha sana baadae ikawa kweli mbona hukuomba radhi kwa kutudanganya? nilikwambia miezi mitatu kabla kuwa Tido kampa kazi S.MUNGI ukajaa juu kama mwanamke aliye kwenye siku zake.na kusema tuache uzushi. ukweli upolidhihiri ukakaa kimya.
 
Back
Top Bottom