Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Maamuzi aliyachukua baada ya kusoma taharifa ya mkaguzi kwa kuunda kamati ya EPA
 
HOTUBA YA MHESHIMIWA JMK IMEPUNGUZA PRESHA ZA WATANZANIA NA KUREJESHA IMANI?


Jibu mpaka dakika hii ni bado, mmeshaona kitu bado, mmeshasikia kitu bado, mmesharejesha imani kwa CCM, Bado!


TANZANIA kila kitu kizuri. Jina zuri. Uchumi mzuri. Heshima ya kimataifa nzuri. Muungano mzuri. Muafaka mzuri. Na sisi wenyewe wazuri.Sasa tatizo letu ni nini?

Hotuba ya Mheshimiwa bado inaendelea lakini bado sijaona lolote lipya isipokuwa uigizaji na usanii mzuri wa kusafisha jina chama na wanasiasa wake ambao wananuka uoza mtupu.

Anatueleza nini? Eti mabilioni yote haya kukawa hamna ukaguzi na huku mnasema Benki Kuu na nchi ina viongozi. Mbona tunataniana jamani.

Hakika kutaka uongozi ni kitu kingine na kuweza uongozi ni habari mpya na ngeni kabisa pia.

Tunangoja sasa kusikia jinsi gani kina Marehemu watachukuliwa hatua na walio hai kuachiwa huru waendelee na mbwembwe zao!
 
anakuja taratibu sijui kaambiwa wananchi wamechachamaa huku.....
 
Mahakama anayoizungumzia hapa ni ya nchi ipi jamani ni hapa Tz au kwingine mbona wanapata haki zao ni wale wanaoidai serekali mahela mengi wale wa vihela vidogo hata wakilala hapo nothing zero zap.
 
ndio maana mimi napendekeza sheria za dharura kabisa kusafisha mafisadi wote kwenye jamhuri yetu.
 
Duh, kumbe jamaa alifanya kazi kubwa!!!!!!!

Dr Slaa hayo asemayo ni kweli!!?
 
huyo katibu mkuu wa fedha si unaweza kumwahamisha au kumuondoa madarakani kama tatizo lakumtoa kwenye board ni wadhifa wake
 
Mamlaka ya raisi makubwa hilo tunajua....lakini hatumii madaraka yake kufanya mambo positive zaidi ya kuhakikisha ushindi wa ccm kwenye chaguzi.
 
Back
Top Bottom